My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
😆😆😆😆😆😆uko sahihi , kuna mmoja alijifanya muuza madafu kumbe ni TISSCCM kutoka uvccm
Siku hizi ni FSB tatizo lao ni corrupt sana. Russia wangekuwa mbali sana isingekuwa corruption na transparency.Umewasahau KGB, wanaifanya dunia ipumulie mashine.[emoji848][emoji2955]
Hata tukiwapa muda wa Karne mbili hawataweza kufanya kitu chochote cha maana, tatizo lilipo TISS ni Sheria na Kanuni, wala siyo Watendaji wa Taasisi hiiTuwape mda sasa ndo pangua pangua imeanza hivyo na Mzee wako wa kanisa.Tusiwe wepesi kukosoa mabadiliko hayaji tu ghafla.
Unasikiliza maandishi?Anyway,jamaa anatukumbusha huo umoja wa vijana wa CCM ni genge la uhalifu linalojiita TISS.Enheee ......
Tunakusikiliza chief...
Wapo wengi tu, TISS imepandikiza mamluki wengi sana kwenye vyama vya siasa, taasisi mbalimbali za Serikali na za binafsi, hasa ktk awamu hii.Nauliza tu hakuna mpinzani aliyeko kwenye makaratasi ya malipo ya TISS? Maana hapo juu umesema haiwezi kuajiri wapinzani
Hivi Tanzania kunatofauti kati ya CCM na serikali?TISS haiwezi kumwajiri mwanachama wa CHADEMA au mpinzani yoyote bali Lazima awe mfia CCM na siyo mfia Tanzania.