Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 36,605
- 61,319
Sawa Mzee Enjoy the Ride.Chadema ni wapumbavu
Sawa Mzee Enjoy the Ride.Chadema ni wapumbavu
Angemsifia mbunge wako hakika ungekaa kimya...huo ndio udhaifu wetu.. of course ndio unafiki wenyewe kwa mujibu wa kamusi.Nyumba za ibada nyimbo zinazotakiwa kuimbwa ni zile za kumsifu Mungu tu sio za kujisifia,kusifia serikali au kulaani serikali
Nyumba ya ibada ni nyumba ya Mungu sio ya serikali
Huo wimbo upumbavu mtupu hauna sifa ya kuimbwa kanisani muimbaji kapungukiwa maandiko ndio shida ya waimbaji wengi binafsi
Wana upungufu mkubwa wa maandiko
Wimbo wa kumsifu mtu kanisani au yeye kujisifia hapana siwezi kukubali nitaondoka hiyo ibadaAngemsifia mbunge wako hakika ungekaa kimya...huo ndio udhaifu wetu.. of course ndio unafiki wenyewe kwa mujibu wa kamusi.
Kuazimwa simu pamoja na line kwani kosa kisheria?Jelaaa hiyooo kwa kosa la kumiliki line ya simu isiyokuwa yake.
Hata akitoa movie kama Wolper, sisi tupo na Samia Hadi 2030Katema cheche kule yani ni kama kaamuwa kujilipuwa.
Muulize Idris Sultan ana majibu.Kuazimwa simu pamoja na line kwani kosa kisheria?
Nakuuliza weweMuulize Idris Sultan ana majibu.
Kaamua kujiingiza kuimba nyimbo za siasa tata, mialiko mingi itayeyuka hewani kwa wasiopenda kujihusisha na siasa hawatamwalika tena ataishia kuimba studioHii single ni kali sana!
Fanya ununue spika ya Sundar utembee nayo mtaani ukiiskiliza kwa Sauti kubwa.Ngoma kali sana mkuu ila mm bado sijaisikiliza 🔥
Mimi ni CCM damu lakini huu wimbo utaishi saaaana.Katema cheche kule yani ni kama kaamuwa kujilipuwa.
Sina pesaFanya ununue spika ya Sundar utembee nayo mtaani ukiiskiliza kwa Sauti kubwa.
Upare tu anakusumbua.Sina pesa
Kuna hotel hapa kitaani ndo hua naenda kujibana hapo kuna kitongaUpare tu anakusumbua.
Bando hukosagi au unatumia Data za Samia Data za Mama.