Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 36,586
- 61,248
Mola amuepushe na balaaSiku sio nyingi tutasikia Jamaa ameokotwa Coco Beach 😎
Mola amuepushe na balaaSiku sio nyingi tutasikia Jamaa ameokotwa Coco Beach 😎
Tuombe Mungu atupe ujasiri.Yuko sahihi,Hatari kubwa kwake ni kwenda Jehanamu kwa kuimba wimbo wa kidunia
Jamaa ametimiza wajibu wake kwa kuusema UkweliIngia You tube kisha search Pascal casssian utapata huo wimbo.
Hakika.Sijuwi kwanini viongozi wanakwepa kutamka neno hski.Wao hupenda kusema Amani,wajibu,upendo.Mola amuepushe na balaa
😀😀😀Haki inawashtaki mioyoni.Hakika
Hakika.Sijuwi kwanini viongozi wanakwepa kutamka neno hski.Wao hupenda kusema Amani,wajibu,upendo.
Weka huo wimboKatema cheche kule yani ni kama kaamuwa kujilipuwa.
Wahi Milembe.Pigaaaa wapumbavu hawa
HAkuna alie juu ya sheria
😀😀Wahi Milembe.
Gilbert una shida gani lakini😀😀Sahau
Endelea kutumia majina feki kama panya buku
Msiiiharibu jf.Sahau
Endelea kutumia majina feki kama panya buku
Hiyo ngoma sijaisikiliza Ila nimeipenda Sana hakika ni ngoma ya taifa
Chadema ni wapumbavuGilbert una shida gani lakini😀😀
Shida makushabu Yana kuharibu😁😂Hii ngoma inaweza kutumika kwenye nyumba za ibada 🔥
Mimi ni Memba wa mwanzo kabisa JfMsiiiharibu jf.
Inasikitisha sana mkuu 😭Shida makushabu Yana kuharibu😁😂
Ngoma kali sana mkuu ila mm bado sijaisikiliza 🔥