kupe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 1,035
- 326
Tujiulize marehemu MPAKANJIA alikua na biashara gani mpaka akasifika hivyo?
mpakanjia alikuwa na garage temeke . na alikuwa na tenda ya kutengeneza na kupiga rangi gari za wizara ya afya hiyo tenda alipigiwa cross na waziri mmoja mwanamke . hiyo ndio biashara iliyomuingizia pesa hadi akaonekana tajiri . na aliponyangangwa tenda ndio akaonekana hana pesa (amefirisika kama unavyosema ). na mwisho wa siku alikufa na ukimwi.