Part II: Bado safari yangu ya kusaka utajiri wa nguvu za giza inaendelea

Status
Not open for further replies.
Kama ambavyo awali nilikwisha jitokeza kuomba 'Connection' ya mtaalam au wataalam wa ndagu za utajiri au utajiri wa nguvu za giza.

Nasikitika kusema kuwa bado sijapata haswa sehemu ambayo mhusika anaweza kunishika mkono kunipeleka au kuwa kama 'Godfather' kuniinguza katika ufalme huo wa giza haswa kupata utajiri.

Mwanzoni uzi wangu nilishuhudia walioniunga mkono, nilipata madalali wengi, matapeli pia walikuepo, wachache walionielekeza sehemu asilimia kubwa nilikuta mtaalam amehama / kufariki kwahio kuniwia vigumu.

Najua pia ilivyo ngumu mtu kuamini haswa kwa dhati kwamba huyu mtu kweli anataka kuchukua njia hio na kupelekea hata aliyekua na connection au alie upande huo kuwa na ugumu sana kukupa connection. Wengine tu hawataki, hakuna sababu maalum lakini hawataki tu na huwezi kumlazimisha.

Mimi bado naendelea na safari yangu ya kuutafuta utajiri wa nguvu za giza au ufalme wa giza, hakuna ubaya katika hilo, ni imani kama imani nyingine, umasikini ni laana, umaskini hauzoeleki, siutaki umaskini, nimeulaani umaskini, na mpendwa wangu Lucifer alisema wazi kuwa ukinisujudia nitakupa mali zote za dunia hii, nami nataka ku claim hiyo power.

Hivyo naendelea kujitokeza kwa wale ambao wataweza kunisaidia kunipa.connection ya UHAKIKA ama kunipeleka basi waweze kunisaidia katika hilo.

Hail Lucifer!

ANGALIZO: Wale walokole na wafia dini nawaomba mtulie, siwahitaji kwenye uzi wangu.
Kuna sehemu Ludewa sharti lake ni kupanda Tu mamba,baada ya hapo umaskini utausikia kwenye bomba.
 
Ukipata namimi nishtue mkuu Twende pamoja Kwanini duniani tuteseke na mbinguni nako tukateseke haiwezekani Kwakweli.
 
Mpaka leo hakieleweki!! Au hakuna utajiri wa hii kitu? Au ni story za kitaa?
 
Sio stori za kitaa mkuu, lipo kabisa na linaishi hili jambo, mimi nilifika sehem husika kwa maelekezo ya member mmoja humu ambaye amefanikiwa kabisa sitamtaja jina kabisa na nilikutana naye ana maisha safi kabisa, sema bahat mbaya mtaalam hakuepo na nilimkuta hadi mkewe akaniambia ameondoka ana miezi 2 hajarudi nyumbani ameenda huko maporini kuongeza nguvu
Chief miez miwil mbele tena rud kachek mazingira anaweza akawa asharud
 
Sio stori za kitaa mkuu, lipo kabisa na linaishi hili jambo, mimi nilifika sehem husika kwa maelekezo ya member mmoja humu ambaye amefanikiwa kabisa sitamtaja jina kabisa na nilikutana naye ana maisha safi kabisa, sema bahat mbaya mtaalam hakuepo na nilimkuta hadi mkewe akaniambia ameondoka ana miezi 2 hajarudi nyumbani ameenda huko maporini kuongeza nguvu
Mkuu miezi miwili sio mingi. Kama hutojali naomba unipe hiyo connection

Umasikini ni wakulaaniwa na kila mwenye akili timamu
 
Haya mambo ni siri Dinazarde..sitaweza ku share chochote, hata huyo magere aliyekuja humu na wa aina yake ni waongo wanatafuta kuuza vitabu wapate kuishi ..mjini hapa! Hakuna tajiri atakuambia siri ya utajiri wake, labda aamue mwenyewe kukusaidia kukuonesha njia alizotumia haswa za dini yangu ya satanism.
Kama ni Mambo ya Siri wenye wataalamu wao wanaendelea kufanya Siri .

Hawakupi connection
 
Kama ambavyo awali nilikwisha jitokeza kuomba 'Connection' ya mtaalam au wataalam wa ndagu za utajiri au utajiri wa nguvu za giza.

Nasikitika kusema kuwa bado sijapata haswa sehemu ambayo mhusika anaweza kunishika mkono kunipeleka au kuwa kama 'Godfather' kuniinguza katika ufalme huo wa giza haswa kupata utajiri.

Mwanzoni uzi wangu nilishuhudia walioniunga mkono, nilipata madalali wengi, matapeli pia walikuepo, wachache walionielekeza sehemu asilimia kubwa nilikuta mtaalam amehama / kufariki kwahio kuniwia vigumu.

Najua pia ilivyo ngumu mtu kuamini haswa kwa dhati kwamba huyu mtu kweli anataka kuchukua njia hio na kupelekea hata aliyekua na connection au alie upande huo kuwa na ugumu sana kukupa connection. Wengine tu hawataki, hakuna sababu maalum lakini hawataki tu na huwezi kumlazimisha.

Mimi bado naendelea na safari yangu ya kuutafuta utajiri wa nguvu za giza au ufalme wa giza, hakuna ubaya katika hilo, ni imani kama imani nyingine, umasikini ni laana, umaskini hauzoeleki, siutaki umaskini, nimeulaani umaskini, na mpendwa wangu Lucifer alisema wazi kuwa ukinisujudia nitakupa mali zote za dunia hii, nami nataka ku claim hiyo power.

Hivyo naendelea kujitokeza kwa wale ambao wataweza kunisaidia kunipa.connection ya UHAKIKA ama kunipeleka basi waweze kunisaidia katika hilo.

Hail Lucifer!

ANGALIZO: Wale walokole na wafia dini nawaomba mtulie, siwahitaji kwenye uzi wangu.
Unakwama wapi wewe nenda pale posta Freemason hall, ukifika ongea na mlinzi friendly atakueleza namna ya kuingia...

Miaka miwili nyuma ilikuwa unaenda na Elfu hamsini na hiyo sio kwamba pesa ya kuwalipa hapana ile nipesa unayo toa na kuwaaminisha kwamba kweli we umedhamiria pia wamefanya hivyo ili kuweka uzio kwa wenzangu na mimi kujaribu jaribu maana mtu akijua free basi anaingia kichwa kichwa mwisho wa siku anakua hasara tu.

Kiufupi Utapewa fomu ujaze then watakutafuta, kuna namna wanafanya wanacheki Nyota yko.

NB. Ukijiunga uko tu ndugu yangu kwa Mungu hesabu maumivu. Kule hautoki na ukitoka ujue maiti kila la kheri.
 
Kama ambavyo awali nilikwisha jitokeza kuomba 'Connection' ya mtaalam au wataalam wa ndagu za utajiri au utajiri wa nguvu za giza.

Nasikitika kusema kuwa bado sijapata haswa sehemu ambayo mhusika anaweza kunishika mkono kunipeleka au kuwa kama 'Godfather' kuniinguza katika ufalme huo wa giza haswa kupata utajiri.

Mwanzoni uzi wangu nilishuhudia walioniunga mkono, nilipata madalali wengi, matapeli pia walikuepo, wachache walionielekeza sehemu asilimia kubwa nilikuta mtaalam amehama / kufariki kwahio kuniwia vigumu.

Najua pia ilivyo ngumu mtu kuamini haswa kwa dhati kwamba huyu mtu kweli anataka kuchukua njia hio na kupelekea hata aliyekua na connection au alie upande huo kuwa na ugumu sana kukupa connection. Wengine tu hawataki, hakuna sababu maalum lakini hawataki tu na huwezi kumlazimisha.

Mimi bado naendelea na safari yangu ya kuutafuta utajiri wa nguvu za giza au ufalme wa giza, hakuna ubaya katika hilo, ni imani kama imani nyingine, umasikini ni laana, umaskini hauzoeleki, siutaki umaskini, nimeulaani umaskini, na mpendwa wangu Lucifer alisema wazi kuwa ukinisujudia nitakupa mali zote za dunia hii, nami nataka ku claim hiyo power.

Hivyo naendelea kujitokeza kwa wale ambao wataweza kunisaidia kunipa.connection ya UHAKIKA ama kunipeleka basi waweze kunisaidia katika hilo.

Hail Lucifer!

ANGALIZO: Wale walokole na wafia dini nawaomba mtulie, siwahitaji kwenye uzi wangu.
Nenda Tunduma Mbeya kwa fundi wa Punje za mahindi kuliwa na kuku.... Idadi ya Punje atakayomeza ndiyo idadi ya miaka utakayoishi kwa utajiri wowote unaoutaka. Akidonoa na kutema life span yako hapo ni ½ mwaka.

Inasemakana lakini...
(NB: sorry lakini maana nimetoa ushauri huu bila kusoma uzi mzima-nimesoma heading pekeee).
 
DDuuh
Nenda Tunduma Mbeya kwa fundi wa Punje za mahindi kuliwa na kuku.... Idadi ya Punje atakayomeza ndiyo idadi ya miaka utakayoishi kwa utajiri wowote unaoutaka. Akidonoa na kutema life span yako hapo ni ½ mwaka.

Inasemakana lakini...
(NB: sorry lakini maana nimetoa ushauri huu bila kusoma uzi mzima-nimesoma heading pekeeepekee
Duuuh
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom