Papa Msoffe apata dhamana baada ya kubadilishiwa mashtaka

Papa Msoffe apata dhamana baada ya kubadilishiwa mashtaka

Aisee,kweli acha Majambazi waiba kwa bodaboda waendelee kutesa kwa hali hiii.

Sasa kisheria kama kesi alifunguliwa isivyo halali nani atamlipa fidia ya kesi?

Au wamejua anaushawishi sehem fulani 2015?maana kaachiwa kipindi chenyewe.

Nimeamini kweli Jela ina wenyewe.

Pesa ndio kila kitu,na pesa ipo juu ya Sheria.
 
Sasa yule Mama yupo Kikaangoni.

Hahah aisee,haya maisha,na msishangae yule mama Baada ya miaka miwili akafunguliwa kesi ya kusingizia mauaji.
 
nadhani CCM wameamua kumrudisha kitaani ili wamtumie kuwakusanyia pesa za uchaguzi toka kwa matapeli wenzake kama walivyomtumia mwaka 2005.ni mtazamo tu.
 
kama ni kweli basi tutegemee kusikia wimbo mpya wa kumsifia na kumfariji toka kwa wanamziki wa bendi ya FM academia chini ya nyoshi el saadat.:yawn:
 
Ukweli ni kwamba tunachuma dhambi bure kuchukua pesa mahali palipomwagika damu ya mtu.

Walio mwuua marehemu Robert Ouko waziri wa mambo ya nje Kenya miaka ya Moi walikufa woote ndani ya miaka miwili kwa vifo vya kutatanisha.
Kuna njia nyingi za kupatia hela, tizitumie
 
Dah! kiukweli, kibongobongo "Mwenye pesa Mpishe" huwezi pambana na mtu mwenye pesa, pesa ni mali ya ibilisi, na mipango ya ibilisi ni kuvuruga na kupindua mambo mazuri ambayo mwenyezi Mungu alituandalia sisi wanadamu.Hvyo sioni ajabu, pesa ikatumika kupindua sheria tulizojiwekea cc wenyewe. Na bado watatoka wengi, na walishatoka wengi, waliofanya matukio kama, hayo.
 
Usiende mbali, Mzee wa Bariadi si yupo mtaani ana dunda pamojana skendo za kugoga nakuua? Hadi tume ya taifa ya Escrooow imeshindwa kumhoji?
 
Kama alimdhulumu mtu haki yake atalipwa peupe hapa hapa duniani kama hajafa.
 
jamani naomba jina lake halisi huyu papaa msofe? kuna kengele inalia baada ya kuona picha yake !
 
lakini wamemtingisha, miaka mingapi sasa ananyea debe tena mbele ya vijana wadogo wahuni wakati anauwezo wa kulala serena hotel kila siku
watu wa aina yake huwa wana vyumba vyao
 
Anarudi uraiani lakini kuna maumivu pia mke wajanja washamuoa.
 
Sante kwa Taarifa. Sasa tutafute ulinzi wa maisha yetu na HATI zetu za viwanja. Daily Mail:

Trysts': Joyce Mitchell, who is accused of helping two killers escape an upstate New York prison earlier this month, had sex multiple times a week with one of the men, David Sweat, right, according to another inmate
 
Back
Top Bottom