Ni miaka sasa imepita bila kusikia jina la mfanya biashara papaa Msofe likitajwatajwa sana kwenye band za muziki Wa dance,kumbi za starehe na wa vyombo vya habari.Kipindi cha nyuma nilikua nikiliskia sana jina hili likitawala bila kuelewa ni nani haswa mtu huyu,
Leo naona si vibaya wanaomfahau huyu bwana wakitutanabaisha kwamba ni nani, na anahusika na biashara gani mpaka kupelekea kuwa na umaarufu kiasi kile?
Ahsanteni.
papaaaa ananyea debemi natokeaga kule kwa walingala nna pesa chafu nafanya biashara ya madini na kudhulumu watu ila kwa sasa npo na ndugu yangu nguza viking
Mkuu alaf kama wasanii wamemsahau hivi papaa,si sikii kabisa wakimrusha.Hebu muulize q chilla anajua vzr.
Mkuu alaf kama wasanii wamemsahau hivi papaa,si sikii kabisa wakimrusha.
Haiwezekani mkuu,yule mtu maarufu lazima atakua jela private.Papaa ni mwali wa nyapara mkuu pale gesti ya serkali. Muda huu anatandika kitanda cha mumewe aka nyapara tayari kwa kumpa vituuuz
Pedeshee Ndama,Fally Ipupa kamrusha huyu!nae anabiashara gani mkuu?
Jambazi yulee afungwe mvua za kutosha...
Biashara zao si zile za kuwapa wasanii kete. wasanii wengine wakiume walikua wanaingiziwa kupitia haja kubwa kabisa na ndio unaona wengine wanapumuliwa sasa
Ni miaka sasa imepita bila kusikia jina la mfanya biashara papaa Msofe likitajwatajwa sana kwenye band za muziki Wa dance,kumbi za starehe na wa vyombo vya habari.Kipindi cha nyuma nilikua nikiliskia sana jina hili likitawala bila kuelewa ni nani haswa mtu huyu,
Leo naona si vibaya wanaomfahau huyu bwana wakitutanabaisha kwamba ni nani, na anahusika na biashara gani mpaka kupelekea kuwa na umaarufu kiasi kile?
Ahsanteni.
Pedeshee Ndama,Fally Ipupa kamrusha huyu!nae anabiashara gani mkuu?
We jifanye ndugu yako tu!!Maandazi ya Bakhresa unayachkulia poa eehh?anauza maandazi ya bakhresa!
We jifanye ndugu yako tu!!Maandazi ya Bakhresa unayachkulia poa eehh?
Haiwezekani mkuu,yule mtu maarufu lazima atakua jela private.