Weekend hii ilenda vizuri kwa kutazama movie

oko majimaji

JF-Expert Member
Nov 11, 2016
387
925
Weekend hii iliyopita ilienda vizuri sana sikutegemea mana sikua na mtoko wowote ule, basi nikasema hii weekend ni ya kuchill home nakaona haitakua vyema bila ya kusindikiza na movies, aisee nilpata bahati ya kupata movies kali kinoma hutamani hata ikupite.

Hivyo basi napenda kushare movie nilizoangalia kama na wewe mdau ni mpenzi wa movie kama mimi jaribu kuzitafuta hizi:

  1. No where
  2. Society of the snow (true story)
  3. Damsel
  4. Papillon (true story)
  5. The impossible (true story)
 
No where nishaicheki Bongo mpaka tutoe chuma cha vile sijui ni lini....baharini....Mwanamke alipambania kombe mpaka mwisho..
 
Back
Top Bottom