Kuna watu hapa bodini wana midomo kama manabii.
Tafadhali eleweka mkuu!
Nakumbuka haijapita wiki tangu ile thread ya Pascal kuhusu kuendesha pikipiki isiyo na namba ijadiliwe hapahapa. Na wengi tulipendekeza ile thread ifungwe kwani ilikuwa haina maslahi kwa jamii..
Ukishafanya timing maana yake umeshapita pia...Mi nadhani hiyo ni ajali tu huwezi kujua huenda huyo mwenye baiskeli nae alijichanganya barabarani.Huyu Pascal wamegongana uso kwa uso na mwendesha baiskeli alimwona anakatiza yeye akajua yupo mbali atamtime kabla haja pita ndio wakavaana.Hili ndilo tatizo la madereva wengi kufanya timing pasipo vipimo halisi.
Mdau Mpoki Bukuku wa Mwananchi na The Citizen anatujulisha kwamba Mwandishi wa siku nyingi na mtangazaji ambaye pia ni mjasiliamali ndugu yetu Pascal Mayalla amepata ajali mbaya ya pikipiki yake alipokuwa akisafiri kwenda mkoani Mkoani Dodoma.Bw Pascal Mayalla amepata majereha sehemu mbalimbali za mwili ikiwa namkono ambao umepoteza mawasiliano na sehemu nyingine za mwili.JF hii inapenda kumpa pole ndugu yetu paschal Mayalla,apate Nafuu ya haraka.
View attachment 1939
View attachment 1940