Watu mnalalamika tu bila sababu,hii nchi inaogozwa kwa mujibu wa sheria,sheria zipo kuwalinda watu wote bila ubagzi.
Kesi za mauaji zina procedures kidogo tofauti na kesi za jinai.
kwa mujibu wa sheria zetu ni mahakama kuu tu yenye mamlaka ya kusikiliza kesi za mauaji,hizi mahakama za chini atakuwa anapelekwa tu na haruhusiwi kujitetea kwa lolote,upelelezi utaendelea kufanyika kwa mujibu wa sheria,state attorney akijiridhisha kuwa ushahidi uliopo unamashiko,basi file lake litahamishiwa mahakama kuu na kesi yake itaanza kusikilizwa na jaji atayepangiwa.
In most cases polisi na ma state attorney uwa wakikosa ushahidi uwa wana waacquite watuhumiwa,kwa ili la msofe mi naona mastate attorney washukuriwe tu kwa kumtengenezea kosa jingine la kugushi la sivyo jamaa angekuwa huru mtaani.ukiona hivyo ujue upelelezi wa kesi ya jamaa thaukutosha.
Hivyo tuache kulalamika na tuache street justice.hizi sheria zilitungwa na wawakilishi wetu wapendwa hivyo hatuna budi kuzifata.