Pareso: Simjui aliyependekeza niwe Mbunge

Pareso: Simjui aliyependekeza niwe Mbunge

Yule jamaa kosa lake aliwachukia Sana CHADEMA. Tatizo lilianzia Hapo ila mengine alijitahidi kwa uwezo wake. Baya moja hufuta mazuri yote.
Nilipoona kuwa shetani alikuwa akitenda kazi ndani yake ni pale alipoanza kuuua watu, kuteka, kubambikia watu kesi.

Binadamu wengi tu wadhambi, lakini pamoja na dhambi zetu, hatujawa watumishi wa shetani. Ukiona mtu anaua, anadhulumu iwe mali au uhai wa watu, tambua kuwa huyo ni mtumishi/agent wa shetani. Na mtu wa namna hiyo, hawezi kudumu maana kumwacha adumu ni kukubali kuwa utawala wa shetani umeshinda.

Wa namna hiyo huwa hawadumu. Wanakuwepo kwa muda tu, kisha Mungu hukatisha utawala wao ili watu wake wasiendelee kuangamia. Ndivyo ilivyokuwa kwa Hitler, Mussolin, Stallin, Nguema.

Tunaweza kuwa na kasoro na mapungufu mengi lakini tusifikie kuua, kuwapoteza au kuwadhulumu wenzetu. Siku zote, kudhulumu uhai au mali za watu, huzaa laana kubwa. Hakuna zuri unaloweza kufanya likasafisha uovu wako wa kuua watu.
 
Read
The Concept of free and fair election
Waulize waliokuwa wanahesabu kura. Maeneo mengi kura za Lisu zilibadilishwa na kuwekwa kwa Magufuli.

Taarifa za TISS kuwa watu wakiachwa wapige kura kwa uhuru, na kura zihesabiwe kwa uwazi, angeanguka vibaya, zilimchanganya na kumdhoofisha ghafla, kiasi cha kubadili ghafla ahadi yake ya mwanzo kuwa angeruhusu watazamaji wote wa kimataifa.

Mwanzoni aliamini anapendwa sana, hata akaahidi kuwa atawaalika watazamaji wa kimataifa. Alipoletewa taarifa ya TISS kuhusu uwezekano wa yeye na CCM kushindwa, ikabidi azuie taasisi za kimataifa kuja kushuhudia uchaguzi.
 
Mdee amebadilika sana ,kanenepa hata sijamjua kwamba ndiyo yeye ,nilichotambua kwamba huyu ni mdee kwasababu ya miwani....Kweli asali ni tamu na inanenepesha ,hongereni wote walamba asali.
 
Waulize waliokuwa wanahesabu kura. Maeneo mengi kura za Lisu zilibadilishwa na kuwekwa kwa Magufuli.

Taarifa za TISS kuwa watu wakiachwa wapige kura kwa uhuru, na kura zihesabiwe kwa uwazi, angeanguka vibaya, zilimchanganya na kumdhoofisha ghafla, kiasi cha kubadili ghafla ahadi yake ya mwanzo kuwa angeruhusu watazamaji wote wa kimataifa.

Mwanzoni aliamini anapendwa sana, hata akaahidi kuwa atawaalika watazamaji wa kimataifa. Alipoletewa taarifa ya TISS kuhusu uwezekano wa yeye na CCM kushindwa, ikabidi azuie taasisi za kimataifa kuja kushuhudia uchaguzi.
pale ccm kinondoni kura zilipigwa siku moja kabla ya zoezi lenyewe, waliopiga ni dada zetu na wadogo zetu waliahidiwa kupewa tsh 5000/= mpaka leo hawajapewa.
unakutana na mpuuzi anakwambia Magufuli alikubalika? ghaaaaaa. yaani kiongozi akubalike halafu AIBE UCHAGUZI?
 
Hatimae Mmoja wa Wabunge Wasio na Chama Mdada Pareso amekiri kuwa Hamjui Aliyemteua kuwa Mbunge
Tafsiri yake ni kwamba

1. Hakuomba kuteuliwa na Chama chake
2. Hakuchukua Fomu na Kuijaza
3. Hakwenda Mahakamani kusaini mbele ya HAKIMU ila Akajikuta Yupo mbele ya SPIKA NDUGAI Kuapishwa.

Hiyo ndiyo KATIBA ya TANGANYIKA

Unakuwa Mbunge humjui Aliyekuteua.

View attachment 2411169
Hivi haiwezekani wakashitakiwa kama wahujumu uchumi kwa kuendelea kupokea mshahara huku wakijua kuwa hawakuoaikana kigalali?
 
Yaani mimi nashauri tukamfufue atuelze yalikwendaje, akikataa kufufuka 'ALAZIMISHWE" anakataa kwa vipi bwana? "ALAZIMISHWE" atakeee asitake.....
Kuna watu huwa wanachapa viboko kaburi
 
Back
Top Bottom