Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 51,721
- 124,873
Yah mkuu amapiano flan hv haichoshi kusikiliza, Kuna kile kipande jamaa anasema wanatuona sisi nyani nimekipenda Sana Jamaa ameenda na beat vzr 🔥Hii ni ngoma kali sana kwa Mwaka huu 2025.
Imebamba mno Beat kali, melody kali, suxaphone kali
