Nasema Hivi: " Mungu hahongeki"
ina maana sahvi ni za mu ya ntimiziSerikali ya ccm ya ajabu sana udhahidi upo wa meseji na mtu kweli akauwawa leo anabadilishiwa mashtaka ? Kwa hiyo aliyeua ni Nani? Wajane watalia na ccm daima
Pia nimesikia Saidi ntimizi ana kesi ya mauaji na ameshakamatwa.
Leo chadema ndio wanafurahi hizi habariMwisho wake unakaribia mkuu
Kila mtanzania mwenye akili timamu anafurahia.Leo chadema ndio wanafurahi hizi habari
Nani anafurahia tapeli kurudi uraianiKila mtanzania mwenye akili timamu anafurahia.
Wasiyo watanzania kama wewe ndiyo unasononeka.