Lakini wamemtingisha, miaka mingapi sasa ananyea debe tena mbele ya vijana wadogo wahuni wakati anauwezo wa kulala Serena hotel kila siku
Anarudi uraiani lakini kuna maumivu pia mke wajanja washamuoa.
Mh, labda alikuwa anapepewa mtaani then anarudi home kwa bi dada.
Mbona nackia ya MSOFE mpk ipepewe ndio asimama dede....????
Uzuri unaguswa na kifo kama binadamu yoyote bila kujali pesaJamani sakeni hela tu.....
Maana ukiwa nazo huguswi na sheria wala lolote....
Watu mnalalamika tu bila sababu,hii nchi inaogozwa kwa mujibu wa sheria,sheria zipo kuwalinda watu wote bila ubagzi.
Kesi za mauaji zina procedures kidogo tofauti na kesi za jinai.
kwa mujibu wa sheria zetu ni mahakama kuu tu yenye mamlaka ya kusikiliza kesi za mauaji,hizi mahakama za chini atakuwa anapelekwa tu na haruhusiwi kujitetea kwa lolote,upelelezi utaendelea kufanyika kwa mujibu wa sheria,state attorney akijiridhisha kuwa ushahidi uliopo unamashiko,basi file lake litahamishiwa mahakama kuu na kesi yake itaanza kusikilizwa na jaji atayepangiwa.
In most cases polisi na ma state attorney uwa wakikosa ushahidi uwa wana waacquite watuhumiwa,kwa ili la msofe mi naona mastate attorney washukuriwe tu kwa kumtengenezea kosa jingine la kugushi la sivyo jamaa angekuwa huru mtaani.ukiona hivyo ujue upelelezi wa kesi ya jamaa thaukutosha.
Hivyo tuache kulalamika na tuache street justice.hizi sheria zilitungwa na wawakilishi wetu wapendwa hivyo hatuna budi kuzifata.
Sijui kidhungu lakini hichi cha hapo nimekishtukia,hakifanani na topic,hata kwa harufu pia ni tofauti.Sante kwa Taarifa. Sasa tutafute ulinzi wa maisha yetu na HATI zetu za viwanja. Daily Mail:
Trysts': Joyce Mitchell, who is accused of helping two killers escape an upstate New York prison earlier this month, had sex multiple times a week with one of the men, David Sweat, right, according to another inmate
Nchi hii imekwishaMtuhumiwa alikuwa na kesi ya mauaji na sasa imebadilishwa na kuwa kesi ya kugushi(kufoji) taratibu za dhamana zilikuwa zikiendelea
Unajichanganya au unavuta kasi ya uzi. contradicting selfSijui kidhungu lakini hichi cha hapo nimekishtukia,hakifanani na topic,hata kwa harufu pia ni tofauti.
Watu mnalalamika tu bila sababu,hii nchi inaogozwa kwa mujibu wa sheria,sheria zipo kuwalinda watu wote bila ubagzi.
Kesi za mauaji zina procedures kidogo tofauti na kesi za jinai.
kwa mujibu wa sheria zetu ni mahakama kuu tu yenye mamlaka ya kusikiliza kesi za mauaji,hizi mahakama za chini atakuwa anapelekwa tu na haruhusiwi kujitetea kwa lolote,upelelezi utaendelea kufanyika kwa mujibu wa sheria,state attorney akijiridhisha kuwa ushahidi uliopo unamashiko,basi file lake litahamishiwa mahakama kuu na kesi yake itaanza kusikilizwa na jaji atayepangiwa.
In most cases polisi na ma state attorney uwa wakikosa ushahidi uwa wana waacquite watuhumiwa,kwa ili la msofe mi naona mastate attorney washukuriwe tu kwa kumtengenezea kosa jingine la kugushi la sivyo jamaa angekuwa huru mtaani.ukiona hivyo ujue upelelezi wa kesi ya jamaa thaukutosha.
Hivyo tuache kulalamika na tuache street justice.
Mbona nackia ya MSOFE mpk ipepewe ndio asimama dede....????
Umesepa apata dhamana, halafu kwenye maeelezo unasema anaweza kupata dhamana, mbona husomeki?