Pareso: Simjui aliyependekeza niwe Mbunge

Pareso: Simjui aliyependekeza niwe Mbunge

Kuna mama mwingine alisemaga haijui ilikuwaje akawa Rais.
Pareso amekuwa mkweli mbele ya Jaji.
Hiyo kesi imeisha sasa
 
H

haya ni matokeo ya nchi kuongozwa na kiongozi juha aliyejivisha kilemba cha UZALENDO
Mzalendo aliiba kura mpaka akaiba na wabunge wa chama asichokipenda
Acha mungu amshughulikie pumbavu sana yule marehemu
Unaamisha lisu alipata Kura nyingi kumzidi Magufuli?
 
Hatimae Mmoja wa Wabunge Wasio na Chama Mdada Pareso amekiri kuwa Hamjui Aliyemteua kuwa Mbunge
Tafsiri yake ni kwamba

1. Hakuomba kuteuliwa na Chama chake
2. Hakuchukua Fomu na Kuijaza
3. Hakwenda Mahakamani kusaini mbele ya HAKIMU ila Akajikuta Yupo mbele ya SPIKA NDUGAI Kuapishwa.

Hiyo ndiyo KATIBA ya TANGANYIKA

Unakuwa Mbunge humjui Aliyekuteua.

View attachment 2411169
1. Hakuomba kuteuliwa na Chama chake
2. Hakuchukua Fomu na Kuijaza
3. Hakwenda Mahakamani kusaini mbele ya HAKIMU ila Akajikuta Yupo mbele ya SPIKA NDUGAI Kuapishwa.[emoji23]
 
Maji yaan huku kumekauka hata maji ya kuchambia hakuna, sasa si tutatembea tunanuka mavi yaliyochanganyika na majasho
Ndio serikali ya akina mwiguru, january wanaoutaka urais hiyo. Kumbuka hayo ulikuwa huwezi kuyasikia kipindi cha mwamba Magufuli
 
Ndio serikali ya akina mwiguru, january wanaoutaka urais hiyo. Kumbuka hayo ulikuwa huwezi kuyasikia kipindi cha mwamba Magufuli
Kulikua hakuna huu ujinga huu, maji yamekua ukame huku kumekaukaaaa hata maji ya kuchambia hakuna alafu mimi huyu waziri mwenye dhamana Juma Awesu simuelewi kabisa yaan au yeye kazi yake kutandaza mabomba tu? Yaan anashindwa kufikiria nje ya box tukavuna maji hata Bahari ya Hindi yakafanyiwa processing kuondoa zile Chumvi tukayatumia kweli?
 
Back
Top Bottom