Part 4: TISS bado safari ngumu

Part 4: TISS bado safari ngumu

Nyie mnaoilalamikia TISS kila kukicha, hebu jaribuni kwanza kufanya utafiti wa kina kuhusiana na hiyo Taasisi yenyewe kwanza.

Fanyeni utafiti TISS ukilinganisha na Taasisi zingine za Ujasusi ktk nchi zingine mbalimbali, kuizingatia suala LA Sheria, na Kanuni za Taasisi husika, Miundo yao ya Utendaji, Recruitment systems zake, n.k.

Narudia tena kusema kuwa, tatizo kubwa linaloikabili TISS linatokana NA kuwepo kwa Sheria mbaya , Kanuni, Miongozo NA Taratibu zilizopo ambazo hazifai zinazosimamia utekelezaji wa shughuli za kila siku za Taasisi yenyewe.
Sheria na Kanuni ni mbaya, zimepitwa na wakati, hazifai NA wala hazina tija ktk Kulinda NA Kuitetea Maslahi mapana ya umma wa wananchi wa Tz.

USHAURI ILI IWEPO TISS NZURI TZ

1.KUREKEBISHA SHERIA

Yafanyike Marekebisho ya Sheria, Kanuni, Miongozo mbalimbali inayotumika ktk kusimamia uendeshaji wa Shughuli za kila siku za Taasisi hii nyeti kabisa, TISS .
Bila kusahau kurekebisha Katiba ya nchi.
Sheria na Kanuni zibadilishwe ili ziendane na mahitaji ya wakati wa sasa wa Mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia, Utandawazi, Ushindani wa Kiuchumi kupitia nguvu ya Soko.

TISS ijikite zaidi NA ielekeze nguvu zaidi ktk kufanya UJASUSI wa Kiuchumi, badala ya Ujasusi wa Kisiasa ambao hauna tija yoyote ile kwa maslahi mapana ya umma.
TISS iwe ni Taasisi ya UKOMBOZI WA KIUCHUMI KWA Watz, KWA sababu adui mkubwa zaidi KWA sasa nchini Tz ni Umaskini na Uchumi mbaya kwa nchi na wananchi wake KWA ujumla

2.KUFANYA MAPINDUZI YA FIKRA KUPITIA "ELIMU BORA"

Elimu Bora ni silaha nzito zaidi kuliko zote ili kuleta maendeleo endelevu yaliyo ya kweli mahali popote pale. Bila ya Elimu bora hakuna maendeleo ya kweli, kamwe maendeleo hawawezi kuja KWA miujiza isipokuwa kupitia Elimu bora.
Wananchi wote wahimizwe kuhusu suala la Elimu bora.
TISS nayo ifanye recruitment ya Watu wenye upeo mkubwa, ambao watakuwa na tija ktk Taasisi hiyo NA KWA nchi KWA ujumla. Watu waajiriwe kulingana na UWEZO wao NA taaluma zao walizonazo, wala siyo kutokana na mitazamo yao ya kiitikadi kwenye masuala ya Kisiasa kama ilivyo hivi sasa.

ELIMU (Intelligence) ndio nguzo kuu kabisa ktk kufanikisha utekelezaji wa majukumu yake yote kwenye Taasisi yoyote ile ya Ujasusi popote pale duniani, ndio maana zinaitwa "INTELLIGENCE SECURITY AGENCY"

3.KUUNDA TAASISI ILIYO COMPETENT KIUTENDAJI

Taasisi hii ni nyeti sana ktk nchi yoyote ile, hivyo basi, inatakiwa itawaliwe na weledi WA hali ya juu kabisa ktk utendaji wao wa kazi, isiingilwe hovyo hovyo kiutendaji na wanasiasa.Ni hatari sana KWA Usalama wa nchi NA wananchi wake.

Endapo kama wanasiasa na watu wengine wasiohusika watakuwa na maamuzi kwenye Taasisi nyeti kabisa kama hii, hatari yake ni kwamba badala ya kuwa Taasisi ya Usalama WA Taifa itageuka NA kuwa Taasisi HATARI ZAIDI kwa Usalama WA nchi NA wananchi wake. Itakuwa ni "Genge LA Mauaji" ktk nchi husika, "Mafia Gangs", na mifano hao ipo mingi sana kwenye hili, e.g. KGB, GESTAPO, etc.

Isipokee maagizo ya hovyo hovyo kutoka WA Wanasiasa NA kuyatekekeza pasipo na kuyafanyia upembuzi yanikifu kwanza, uzalendo na maslahi mapana ya umma yawekwe mbele kwanza KWA kila uamuzi au muafaka unaofikiwa au KWA kila jambo litakaloamriwa NA Taasisi hii.

Mfano mzuri wa maamuzi bora kabisa ya kizalendo KWA maslahi mapana ya umma ni kupitia tukio moja LA kisa cha kweli huko nchini Afrika Kusini. "Mamlaka" ziliwahi kutoa Amri za Kuua (Assassination Orders ) zikipendekeza kuuliwa kwa mwanasiasa kijana wa upinzani, ambaye ni machachari zaidi na mkosoaji mkubwa zaidi wa Serikali Bwana Julius Malema. Baadhi ya Wajumbe wa Security Committees ambao kisheria wana mamlaka ya kuidhinisha assassination orders kabla ya kutekelezwa kwake, walipinga pendekezo hili la kumuua huyo mwanasiasa. Pale Mamlaka zilipoendelea kutoa pendekezo hili kwa kurudia rudia, baadhi ya wajumbe WA Security committee walikerwa na badala yake waliamua kuvujisha taarifa hizi nyeti kabisa kwa umma ili kuzima kabisa hilo jaribio ovu la kumuua huyo mwanasiasa.
Ndugu yangu maoni na ushauri wako uko sahihi ila shida ni namna ya kuyatekeza hayo, ukiangalia vyombo vyote vya kimaamzi kama, Rais, Bunge, labda na mahakama vimejaa wahuni ambao hayo uliyoyashauri yafanyike hawawezi kuyaruhusu yafanyike kwa kuwa wanamaslahi nayo binafsi yasiyo maslahi ya Taifa.

Mimi ushauri wangu, TISS wakiamua wanaweza kuwa chachu ya mabadiliko ya kweli kwa kuvujisha taarifa za magenge hayo yanayojinufaisha ili wanachi wapate taarifa zakutosha za maovu ya magenge hayo ili ziwakere wananchi na hatimaye wananchi washinikize utekelezaji wa maoni na ushauri wako.
 
Nyie mnaoilalamikia TISS kila kukicha, hebu jaribuni kwanza kufanya utafiti wa kina kuhusiana na hiyo Taasisi yenyewe kwanza.

Fanyeni utafiti TISS ukilinganisha na Taasisi zingine za Ujasusi ktk nchi zingine mbalimbali, kuizingatia suala LA Sheria, na Kanuni za Taasisi husika, Miundo yao ya Utendaji, Recruitment systems zake, n.k.

Narudia tena kusema kuwa, tatizo kubwa linaloikabili TISS linatokana NA kuwepo kwa Sheria mbaya , Kanuni, Miongozo NA Taratibu zilizopo ambazo hazifai zinazosimamia utekelezaji wa shughuli za kila siku za Taasisi yenyewe.
Sheria na Kanuni ni mbaya, zimepitwa na wakati, hazifai NA wala hazina tija ktk Kulinda NA Kuitetea Maslahi mapana ya umma wa wananchi wa Tz.

USHAURI ILI IWEPO TISS NZURI TZ

1.KUREKEBISHA SHERIA

Yafanyike Marekebisho ya Sheria, Kanuni, Miongozo mbalimbali inayotumika ktk kusimamia uendeshaji wa Shughuli za kila siku za Taasisi hii nyeti kabisa, TISS .
Bila kusahau kurekebisha Katiba ya nchi.
Sheria na Kanuni zibadilishwe ili ziendane na mahitaji ya wakati wa sasa wa Mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia, Utandawazi, Ushindani wa Kiuchumi kupitia nguvu ya Soko.

TISS ijikite zaidi NA ielekeze nguvu zaidi ktk kufanya UJASUSI wa Kiuchumi, badala ya Ujasusi wa Kisiasa ambao hauna tija yoyote ile kwa maslahi mapana ya umma.
TISS iwe ni Taasisi ya UKOMBOZI WA KIUCHUMI KWA Watz, KWA sababu adui mkubwa zaidi KWA sasa nchini Tz ni Umaskini na Uchumi mbaya kwa nchi na wananchi wake KWA ujumla

2.KUFANYA MAPINDUZI YA FIKRA KUPITIA "ELIMU BORA"

Elimu Bora ni silaha nzito zaidi kuliko zote ili kuleta maendeleo endelevu yaliyo ya kweli mahali popote pale. Bila ya Elimu bora hakuna maendeleo ya kweli, kamwe maendeleo hawawezi kuja KWA miujiza isipokuwa kupitia Elimu bora.
Wananchi wote wahimizwe kuhusu suala la Elimu bora.
TISS nayo ifanye recruitment ya Watu wenye upeo mkubwa, ambao watakuwa na tija ktk Taasisi hiyo NA KWA nchi KWA ujumla. Watu waajiriwe kulingana na UWEZO wao NA taaluma zao walizonazo, wala siyo kutokana na mitazamo yao ya kiitikadi kwenye masuala ya Kisiasa kama ilivyo hivi sasa.

ELIMU (Intelligence) ndio nguzo kuu kabisa ktk kufanikisha utekelezaji wa majukumu yake yote kwenye Taasisi yoyote ile ya Ujasusi popote pale duniani, ndio maana zinaitwa "INTELLIGENCE SECURITY AGENCY"

3.KUUNDA TAASISI ILIYO COMPETENT KIUTENDAJI

Taasisi hii ni nyeti sana ktk nchi yoyote ile, hivyo basi, inatakiwa itawaliwe na weledi WA hali ya juu kabisa ktk utendaji wao wa kazi, isiingilwe hovyo hovyo kiutendaji na wanasiasa.Ni hatari sana KWA Usalama wa nchi NA wananchi wake.

Endapo kama wanasiasa na watu wengine wasiohusika watakuwa na maamuzi kwenye Taasisi nyeti kabisa kama hii, hatari yake ni kwamba badala ya kuwa Taasisi ya Usalama WA Taifa itageuka NA kuwa Taasisi HATARI ZAIDI kwa Usalama WA nchi NA wananchi wake. Itakuwa ni "Genge LA Mauaji" ktk nchi husika, "Mafia Gangs", na mifano hao ipo mingi sana kwenye hili, e.g. KGB, GESTAPO, etc.

Isipokee maagizo ya hovyo hovyo kutoka WA Wanasiasa NA kuyatekekeza pasipo na kuyafanyia upembuzi yanikifu kwanza, uzalendo na maslahi mapana ya umma yawekwe mbele kwanza KWA kila uamuzi au muafaka unaofikiwa au KWA kila jambo litakaloamriwa NA Taasisi hii.

Mfano mzuri wa maamuzi bora kabisa ya kizalendo KWA maslahi mapana ya umma ni kupitia tukio moja LA kisa cha kweli huko nchini Afrika Kusini. "Mamlaka" ziliwahi kutoa Amri za Kuua (Assassination Orders ) zikipendekeza kuuliwa kwa mwanasiasa kijana wa upinzani, ambaye ni machachari zaidi na mkosoaji mkubwa zaidi wa Serikali Bwana Julius Malema. Baadhi ya Wajumbe wa Security Committees ambao kisheria wana mamlaka ya kuidhinisha assassination orders kabla ya kutekelezwa kwake, walipinga pendekezo hili la kumuua huyo mwanasiasa. Pale Mamlaka zilipoendelea kutoa pendekezo hili kwa kurudia rudia, baadhi ya wajumbe WA Security committee walikerwa na badala yake waliamua kuvujisha taarifa hizi nyeti kabisa kwa umma ili kuzima kabisa hilo jaribio ovu la kumuua huyo mwanasiasa.
TiSS dhaifu na iliyoamua kuwa sehemu ya ccm na serikali yake haiwezi kuona kuwa sheria mbovu inazuia utendaji wao wa kazi unless kama sheria nilishuka toka mbinguni kama Mana ndo point yako itahold water
 
Tatizo Ninaloliona Ndan Ya Idara Yetu Ni Kugawanyika Kwa Idara Katika Vipande Viwili .

Kuna Wanaoleta Habari Za Kweli Na Mafaili Yamejaa Makao Makuu Ya Idara Na Ikulu Ila Cha Kushangaza Hayafanyiwi Kazi Na Mamlaka Wanachoambulia Ni Kupigwa Bench ( Yaan Wanakuwa Ndan Ya Idara Ila Uamz Hawana)

Kundi La Pili Ni Wafia Chama Wanao leta Habari Za Umbea Kama Walivyowafanyia Wakina Simbachawene Kipind Kile, Anthony Mtaka Na Wengine Kibao.

Ili Kund La Pili Lina Nguvu Kuliko La Kwanza Ndio Maana Unaona yanayoendelea xaxa
Ila hawa CIA, KBG au MOSAD yetu wako very smart sana wengi wao ni waadilifu na wanatunza kumbukumbu kwa maslahi ya nchi na ubishi wa mtu unabakia kuwa fimbo yake. Tusilaumiane tufanye kazi wao pia wanafanya kazi na ndiyo maana mabadiliko ya sauti yanaonekana kwenye mambo mengi.
 
Mimi nimeanza kujua maana ya TISS miaka ya hapa baada ya Baba wa taifa kututoka, kabla ya hapo, hawa watu huwajui ila wapo, na cha ajabu siku hizi wanatajwa hadharani na wao pia wajitokeza kwenye "live" mtindo wa kisasa, wakikemea mambo.
Yaani Siku hizi wana dili na............ ...... ....... Sio umasikini au rushwa, ufisadi, na mengine..... Mbaya zaidi sasa wanajulikana kama wafia chama na sio Nchi.
Ushamba uliopitiliza hata hivyo siyo vizuri kuwaanika peupe
 
Asante sana mkuu Kihava ktk comment yako post #87, umenikumbusha mbali sana.
Kabla sijaendelea nainukuu post yako Kama ilivyo kwa faida ya wengine ili wajue nini maana ya usalama wa taifa na una umuhimu gani kwa nchi.

"TISS ndio nchi yenyewe kama hujui. Hata ungekuwa na elimu kiasi gani huwezi kufanya jambo lolote la maana kama TISS hawataki. Nakuhakikishia hata kama una uwezo wa kujenga kiwanda kikubwa kiasi gani, kilichopo eneo halali kabisa kama TISS hawataridhika na wewe huwezi! Wewe ni 'mgeni' kwenye utawala wa nchi. Nchi ina wenyewe, sisi wengine hata tungekuwa na cheo kikubwa kiasi gani kama TISS wakisema NO! Huwezi kwenda tofauti nao 'ukaishi'. Hata huyu mzee wetu vituko anavyofanya vya kuwaumiza wenzake ni kwamba TISS wameridhia. Wakisema hatutaki hiki lifanyike hana ubavu wa kukataa. Maan ukiwakatalia wanachokisema kwa maslahi ya nchi basi wewe utaondoka ili Taifa libaki salama. Kwa hiyo kwa ujumla TISS ndio mhimili wa nchi. Hakuna anayeweza 'kukohoa' mbele ya TISS kama wakisema hili hapana. Kwa hiyo hata Musiba TISS waliamua wamwache afanye atakavyo, lakini wangesema MUSIBA 'stop' misiba yako hatuitaki hangekuwa na jeuri ya kuendelea kufanya chochote. Hivyo ndugu yangu jua ya kwamba hakuna mwenye ubavu kuliko TISS ndani ya nchi yoyote duniani. TISS ikiwa dhaifu nchi itakuwa dhaifu tuuuu! Tunaiombea TISS ya nchi yetu iwe imara kwa Taifa imara."

Mwisho wa kunukuu.

Baada ya mashambulizi ya kigaidi Marekani Sept 11,Rais George Walker Bush alifanya kikao cha siri Whitehouse chini ya handaki akiwa na waziri wake wa mambo ya nje, Condollezza Rice, mkuu wa majeshi ya Marekani Jenerari Tommy Franks, pamoja na mkurugenzi mkuu wa CIA Bob Tenet.
Katika kikao hicho Bush alimwambia Bob Tenet kwamba, hakuna Marekani bila CIA imara, CIA ingelikuwa legelege Marekani ingekuwa magofu hapa Duniani au ingekuwa ombaomba na maskini wa kutupwa.
Naandika makala hii kwa uchungu sana, nashangaa Kuna watu wanaleta siasa ktk jambo gumu wakati mimi nazungumzia mustakabali wa taifa letu Halafu watu wanaleta habari ya vyama vya siasa.
Makala hii haina U Chadema wala U CCM, ni maalumu kwa ajili ya taifa lenu.
Marekani, Uingereza, Ujerumani, Japan ,Sweden, Norway Finland, Australia, Canada, viongozi hawana ujanja chini ya idara za usalama wa taifa linapokuja suala la usalama wa nchi na maslahi ya uchumi,huwa wanafanyiwa zengwe na kutolewa.
Mungu ibariki Jamiiforums, makala hii ingelikuwa kwenye Gazeti la hard copy ingekuwa imeshapata misukosuko mikubwa Kama kufungiwa Gazeti na mwandishi kukamatwa.
Pia Mungu ibariki Kenyan forum, hiyo pia imechangia uwepo wa JF, waliona kabisa kwamba endapo wataifungia JF bado tungehamia jumla Kenyan forum ambako ndo ingekuwa hatari kwa sababu watu wangetapika nyongo bila breki, bora hapa kuna speed governor.
Mungu mbariki Maxence Melo kwa kuanzisha huu mtandao unaotikisa Dunia kwa sasa .

INAENDELEA
Huku kwetu hizi ni taasisi alizoacha mkoloni kulinda walioko madarakani na maslahi yao. Matokeo zinawapa upendeleo mkubwa wa ulinzi na Taarifa zingine fitna ambaZo zimeishia kugawa jamii, walionacho na wasio nacho, wenye nchi na wananzengo, ellites na wasio wazalendo.
Kama chaguzi bado sio huru na za haki, wenye kazi na wasio na kazi,
 
Asante sana mkuu Kihava ktk comment yako post #87, umenikumbusha mbali sana.
Kabla sijaendelea nainukuu post yako Kama ilivyo kwa faida ya wengine ili wajue nini maana ya usalama wa taifa na una umuhimu gani kwa nchi.

"TISS ndio nchi yenyewe kama hujui. Hata ungekuwa na elimu kiasi gani huwezi kufanya jambo lolote la maana kama TISS hawataki. Nakuhakikishia hata kama una uwezo wa kujenga kiwanda kikubwa kiasi gani, kilichopo eneo halali kabisa kama TISS hawataridhika na wewe huwezi! Wewe ni 'mgeni' kwenye utawala wa nchi. Nchi ina wenyewe, sisi wengine hata tungekuwa na cheo kikubwa kiasi gani kama TISS wakisema NO! Huwezi kwenda tofauti nao 'ukaishi'. Hata huyu mzee wetu vituko anavyofanya vya kuwaumiza wenzake ni kwamba TISS wameridhia. Wakisema hatutaki hiki lifanyike hana ubavu wa kukataa. Maan ukiwakatalia wanachokisema kwa maslahi ya nchi basi wewe utaondoka ili Taifa libaki salama. Kwa hiyo kwa ujumla TISS ndio mhimili wa nchi. Hakuna anayeweza 'kukohoa' mbele ya TISS kama wakisema hili hapana. Kwa hiyo hata Musiba TISS waliamua wamwache afanye atakavyo, lakini wangesema MUSIBA 'stop' misiba yako hatuitaki hangekuwa na jeuri ya kuendelea kufanya chochote. Hivyo ndugu yangu jua ya kwamba hakuna mwenye ubavu kuliko TISS ndani ya nchi yoyote duniani. TISS ikiwa dhaifu nchi itakuwa dhaifu tuuuu! Tunaiombea TISS ya nchi yetu iwe imara kwa Taifa imara."

Mwisho wa kunukuu.

Baada ya mashambulizi ya kigaidi Marekani Sept 11,Rais George Walker Bush alifanya kikao cha siri Whitehouse chini ya handaki akiwa na waziri wake wa mambo ya nje, Condollezza Rice, mkuu wa majeshi ya Marekani Jenerari Tommy Franks, pamoja na mkurugenzi mkuu wa CIA Bob Tenet.
Katika kikao hicho Bush alimwambia Bob Tenet kwamba, hakuna Marekani bila CIA imara, CIA ingelikuwa legelege Marekani ingekuwa magofu hapa Duniani au ingekuwa ombaomba na maskini wa kutupwa.
Naandika makala hii kwa uchungu sana, nashangaa Kuna watu wanaleta siasa ktk jambo gumu wakati mimi nazungumzia mustakabali wa taifa letu Halafu watu wanaleta habari ya vyama vya siasa.
Makala hii haina U Chadema wala U CCM, ni maalumu kwa ajili ya taifa lenu.
Marekani, Uingereza, Ujerumani, Japan ,Sweden, Norway Finland, Australia, Canada, viongozi hawana ujanja chini ya idara za usalama wa taifa linapokuja suala la usalama wa nchi na maslahi ya uchumi,huwa wanafanyiwa zengwe na kutolewa.
Mungu ibariki Jamiiforums, makala hii ingelikuwa kwenye Gazeti la hard copy ingekuwa imeshapata misukosuko mikubwa Kama kufungiwa Gazeti na mwandishi kukamatwa.
Pia Mungu ibariki Kenyan forum, hiyo pia imechangia uwepo wa JF, waliona kabisa kwamba endapo wataifungia JF bado tungehamia jumla Kenyan forum ambako ndo ingekuwa hatari kwa sababu watu wangetapika nyongo bila breki, bora hapa kuna speed governor.
Mungu mbariki Maxence Melo kwa kuanzisha huu mtandao unaotikisa Dunia kwa sasa .

INAENDELEA
Nami ningependa kurudia kutokubaliana na mawazo yako na ya wengine humu.
Umeipa Tiss umuhimu mkubwa usiostahili.
Umenukuu mchangiaji anayesema hata ukitaka kujenga kiwanda Tiss wasiporidhia hujengi!

Haya ni mawazo ya mwisho wa reli kwa kufikiri.
Najiuliza, je na hao wahindi wanaojenga viwanda kila kukicha basi wao wako poa kwa Tiss?

Mkuu una ile kitu inaitwa infatuation na Tiss au Tissphobia kiasi unaonekana kuwa unreasonable.
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana mkuu

Wonders shall never end, Hivi mtu mzima mwenye miaka zaidi ya 18 bado huwezi kuandika vizuri na kujenga hoja

Hivi watoto wako watakuwa na hali gani kama Baba akili zake ni kuandika takataka

Shame upon yourself
Hizi post za kijinga na mihemko zimezidi humu kila Sikh TISS ,TISS tu tafuta kazi ufanye hata kuchoma mihogo tu
 
Kwa Uelewa Wangu Mdogo pia Niliamini TISS ndiyo Taasisi Imara Kuliko Taasisi yeyote kwa Kubeba Majukumu Mazito Kumbe ni Taasisi inayoongozwa Kuchezewa na CCM kwa kufanya Majukumu yake ikiongozwa na Chama badala ya Taratibu zake.

Kama mleta Mada anavyoandika kuw Imebeba Nchi na nilitegemea iwe ya Nchi na si Mali ya Chama. Kweli Huwezi Tenganisha Afrika na Waafrika. Haya Usiku Mwema Wandugu.
 
Asante sana mkuu Kihava ktk comment yako post #87, umenikumbusha mbali sana.
Kabla sijaendelea nainukuu post yako Kama ilivyo kwa faida ya wengine ili wajue nini maana ya usalama wa taifa na una umuhimu gani kwa nchi.

"TISS ndio nchi yenyewe kama hujui. Hata ungekuwa na elimu kiasi gani huwezi kufanya jambo lolote la maana kama TISS hawataki. Nakuhakikishia hata kama una uwezo wa kujenga kiwanda kikubwa kiasi gani, kilichopo eneo halali kabisa kama TISS hawataridhika na wewe huwezi! Wewe ni 'mgeni' kwenye utawala wa nchi. Nchi ina wenyewe, sisi wengine hata tungekuwa na cheo kikubwa kiasi gani kama TISS wakisema NO! Huwezi kwenda tofauti nao 'ukaishi'. Hata huyu mzee wetu vituko anavyofanya vya kuwaumiza wenzake ni kwamba TISS wameridhia. Wakisema hatutaki hiki lifanyike hana ubavu wa kukataa. Maan ukiwakatalia wanachokisema kwa maslahi ya nchi basi wewe utaondoka ili Taifa libaki salama. Kwa hiyo kwa ujumla TISS ndio mhimili wa nchi. Hakuna anayeweza 'kukohoa' mbele ya TISS kama wakisema hili hapana. Kwa hiyo hata Musiba TISS waliamua wamwache afanye atakavyo, lakini wangesema MUSIBA 'stop' misiba yako hatuitaki hangekuwa na jeuri ya kuendelea kufanya chochote. Hivyo ndugu yangu jua ya kwamba hakuna mwenye ubavu kuliko TISS ndani ya nchi yoyote duniani. TISS ikiwa dhaifu nchi itakuwa dhaifu tuuuu! Tunaiombea TISS ya nchi yetu iwe imara kwa Taifa imara."

Mwisho wa kunukuu.

Baada ya mashambulizi ya kigaidi Marekani Sept 11,Rais George Walker Bush alifanya kikao cha siri Whitehouse chini ya handaki akiwa na waziri wake wa mambo ya nje, Condollezza Rice, mkuu wa majeshi ya Marekani Jenerari Tommy Franks, pamoja na mkurugenzi mkuu wa CIA Bob Tenet.
Katika kikao hicho Bush alimwambia Bob Tenet kwamba, hakuna Marekani bila CIA imara, CIA ingelikuwa legelege Marekani ingekuwa magofu hapa Duniani au ingekuwa ombaomba na maskini wa kutupwa.
Naandika makala hii kwa uchungu sana, nashangaa Kuna watu wanaleta siasa ktk jambo gumu wakati mimi nazungumzia mustakabali wa taifa letu Halafu watu wanaleta habari ya vyama vya siasa.
Makala hii haina U Chadema wala U CCM, ni maalumu kwa ajili ya taifa lenu.
Marekani, Uingereza, Ujerumani, Japan ,Sweden, Norway Finland, Australia, Canada, viongozi hawana ujanja chini ya idara za usalama wa taifa linapokuja suala la usalama wa nchi na maslahi ya uchumi,huwa wanafanyiwa zengwe na kutolewa.
Mungu ibariki Jamiiforums, makala hii ingelikuwa kwenye Gazeti la hard copy ingekuwa imeshapata misukosuko mikubwa Kama kufungiwa Gazeti na mwandishi kukamatwa.
Pia Mungu ibariki Kenyan forum, hiyo pia imechangia uwepo wa JF, waliona kabisa kwamba endapo wataifungia JF bado tungehamia jumla Kenyan forum ambako ndo ingekuwa hatari kwa sababu watu wangetapika nyongo bila breki, bora hapa kuna speed governor.
Mungu mbariki Maxence Melo kwa kuanzisha huu mtandao unaotikisa Dunia kwa sasa .

INAENDELEA
TISS ikiwa hovyo na nchi inakuwa hovyo, kwakuwa Tiss ni ccm na ccm ni chama cha hovyo, kwa hesabu za kawaida, If A=B, and B= C, then A= C.

Wenye akili wataelewa.
 
Tatizo Ninaloliona Ndan Ya Idara Yetu Ni Kugawanyika Kwa Idara Katika Vipande Viwili .

Kuna Wanaoleta Habari Za Kweli Na Mafaili Yamejaa Makao Makuu Ya Idara Na Ikulu Ila Cha Kushangaza Hayafanyiwi Kazi Na Mamlaka Wanachoambulia Ni Kupigwa Bench ( Yaan Wanakuwa Ndan Ya Idara Ila Uamz Hawana)

Kundi La Pili Ni Wafia Chama Wanao leta Habari Za Umbea Kama Walivyowafanyia Wakina Simbachawene Kipind Kile, Anthony Mtaka Na Wengine Kibao.

Ili Kund La Pili Lina Nguvu Kuliko La Kwanza Ndio Maana Unaona yanayoendelea xaxa
wewe unachambua TISS unandika xaxa kama binti wa form three B (arts)
 
Mbona Tiss hawamsaidii mzee baba!??
9E24B171-A06C-45E8-86C1-519B63814AB1.jpeg
 
TISS swala la missing people kwa Tanzania walitakiwa watusaidie kutoa majibuuu

Another 40,000 people are missing in Mexico
 
Mleta mada uko sahihi.
Kipindi kile Wameifungia JF kwa miezi miwili tulipata hifadhi ya ukimbizi Kenya Forum
Kule tulitapika nyongo haswa kutokana na kukerwa na tabia za uminywaji wa haki za kutoa maoni.

laiti wasingeturudishia JF yetu tungebaki Kenya Forum.
Yaani Jamaa wana mambo ya ajabu sana, yaani wako tayari data, elimu nzito iliyomo kwenye archives za JF izimike na ipotee ilimradi tu kumlinda Jiwe dhidi ya criticisms tu za kawaida za kisiasa.
Leo hii ukigoogle kitu kuhusu Tanzania, JF inatokea kama sehemu mojawapo ya Kukupa Taarifa, Sasa cha ajabu hawa jamaa walitaka JF ife na hazina hii ya data.
Ajabu sana!
Yaani ni wa ajabu mno, maneno yanawaogopesha
 
Wee jamaaa acha utani kwenye mambo ya msingi...
Jf ni kokoro lililojaa takataka Kwa asilimia 70.
Ni forum uliyojaa watu wasio na uwiano au kuwa kiwango fulani cha taaluma au fani.
Tunaunganishwa na kitu kimoja Tu .....
UWEZO WA KUINGIA MTANDAONI. Mostly Kwa kumiliki smartphone tena wengine za kupewa, kurithi au kuiba... achilia mbali wale wengine wanaingia na vibatani vya 30000.
Ukiwa muelewa huwezi kutegemea kupata elimu humu. Unless uwe na ufahamu mpana WA kuanalyse mambo na sio kujifunza.
 
Back
Top Bottom