Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,478
- 30,025
Ninamuelewa sana na niliwahi kumuuliza anaweza kuwa Lakha?Hujawahi kumuelewa Pasco
Hajawahi kupiga magoti na kutambaa kama nyoka kwa kujifanya mnyenyekevu kisa pesa, angekuwa nazo asingekuwa mnyenyekevu, ananitia mashaka kuwa akifanikiwa chuki itaongezeka dhidi ya Chadema kwani atajiona yeye ni mbunge wa CCM.Tumsapoti tu, show luv, adui siku zote mwache aone Miujiza ya Mungu juu yako. Akifa hataona makuu yanayotendwa na Mungu baba
Paskali popote ulipo unaitwa huku uje ujibu tuhuma zinazokukabiliPascal Mayala(CCM) alipopata uwakili nilimuuliza kama atakuwa wakili wa wanaccm tu na mwanachadema ambaye siku zote anahasira naye ataweza kumtetea...
Sijasema tusimchangie, kumbuka hata misibani watu husimangwa na wengine kususiwa chakula kutokana na matendo yao.Me nadhani tumchangie kaa Mtanzania akipata sawa ni watanzania wamepata akijifanya ni mwamba as mwanaccm basi tunatunza daftari kwani kesho bado kuna maisha.
👉🏾Naendelea kujifunza tabia ya binadamu.
Post yake alijizungumzia yeye kama mgombea mtalajiwa.Si vyema kuzungumzia watu, zungumzia issues
Kwani hauna ndugu, itisha kikao cha ukoo tuacheni sisi tubaki na tozo tu zakuweka na kutoa hela benki.Yaani fursa zimekuwa nyingi mnishauri sasa nikachukue fomu EALA au nikaandikishe sensa ?
Msaada tutani.
wewe kama unataka kumchangia mchangie tu haya mengine yanatoka wapi?kwani chadema ni nini?na nani alikuambia Pasckali ni wakili wakati aliishawambia yeye hajapractice hiyo taaluma.acheni roho mbaya ukitaka kumsaidia mtu msaidie uchama unatoka wapi.mtakuja hata kubaguana kwenye familia.vyama hivi havina msaada wowote.Pascal Mayala(CCM) alipopata uwakili nilimuuliza kama atakuwa wakili wa wanaccm tu na mwanachadema ambaye siku zote anahasira naye ataweza kumtetea? Swali langu lilitokana na dunia kuwa duara, tenda ulitendalo lakini kuna siku utakwama na kuwarudia unaowachukia.
Pasikali asiyewapenda wanachadema leo anawaomba watanzania wote( sijui kama wanachadema nao ni watanzania) bila kujali tofauti zao wamchangie pesa aweze kugombea ubunge wa Jumuia ya Afrika Mashariki!
Huyu Paskali anachohitaji pesa tu za kumuwezesha kugombea ubunge tu na atakapoupata atawashukuru wanaccm na viongozi wake, Pascal atajipambanua yeye ni mbunge kupitia CCM na si watanzania, tukumbuke hii ni EAC.
Pascal ajue uumchukiae kesho atakuja kukufaa na siasa hazihitaji chuki za binafsi.
Kwani watu hawabaguani kwenye familia! Leo ndiyo unajua vyama havina msaada! Swala la uwakili rejea mabandiko yaliyomo humu na simulizi zake.wewe kama unataka kumchangia mchangie tu haya mengine yanatoka wapi?kwani chadema ni nini?na nani alikuambia Pasckali ni wakili wakati aliishawambia yeye hajapractice hiyo taaluma.acheni roho mbaya ukitaka kumsaidia mtu msaidie uchama unatoka wapi.mtakuja hata kubaguana kwenye familia.vyama hivi havina msaada wowote.
Sasa mkuu kwakua nipo lumumba tu bila kuwa na ishu nyingine yaani natembea tembea tu kwenye korido.Kwani hauna ndugu, itisha kikao cha ukoo tuacheni sisi tubaki na tozo tu zakuweka na kutoa hela benki.
Mbona mimi ninaokota chupa na vyuma chakavu na nimetoboa jioni niko Vitivirefu.Sasa mkuu kwakua nipo lumumba tu bila kuwa na ishu nyingine yaani natembea tembea tu kwenye korido.
Nishauri ni wapi nitatoboa mapema.