Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,729
- 5,637
Pascal hayaoni haya mambo yote yanayotokea?
Hawa watu wanasema wanataka kuandamana ni kweli wanataka kuikomboa nchi au wanataka kurudisha nyuma maendeleo na kutupeleka kwenye Stone Age ?