Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

Hizi ndizo sehemu rais anatakiwa aliingilie bunge kwa kuamuru warudishe pesa ya maji wanayokunywa, posho yote waliyolipwa leo, kulipa muda wanaopoteza kwa kukaa hapo kujadili eti wameulizwa je bunge linajipendekeza?
 
Wanakamati wengine wanasinzia hapo wana makablasha utadhani wanajadili vitu vya maana harafu wapo wa kutosha sijui ni kushuka kwa elimu au vyakula tunavyokula mbona akili zinapotea kabisa...karne hii Bunge mnajadili mambo ya kujipendekeza au kutojipendekeza..
 
Nakuona mayalla jamaa wanakuogopa balaa na jinsi ulivyowakazia macho hata baadhi yao wameishia kusinzia tu, siku zote uongo hujitenga na ukweli kazia hapo hapo mayala.
 
Back
Top Bottom