Papa Msoffe apata dhamana baada ya kubadilishiwa mashtaka

Ni lazima.kuna chama fulani kinataka mshiko wake. Inavyoelekea imekua ngumu kuupata akiwa ndani. Sasa hivi ataitwa Kada
 
nadhani CCM wameamua kumrudisha kitaani ili wamtumie kuwakusanyia pesa za uchaguzi toka kwa matapeli wenzake kama walivyomtumia mwaka 2005.ni mtazamo tu.

Hata Alex Massawe A.M Investment Atarudi bongo tuu si mnakumbuka Massawe aliwahi kuichangia ccm ml200 za kampeni 2005 moshi. Huu ni wakati wa kuwaleta uraiani matapeli na majambazi yote uraiani

Kidumu chama cha mapinduzi!!
 
Du.bureau de change zikae saw?....zilitulia sana sasa utasikia zikivamiwa
 
Sipati picha Papaa atakapokua faragha na mama leo usiku. Naona watazima taa kabla ya saa tatu kama vile wako asali mwezi.
 
Nikweli mashtaka yamebadilishwa ila bdo yko ukonga.
 
Papaa akigombea ubunge kwa tiketi ya ccm, anapitishwa bila kupingwa na kamati za ccm. Labda wananchi ndio watamkataa lkn ndani ya chama chake anateuliwa.
 
Umesepa apata dhamana, halafu kwenye maeelezo unasema anaweza kupata dhamana, mbona husomeki?

WEWE NDO USOMEKI ZAIDI, HAPO UMESEMA... UMESEPA, KISHA BAADAE UNASEMA MAEELEZO NI LUGHA GANI UNAYOANDIKA??? WEWE NI MYAO AU MUHINDI, TE TE... Duh
 
Watu mnalalamika tu bila sababu,hii nchi inaogozwa kwa mujibu wa sheria,sheria zipo kuwalinda watu wote bila ubagzi.
Kesi za mauaji zina procedures kidogo tofauti na kesi za jinai.
kwa mujibu wa sheria zetu ni mahakama kuu tu yenye mamlaka ya kusikiliza kesi za mauaji,hizi mahakama za chini atakuwa anapelekwa tu na haruhusiwi kujitetea kwa lolote,upelelezi utaendelea kufanyika kwa mujibu wa sheria,state attorney akijiridhisha kuwa ushahidi uliopo unamashiko,basi file lake litahamishiwa mahakama kuu na kesi yake itaanza kusikilizwa na jaji atayepangiwa.
In most cases polisi na ma state attorney uwa wakikosa ushahidi uwa wana waacquite watuhumiwa,kwa ili la msofe mi naona mastate attorney washukuriwe tu kwa kumtengenezea kosa jingine la kugushi la sivyo jamaa angekuwa huru mtaani.ukiona hivyo ujue upelelezi wa kesi ya jamaa thaukutosha.
Hivyo tuache kulalamika na tuache street justice.hizi sheria zilitungwa na wawakilishi wetu wapendwa hivyo hatuna budi kuzifata.

Mbona Ponda hawajamtoa na kina uamsho nao polisi hao hao hawana chembe ya ushahidi ? Ni rushwa na uone u tu ulokithiri.
Mtu kauliwa mumewe , maiti ipo imesikwa nani kamuaa? Mazingira tu ya akina Msofe na utapeli wao kuhusu hio nyumba unatosha kabisa kuwatia hatiani.
Kufariki kwa muuaji alietumwa pia ni ushahidi wa kimazingira unaonesha wahusika hawapaswi kuachiwa.
Hili si jambo dogo , haki imepindwa na hapa tunamuomba Rais KIkwete aingilie kati otherwise hawa jamaa wataenda kuhatarisha tena uhai wa mwanamke alielalamikia mauaji ya mumewe.
 
Hayo unayosema yana apply kwa raia wa kipato cha chini ila chenge, ditopile na wahuni kama msofe au viongozi wa juu hazi apply
 
Mbona Ponda hawajamtoa na kina uamsho nao polisi hao hao hawana chembe ya ushahidi ? Ni rushwa na uone u tu ulokithiri.
Mtu kauliwa mumewe , maiti ipo imesikwa nani kamuaa? Mazingira tu ya akina Msofe na utapeli wao kuhusu hio nyumba unatosha kabisa kuwatia hatiani.
Kufariki kwa muuaji alietumwa pia ni ushahidi wa kimazingira unaonesha wahusika hawapaswi kuachiwa.
Hili si jambo dogo , haki imepindwa na hapa tunamuomba Rais KIkwete aingilie kati otherwise hawa jamaa wataenda kuhatarisha tena uhai wa mwanamke alielalamikia mauaji ya mumewe.

Umeshaona kwa kipindi cha miaka 10 kikwete kafanya kitu siriasi? Mwache astaafu tuanze maisha mapya
 
Jamani wana jf mwenye taarifa kamili atujuze kuhusu kutoka lockup papa msofe nilikuwa mahali nasikia vijana wa mjini wanasema papa katok jela na wakati kesi ya mauaji aina dhamana no nini kimetokea tena.
 
Nahisi Utakuwa Unaota Mkuu. Hebu Endelea Kulala Kwanza Na Ukishaamka Uje Upya Na Vizuri Huku Ukiwa Umejipanga. Huyo Pimbi Bado Yupo Ndani.
 
Back
Top Bottom