Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

Hongera sana Brother Pascal brother umetuwakilisha vema Jf angalau na Jf imetoa mtu sasa hadi anaitwa kwenye makamati ya bunge, akitoka Pascal, mshanajr ajiandae na maandiko yake ya uganga uganga....hii nchi tunaijua wenyewe watanzania
 
Mwandishi wa kujitegemea, Ndg. Pascal Mayala (katikati) akihojiwa na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa kosa la kuandika habari yenye maudhui ya kudharau Bunge kwenye safu yake ya gazeti la Rai Mwema

Amefika hapo ikiwa ni baada ya Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai kuagiza Ndg. Pascal Mayala pamoja Wahariri wa Gazeti la Raia Mwema wafikishwe mbele ya kamati hiyo.

Habari zaidi, soma => Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

Tuna mkosi Waafrika!! Bunge halina kazi kweli..
 
Back
Top Bottom