Paris inawaka moto...

Tena bodaboda sometimes hadi wajaziwe mafuta

Kwa hao wanaojitambua..hapo kuna Madaktari, maprofesa na watu kutoka kada na hali mbalimbali wanajumuika pamoja kuandamana na kutetea haki kwa Maslahi ya wote. Hapa kwetu jambo hilo ni ndoto. Tunategemea Bodaboda waandamane tupate mabadiliko!
 
Tafuta hii usome
 
Marekani wanaingiaje apa mkuu
Mkuu mbn ipo wazi,...Rais Macron anaitaka Ulaya isiwe tegemezi kwa marekan kiulinzi ,kisiasa na kimkakati.

Matokeo yake yakutaka kuanzisha jeshi moja la Ulaya, kiuhalisa itapelekea kupungua kwa ushawishi wa marekan kijeshi baran ulaya.

Marekan anavituo vingi vya kijeshi,, marekan anawauzia sana ulaya Silaha.

Haya yote kwa ujumla wake,,CIA wakaona itawaharibia ,ndo sasa wameanzisha chokochoko izi.
 
Mzungu ni mzungu tu. Hawa watu ni toleo la kwanza kabisa hatuwezi kushindana nao.

Hivi ingekuwa hayo yanafanyika Uganda tungekuwa na marehemu wangapi hadi sasa? Acheni wazungu waitwe wazungu.

Kwa mawazo yako unadhani hakuna watu waliokufa huko Ufaransa katika vurugu hizi??? Unavifahamu vizuri vyombo vya habari vya magharib?? Unadhani vurugu kama hizi zingetokea nchi nyingine isiyo ya magharibi wangeyata jina gani kama siyo mapinduzi??
 
Leta basi idadi ya waliokufa acha propaganda za kihehe
Kwa mawazo yako unadhani hakuna watu waliokufa huko Ufaransa katika vurugu hizi??? Unavifahamu vizuri vyombo vya habari vya magharib?? Unadhani vurugu kama hizi zingetokea nchi nyingine isiyo ya magharibi wangeyata jina gani kama siyo mapinduzi??
 

Kwa hiyo mzungu anajua haki zake kuchoma maduka, magari na kadhalika???!!!
 
Duh...interesting...very much interesting...
Usiwe unaongea ili tu kuleta upinzani nataka ulete idadi ya waliokufa huko Paris ili tujue ukatili wa wazungu pia.

Sio kusema jambo ambalo huna ABC nalo.
 
Hili bara la giza litabaki hivihivi karne kwa karne
 
Angalia wenzetu wanavyopambana kimkakati!!! Hongereni wazungu
 
Pigo sana kwa vijana ulimwengu mzima sijui tutaongea nini
 
Pigo sana kwa vijana ulimwengu mzima sijui tutaongea nini
Huo ndio uhalisia mkuu vijana tunaweza sana kucritisize ila tunapopewa nafasi wachache huonesha ufanisi
Hata Obama alipo kuwa anagombea alikuwa anaongea sana ila miaka nane hakuna cha maana alichofanya white house zaidi ya kupiga domo tu amekuja mzee trump anapiga kazi masaa 24
 
Wazo zuri ndugu nash
Huyu kijana anatuangusha kwenye siasa
Kinachomponza ni kiburi chake na majibu yake ya kibabe kwa raia pia sera zake za kuwapunguzia mzigo wa kodi matajiri na kuwabebesha mzigo masikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…