Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

Nakupa pongezi kwasababu CAG alikurahisishia kazi ya kuwasilisha hoja zako mbele ya kamati.
Naamini watakaa kimya na kuhoji ni wapi zilipo trilioni 1.5.
 
Wakati nikiwa Sekondari, kuna siku kulitokea ugomvi darasani kati ya mwl na mwanafunzi. Ilikuwa hivi: huyo mwl alikuwa akifundisha Chemistry, ila ki ukweli alikuwa mwl 'siyawezi'! Nadahni watu wazima wananielewa hapa. Sasa kuna mwanafunzi badala ya kumsikiliza mwl, akawa anaandika nukuu (notes) za somo jingine. Mwl alipomwona aling'aka, akafura, akamkwida shingoni. Baada ya yule mwanafunzi kukosa hewa, akajitetea na yeye akamkwida mwl.

Baadaye mwl. akatoa taarifa kwa Headmaster kuwa ameshambuliwa na mwanafunzi. Wote tukajua kuwa yule mwanafunzi atafukuzwa shule. Sasa siku moja tuliitwa ofisini kwa Headmaster kama mashahidi tulioshuhudia tukio hilo. Mwl husika hakuwepo ofisini. Baada ya ushahidi wote kutolewa, Headboy ambaye naye alikuwepo ofisini akamlipua mwl kuwa ni mwl 'siyawezi'! Wote tukajua atashughulikiwa. Cha ajabu Headmaster alimshukuru sana na alisema maneno haya: 'Umetusaidia sana kujua chanzo cha tatizo, kwa sababu Serikali ya wanafunzi ni jicho la tatu la utawala ambalo kazi yake ni kuona kule ambako utawala hauwezi kuona'.

Sasa hii kesi ya brother Paschal naifananisha na ile ya mwanafunzi na mwl. Ina maana hawa waheshimiwa sana hawataki kuoneshwa kule ambako hawawezi kuona, hawataki kukosolewa kwa kuwa wanadhani hawawezi kukosea. Sasa kama wanadhani wao ni wakamilifu hawakosei, huko makanisani na misikitini wanakoshinda tunawaona kwenye ma kamera wame bow na kunyeyekea wanaenda kufanya nini? Wanamdhihaki Mungu? Maana kwa sisi Wakristo tunaamini kwamba sisi ni wenye dhambi, na hata Yesu alitumwa kutukomboa wakosefu, akafa msalabani kwa ajili yetu!

Lakini uzuri, Mungu hamfichi mnafiki. Jaribu kuangalia picha za hao wajumbe wa kamati. Hakuna hata mmoja ambaye amemwangalia usoni Paschal. Ni kama their faces are guilt. Hawana confidence na kitu wanachokifanya, kwa hiyo ni unafiki tu! Kwa sababu, kama wanavyodai mtuhumiwa amelidharau Bunge which is a serious allegation. Nilitegemea wajumbe wote wam face Paschal squarely ili waone Eye activity ya Paschal ambayo kitaalam itawapa dondoo kama ana hatia ama la! Hapa nadhani wataalam wa interrogation watanielewa.

Lakini mwisho wa siku, haya yote yana mwisho. Kitu cha milele ni Mungu tu, lakini madaraka, cheo, pesa, utajiri ni vya kupita tu!

Word!!!
 
Pole mzee wangu,,, mshukuru Mungu u msukuma
Hii haihusiki na Usukuma wake ama si Msukuma
The damage tayari imefanyika dhidi yake na kuingizwa kwenye REKODI kwamba
Pascal aliwahi kuitwa bungeni siku moja.
Hilo HAITAFUTIKA litabaki kama kumkumbu za bunge.
It is unfair.
 
Mayala hapo inaonekana ww ndo ulikuwa Mwenyekiti wa kikao kama Magu anavyokaaga na mawaziri wake, Sioni ishara yoyote ya kuonekana ww ndo mtuhumiwa, hamna hata wa kukuface usoni ? Hawa wabunge ni vilaza kweli , confirmed.
 
Boss MADOTTO Kaka Pascal Mayalla Hakuwa na hata Karatasi ya Majibu au Daftari au Notebook au Laptop au Kitabu???!!! Maana ukiangalia Wajumbe wa Kamati wana Makabrasha kibao.

Kweli nimeamini, Wahenga walisema ... Ukubwa wa Pua ..... !!!

Mwandishi wa kujitegemea, Ndg. Pascal Mayala (katikati) akihojiwa na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa kosa la kuandika habari yenye maudhui ya kudharau Bunge kwenye safu yake ya gazeti la Rai Mwema

Amefika hapo ikiwa ni baada ya Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai kuagiza Ndg. Pascal Mayala pamoja Wahariri wa Gazeti la Raia Mwema wafikishwe mbele ya kamati hiyo.

Habari zaidi, soma => Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge
 
Mwandishi wa kujitegemea, Ndg. Pascal Mayala (katikati) akihojiwa na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa kosa la kuandika habari yenye maudhui ya kudharau Bunge kwenye safu yake ya gazeti la Rai Mwema

Amefika hapo ikiwa ni baada ya Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai kuagiza Ndg. Pascal Mayala pamoja Wahariri wa Gazeti la Raia Mwema wafikishwe mbele ya kamati hiyo.

Habari zaidi, soma => Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia
 
Wakati nikiwa Sekondari, kuna siku kulitokea ugomvi darasani kati ya mwl na mwanafunzi. Ilikuwa hivi: huyo mwl alikuwa akifundisha Chemistry, ila ki ukweli alikuwa mwl 'siyawezi'! Nadahni watu wazima wananielewa hapa. Sasa kuna mwanafunzi badala ya kumsikiliza mwl, akawa anaandika nukuu (notes) za somo jingine. Mwl alipomwona aling'aka, akafura, akamkwida shingoni. Baada ya yule mwanafunzi kukosa hewa, akajitetea na yeye akamkwida mwl.

Baadaye mwl. akatoa taarifa kwa Headmaster kuwa ameshambuliwa na mwanafunzi. Wote tukajua kuwa yule mwanafunzi atafukuzwa shule. Sasa siku moja tuliitwa ofisini kwa Headmaster kama mashahidi tulioshuhudia tukio hilo. Mwl husika hakuwepo ofisini. Baada ya ushahidi wote kutolewa, Headboy ambaye naye alikuwepo ofisini akamlipua mwl kuwa ni mwl 'siyawezi'! Wote tukajua atashughulikiwa. Cha ajabu Headmaster alimshukuru sana na alisema maneno haya: 'Umetusaidia sana kujua chanzo cha tatizo, kwa sababu Serikali ya wanafunzi ni jicho la tatu la utawala ambalo kazi yake ni kuona kule ambako utawala hauwezi kuona'.

Sasa hii kesi ya brother Paschal naifananisha na ile ya mwanafunzi na mwl. Ina maana hawa waheshimiwa sana hawataki kuoneshwa kule ambako hawawezi kuona, hawataki kukosolewa kwa kuwa wanadhani hawawezi kukosea. Sasa kama wanadhani wao ni wakamilifu hawakosei, huko makanisani na misikitini wanakoshinda tunawaona kwenye ma kamera wame bow na kunyeyekea wanaenda kufanya nini? Wanamdhihaki Mungu? Maana kwa sisi Wakristo tunaamini kwamba sisi ni wenye dhambi, na hata Yesu alitumwa kutukomboa wakosefu, akafa msalabani kwa ajili yetu!

Lakini uzuri, Mungu hamfichi mnafiki. Jaribu kuangalia picha za hao wajumbe wa kamati. Hakuna hata mmoja ambaye amemwangalia usoni Paschal. Ni kama their faces are guilt. Hawana confidence na kitu wanachokifanya, kwa hiyo ni unafiki tu! Kwa sababu, kama wanavyodai mtuhumiwa amelidharau Bunge which is a serious allegation. Nilitegemea wajumbe wote wam face Paschal squarely ili waone Eye activity ya Paschal ambayo kitaalam itawapa dondoo kama ana hatia ama la! Hapa nadhani wataalam wa interrogation watanielewa.

Lakini mwisho wa siku, haya yote yana mwisho. Kitu cha milele ni Mungu tu, lakini madaraka, cheo, pesa, utajiri ni vya kupita tu!
Mwisho wa ugomvi wa Mwalimu na Mwanafunzi ilikuwaje? Nitashukuru ukimalizia
 
Sidhani kama huko duniani kuna wabunge wengine eti hufanya kazi ya kuwahoji wananchi wanao wakosoa! Tumewachagua sisi mkatuwakilishe sasa Leo kivipi tukose nguvu ya kuwaeleza madukuduku yetu? au mmejiona maboss sana? Alafu mtatoaje haki kama ninyi mliosemwa ndiyo eti mnahoji so mngeanzisha ka mahakama kenu muajiri majaji? Mnaacha kuzingatia bajeti na kuifuatilia trilioni 1.5 mnajidai busy kufatilia nano kawasema!! Hatukuwatuma bungeni kwenda kufanya hayo LA mnataka tuone alichoandika Mayala kina ukweli...
 
Well observed! “Kesi ya nyani hakimu ni ngedere” it’s obvious kutakuwepo na a huge conflict of interest. Bunge kama limekuwa defamed lingepeleka kesi Mahakamani! The courts have the dispensation to deliver justice in an impartial manner. Hutarajii Pascal Mayala Raia wa kawaida kutendewa haki na kamati ya Bunge ambayo in principle ndio mlalamikaji. Tijifunze kuheshimu utawala wa sheria. Assume Pascal Mayala( Njaa kwa tafsiri ya JPM) anakutwa na hatia kwa kanuni za Bunge atakata rufaa wapi? This is sexing of ones constitutional rights. Kama in the view of the legislators ametenda kosa then angeshitakiwa in a court of law ! The kamati ya Bunge kwa asiyekuwa Mbunge it’s a mere kangaroo court!
 
Amani kwenu nyote

Yesu Kristo alipofufuka kwa wavu mara baada ya kulala Karubini kwa siku 2, alifufuka siku ya 3 na neno lake la kwanza wa binadamu wenye hofu na mashaka ni Amani iwe kwenu...Peace on Earth. Aliwatakia amani mitume wake kwa sababu walikuwa wanatafutwa na utawala wa Rumi kama walivyomkamata yeye (Yesu) na kumtesa kwa kisingizio cha kujitangazia ufalme wa Uyahudi

Takribani siku 5 hivi kumeibuka mijadala mikubwa ikiwahusisha viongozi wakubwa wa Kisiasa kujibu HOJA za CAG hasa ile ya Trilion 1.5 ambayo CAG ameshindwa kuona matumizi yake wala viambatanisho wakati yatari imetumika.
Kwa kuwa Paschal Mayalla ni mchambuzi mzuri wa ukweli - Truth na kwa kuwa haogopi kuisema kweli popote kwa sababu itatuweka huru nasi tutakwa huru kweli nimeona ni vyema kuulizia afya yake maana hajasomeka maoni yake nasi wasomaji wake waaminifu hasa tuliosoma naye tumeshidwa kujua ukimya wake maana yake nini?
Trilion 1.5 kukosa maelezo kulitosha kabisa kumwajibisha mlipaji Mkuu wa hazina kwa sababu ndiye anayeidhinisha malipo yote ya serikali; HAIWEZEKANI ,HAIKUBALIKI na HAIVUMILIKI Mkuu wetu wa Nchi anayefnaya juhudi kubwa kwa maarifa yote kuijenga Nchi na kuinyoosha aje aaibishwe kwa kashifa kubwa namna hii.
Hivyo basi naombeni aliye karibu na Paschal amwambie aje ajibu hoja naye, aeleze msimamo wake upo upande gani? maana tumeshamsikia CAG,ZZK, Polepole na bado wale wa upande wa Pili, labda ndio wamezikwapua? Kimya chao kinatoa tafsiri gani?

Dunia itakuwa mahali pa hatari kuishi kama wale wema watakaa kimya dhidi ya ubaya unaotendwa
Martin Luther King Jr aliwahi kusema kuwa Ni mwanga tu ndio wenye uwezo wa kuondoa Giza na kamwe giza haliwezi kuondolewa kwa kuongeza giza nene

Bill Graham naye alisema kuwa Mwanga wa muhimu sana ni ule mdogo utakaokusaidia kumwona Nyoka karibu na Miguu yako
 
Mkuu we unadhani ataongea nini kuhusu watu wa kabila lake?
Aliwasifia sana mpaka kupitiliza sasa anaona aibu yeye,
We si unaona hata kina jingalao wanavyojikanyaga
 
Back
Top Bottom