Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

Pole sana broh Pascal na Hongera kwa kaz nzur huenda ukawafungua masikio nao wakafaham kuwa kweli mhimili wa Bunge umekuwa kibaraka wa serkal
 
Mbona ilikuwa rahisi maana CAG kampa nondo
Mwandishi wa kujitegemea, Ndg. Pascal Mayala (katikati) akihojiwa na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa kosa la kuandika habari yenye maudhui ya kudharau Bunge kwenye safu yake ya gazeti la Rai Mwema

Amefika hapo ikiwa ni baada ya Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai kuagiza Ndg. Pascal Mayala pamoja Wahariri wa Gazeti la Raia Mwema wafikishwe mbele ya kamati hiyo.

Habari zaidi, soma => Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge
ahiaa
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom