econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 22,138
- 32,716
Kwani walijiteua?
Hawajui nani kawateua. Wamejikuta bungeni.
Kwani walijiteua?
Pia hamjui anayemtumikia.Hatimae Mmoja wa Wabunge Wasio na Chama Mdada Pareso amekiri kuwa Hamjui Aliyemteua kuwa Mbunge
Tafsiri yake ni kwamba
1. Hakuomba kuteuliwa na Chama chake
2. Hakuchukua Fomu na Kuijaza
3. Hakwenda Mahakamani kusaini mbele ya HAKIMU ila Akajikuta Yupo mbele ya SPIKA NDUGAI Kuapishwa.
Hiyo ndiyo KATIBA ya TANGANYIKA
Unakuwa Mbunge humjui Aliyekuteua.
View attachment 2411169
Alivyokusudia kumuua nduguyo sasaSijui na sitaki kujua ila yule Marehemu alikuwa moja ya binadamu wa ovyo kwenye nchi hii
Maneno matano tu ulivyoandika yamekutambulisha ulivyo mjinga!Hahaha.......
Chadema Wana vituko haviishi
Haya mankaManeno matano tu ulivyoandika yamekutambulisha ulivyo mjinga!
Yaani mimi nashauri tukamfufue atuelze yalikwendaje, akikataa kufufuka 'ALAZIMISHWE" anakataa kwa vipi bwana? "ALAZIMISHWE" atakeee asitake.....Vituko vya mwendazake hivi
una elimu gani wewe? ulisoma wapi? mwaka gani? ulisomea mambo gani? ulifaulu? una vyeti?Wale ni Wabunge halali hata viongozi wa Ufipa st wanaelewa
Ubunge ulianza ndio wakavuliwa uanachama
Chadema haijawahi kuwalalamikia mahakamani
Vyeti anavyo mwenyekiti wako!una elimu gani wewe? ulisoma wapi? mwaka gani? ulisomea mambo gani? ulifaulu? una vyeti?
UNA AKILI TIMAMU?
haya ni matokeo ya nchi kuongozwa na kiongozi juha aliyejivisha kilemba cha UZALENDOHatimae Mmoja wa Wabunge Wasio na Chama Mdada Pareso amekiri kuwa Hamjui Aliyemteua kuwa Mbunge
Tafsiri yake ni kwamba
1. Hakuomba kuteuliwa na Chama chake
2. Hakuchukua Fomu na Kuijaza
3. Hakwenda Mahakamani kusaini mbele ya HAKIMU ila Akajikuta Yupo mbele ya SPIKA NDUGAI Kuapishwa.
Hiyo ndiyo KATIBA ya TANGANYIKA
Unakuwa Mbunge humjui Aliyekuteua.
View attachment 2411169
kwamba hujui aliyesababisha hicho kituko, nashangaa unajitoa nini maana kama ni fahamu zilishawatoka kabla hata ya uhuru,Hahaha.......
Chadema Wana vituko haviishi
mm sijazungumza na mwenyekiti hapa. nazungumza na wewe unayepayuka na kuropoka kama haya waniVyeti anavyo mwenyekiti wako!
Mwenyekiti wako ndiyo mwenyekiti wa Pareso au umemsahau!mm sijazungumza na mwenyekiti hapa. nazungumza na wewe unayepayuka na kuropoka kama haya wani
jibu hoja usipayuke kama chizi aliyeona jalala jipya
usipayuke hovyo kama taahira. jibu kwanza una elimu gani? uliipata wapi? ulisoma nini? mwaka gani?Mwenyekiti wako ndiyo mwenyekiti wa Pareso au umemsahau!
AmenH
haya ni matokeo ya nchi kuongozwa na kiongozi juha aliyejivisha kilemba cha UZALENDO
Mzalendo aliiba kura mpaka akaiba na wabunge wa chama asichokipenda
Acha mungu amshughulikie pumbavu sana yule marehemu
Kidato cha 6 nilizungushausipayuke hovyo kama taahira. jibu kwanza una elimu gani? uliipata wapi? ulisoma nini? mwaka gani?
Una akili TIMAMU?
sizungumzi na mwenyekiti wa jumuiya hapa
huna akili timamu wewe unaulizwa kitu kingine unajibu kitu kingineKidato cha 6 nilizungusha
Mwenyekiti wako wewe na Cecilia Pareso ndio aliwaita Wabunge wawili Nairobi kuwabembeleza wajiuzulu
Mtu asiye halali anajiuzulu vipi?
Kuongoza Chadema ni Kazi rahisi Sana!
Kama huna mwenyekiti mbona ubunge wa Cecilia Pareso Kamanda shupavu wa Chadema unakutesa Sana?!huna akili timamu wewe unaulizwa kitu kingine unajibu kitu kingine
nakuuliza maswali yanayo kuhusu wewe unanitajia mwenyekiti ? aliyekuambia mm nina mwenyekiti ni nani?
Hapo ndio huwa namlaani zaidi maana duuhAlivyokusudia kumuua nduguyo sasa