Pascal Mayalla V/S MshanaJr nani zaidi?

kwenye lipi kugegeda?
Kama michango kila mmoja anatoa michango mizuri kwa upande wake wa kibobezi. ila Mshana anamapungufu kidogo katika mada zake huwa hapendi kukosolewa au kupingwa ni hapo akijerekebisha atazidi kuwa bora zaidi. kwani hao wakosoaji ndio wanamjenga mtu awe imara na kujiamini zaidi, hivyo si vizuri kuwachukia, pia watu wanaweza kutumia udhaifu huo kukutoa katika msitari ulioukusudia. Ni maoni yangu mimi mwingine anaweza toa yake kwa kadri anavyoona
 
.
Jr[emoji769]
 
Usimfananishe mshana jr na vitu vya kijinga
Acha kufananisha vitu vya ajabu na Pascal Mayalla

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani busara zitumike huu uzi sio ule wa kikada ni kuburudisha wasomaji kipindi hichi cha corona ni busara tukawaheshemu wenzetu kwani kati yao hakuna aliongea chochote cha kumdhihaki mwenziwe, hebu tujifunze kwa wenzetu hawa. Ingwa Mayala hajaonekana katika uzi huu ila Mshana anakubali jitahada za Mayala
 
Wazee wa kusoma upepo
..

Washasoma mind zenu. Na kwa vile wote ninyi na hata mimi tumewaamini na kuwafuatlia sana hivyo wamefanikiwa kututeka.
Tofauti ni.. Paschal anawakilisha wazee(kama alivyoamua yeye kujinadi)

Mshana ni Young School....
Mshana yupo kila mahali...kijamii..litamaduni..kidunia..ujana..ubrotherman..uchawi....nguvu za giza...

Na Mshana ana uwezo wa kushawishi. Pia si MWANA CCM.

Paschal vile anataka ukuu wa Wilaya amekua mtu wa ajabu sana.

That being said..
Mshana Jr 99%
Paschal 01 %
 
Na Mshana ana uwezo wa kushawishi. Pia si MWANA CCM.
[emoji87][emoji87][emoji30][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
 
We jamaa mi namkatia rufaa Pascal,haiwezekani apate marks ndogo hivo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Both of them they are no longer necessity

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hiki kiingereza chako kilichonyooka,kisivyo cha muhimu.
Both of THEM THEY are no longer NECESSITY, yani nimekulipia ada muda wote mpwa bado unanidhalilisha mjomba wako kwa kuandika "fyongo kavu"😒😒.Inauma ouchhh!!(Joking, but serious umechapia)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…