Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,244
- 15,062
dogo ukija pata Muislam anamtafutia Yesu kashfa ujuwe hana uislam huyo. Sisi tunashangaa nyie ndio mnamsema Yesu ni gay na mnasema ni kichaa. Lazima ufahamu maneno hayo sio waislam wanayo yasema, ni wakristo wengi tu ndio wanasema Yesu alikuwa gay, na kuna debate nyingi sana wanafanya kuhusu kama Yesu aliowa au alikuwa gay na kuna wengine mpaa wanasema alikuwa anasex nje ya ndoa na Marry Magdalene. Huwezi kukuta Muislama anamdharau Yesu hata siku moja.Well said, Waislam wanajitahidi kumtafutia Yesu kashfa kwa kutengeneza Theory ili wafike Conclusion. Wana Bahati mbaya kwa sababu Tayari Bible imeandikwa. Wana Bahati mbaya kwa sababu tayari Quran na Hadith imeandika yale yamuhusuyo Mtume wao
dogo Gambamai , mimi sijamkashifu Yesu ni nyie wakristo ndio mnamkashifu. mara mnamuita shoga mara mseme hana akili sio mimi we soma bibilia , hebu nikutolea ubishi tazama wakristo wanasema nini sio mimiAaa kuhusu bibilia miminaijua kuliko anaye kusomesha kanisani ndio mana nimewanasa mnavyo mtukna Yesu na bado kuna mengi tawaonyesheni dalili bibilia si kitabu cha Mungu, mana kina ongea kama kimetungwa na mlevi vile.
Kwanini wafanye Debate kama tayri Biblia imesema kuna ushoga?dogo ukija pata Muislam anamtafutia Yesu kashfa ujuwe hana uislam huyo. Sisi tunashangaa nyie ndio mnamsema Yesu ni gay na mnasema ni kichaa. Lazima ufahamu maneno hayo sio waislam wanayo yasema, ni wakristo wengi tu ndio wanasema Yesu alikuwa gay, na kuna debate nyingi sana wanafanya kuhusu kama Yesu aliowa au alikuwa gay na kuna wengine mpaa wanasema alikuwa anasex nje ya ndoa na Marry Magdalene. Huwezi kukuta Muislama anamdharau Yesu hata siku moja.
Weka (bandua) ayat mchungaji acha longolongo.Naona umehama mada, mimi tangu juzi nakuwekea Verse zinazoonesha Mabikra mbinguni, ukitaka nakuwekea Mtume wenu kuoa mateka/watumwa, watoto wa Shangazi/mjomba nk.
Pia Quran inasema kuwa mtapewa vijana wadogo wa kiume mbinguni, unataka na mimi nitumie evidence hizo kusema na nyie kuna Ushoga kwenye Quran?
Alifanya mapenzi au alioa?Kwanini wafanye Debate kama tayri Biblia imesema kuna ushoga?
Mfano, mnaweza kufanya debete kwamba Mohammad alifanya mapenzi na mke wa mwanae wa kulea wakati tayari Qurana na Hadith vimesema wazi?
Sa we unacho kipinga ni kitu gani hapo? Hizo ni ahadi wamepewa waislam na Mungu, we ulisha fika peponi mpaa ukaona wamekosa walicho ahidiwa? Pili wewe huwezi kuikosoa Qur'an hata siku moja.Naona umehama mada, mimi tangu juzi nakuwekea Verse zinazoonesha Mabikra mbinguni, ukitaka nakuwekea Mtume wenu kuoa mateka/watumwa, watoto wa Shangazi/mjomba nk.
Pia Quran inasema kuwa mtapewa vijana wadogo wa kiume mbinguni, unataka na mimi nitumie evidence hizo kusema na nyie kuna Ushoga kwenye Quran?
(QURAN 52:24): "And there will go round boy-servants of theirs, to serve them as if they were preserved pearls."
(QURAN 56:17): "They will be served by immortal boys."
(QURAN 76:19): "And round about them will (serve) boys of everlasting youth. If you see them, you would think them scattered pearls."
Naona umehama mada, mimi tangu juzi nakuwekea Verse zinazoonesha Mabikra mbinguni, ukitaka nakuwekea Mtume wenu kuoa mateka/watumwa, watoto wa Shangazi/mjomba nk.
Pia Quran inasema kuwa mtapewa vijana wadogo wa kiume mbinguni, unataka na mimi nitumie evidence hizo kusema na nyie kuna Ushoga kwenye Quran?
(QURAN 52:24): "And there will go round boy-servants of theirs, to serve them as if they were preserved pearls."
(QURAN 56:17): "They will be served by immortal boys."
(QURAN 76:19): "And round about them will (serve) boys of everlasting youth. If you see them, you would think them scattered pearls."
Ukitaka kuelewa Biblia, soma kisa kizima na siyo kubandua maneno, Soma Mlango wa 3 wote upate maana, .......
Sa we jiulize kama wakristo wote wanamini Yesu si shoga kwanini wanafanya debate?Kwanini wafanye Debate kama tayri Biblia imesema kuna ushoga?
Mfano, mnaweza kufanya debete kwamba Mohammad alifanya mapenzi na mke wa mwanae wa kulea wakati tayari Qurana na Hadith vimesema wazi?
Mara Aisha ana miaka 9 mara ana miaka 6, we niambie mama yake Yesu alichumbiwa anamiaka mingapi? Na alimzaa Yesu ana umri gani? Hio ya Aisha mimi na dalili aliolewa anamiaka zaid ya 17. Wewe dalili zako wapi Aisha aliolewa ana miaka 6? Au 9?Tangu jana umewekewa mahudhui nzima ya hivyo vifungu, au unataka na sisi tuweke animations zinazomuonesha MOHAMMAD akiwa na AISH, mke mwenye miaka 6?
Qur'an si gazeti mpaa lichapishwe kila wakati, hio sio bibilia. Afu point ulizo ziongea hapo zote zinaonyesha vipi hutumii akili kujibu hoja na izo Aya sijui umezitoa wapi, sijui kanisani mnapewa Qur'an tofouti na wanayo soma waislam. Qur'an 8:40 insame hivi; Na kama wakigeuka basi jueni kwamba Mwenyezi Mungu ndiye Mola wenu, ni Mola Mwema na Msaidizi Mwema.
dogo Qur'an sio lele mama ujiwekee unavyo taka wewe unadhani hio bibilia. dogo; Was Mary Magdalene Wife of Jesus? or Was Mary Magdalene a Prostitute? Kuna wengi wanasema hajaolewa na Yesu na Yesu hana mke lakini alikuwa hatoki kwa Yesu na alikuwepo pale mnasema Yesu anapigiliwa msalabani? Hubeu tupe ukweli huyo ni nani yake Yesu, na kama walifunga ndoa ilifungwa wapi? Mnaona kama wakristo mnamtukana Yesu afu mnabisha.
Hebu tuwekee dogo, nataka nione wapi Qur'an inasema Mtume Muhammad ni gay. Kwani Qur'an ni bibilia mpaa iwatukane Mitume wa Mungu.
Mara Aisha ana miaka 9 mara ana miaka 6, we niambie mama yake Yesu alichumbiwa anamiaka mingapi? Na alimzaa Yesu ana umri gani? Hio ya Aisha mimi na dalili aliolewa anamiaka zaid ya 17. Wewe dalili zako wapi Aisha aliolewa ana miaka 6? Au 9?
Kwanza jana ulilalamika kuhusu kubanduliwa ayat kwenye biblia na uliweka "standard" hii
Pili unafikiri hao boy-servants ni kwa ajili ya "ushoga"?
Ninyi mnawatumia kwa ushoga huko seminari kwa hiyo unafikiri na hao watumishi watakuwa ni kwa ajili ya ushoga?
Au wapi ayat inasema hao ni kwa ajili ya "chakula cha wachungaji"?
Sa we unacho kipinga ni kitu gani hapo? Hizo ni ahadi wamepewa waislam na Mungu, we ulisha fika peponi mpaa ukaona wamekosa walicho ahidiwa? Pili wewe huwezi kuikosoa Qur'an hata siku moja.
Hakuna mkiristo hatayeweza kuimaliza dunia,km kukashifia wote tunakashifian lkn sio kwa kutumia media,nionyeshe gazeti moja la kiislamu lillilowai kuchora kikatuni cha Yesu,km tukashifian n ss wa afrika tena wa mashariki kwenye miadhara yet y kina Mazinge n Simba Uranga,lkn ukiangalia debet zinazofanyika ulaya n Asia hata Àfrik y kaskazini hakuna debet za kukashifiana,tafuta debet,za Dk Zakir Naik,Yusuf Estet,Bilal Philis,Hussen Yao,n Al marhumu Hamed Dedat,kama walishawai kukashifu ukiristo au dini yoyot isiyoku uislamu,wamefanya midahalo sehemu nyingi za ulaya,amerika n asia,hawajawai kukashifu dini y mtu,iweje leo wao wazungu kila ck wachore kikatuni n kulinganisha n Mtume wetu Muhaamad,hz si dharau watazotufanyia.
Sa we unacho kipinga ni kitu gani hapo? Hizo ni ahadi wamepewa waislam na Mungu, we ulisha fika peponi mpaa ukaona wamekosa walicho ahidiwa? Pili wewe huwezi kuikosoa Qur'an hata siku moja.
Hebu leta dali zako, we unajua Hassan na Hussein walikuwa watu gani? Hao walikuwa wajukuu zake, na unadalili gani kama aliwaonyonya denda? Usiniletee hadith za fake hapa leta Qur'an na Sunna ya Mtume Muhammad kama zinathibtisha maneno yako. Qur'an 2:151; Kama tulivyo mtuma Mtume kwenu anaye tokana na nyinyi, anakusomeeni Aya zetu na kukutakaseni na kukufundisheni Kitabu na hikima na kukufundisheni mliyo kuwa hamyajui.Kwanza sijasema kama ni gay.
Nipe majibu yenye mashiko. Kwanini aliwanyonya denda watoto wawili wa kiume wa Ally?
For no tongue a prophet kiss shall tormented in hell. Fire.
Mwanamke ni shamba Lima utakavyo. Hii aya ilishishwa kwa lengo gani?
Kwanza sijasema kama ni gay.
Nipe majibu yenye mashiko. Kwanini aliwanyonya denda watoto wawili wa kiume wa Ally?
For no tongue a prophet kiss shall tormented in hell. Fire.
Mwanamke ni shamba Lima utakavyo. Hii aya ilishishwa kwa lengo gani?
Alaaa na wewe umeona wapi kwenye Qur'an pameandikwa alimuoa Aisha ana miaka 6, sa we unataka watu wazikubali hadith kuhusu Prophet Muhammad hata kama ni fake, na hutaki kuzikubali hadith kuhusu mama yake Yesu. We unataka story ya mama yake Yesu itoke kwenye Bibilia, hutaki hadith sa vipi we utake hadith fake za Mtume Muhammad? Hujioni kama kichaa wewe.Kwenye Biblia hakuna mahala pameandikwa umri wa Mary na Joseph wakati wanaoana. Ukiniletea hivyo verse ya Bible nitafurahi, sitaki ulete Rumours za mitandao, maana nitakuona jinga.
Kwenye Hadith panasema Mohammad alimuoa Aisha akiwa na Miaka 6, ukitaka soma Hadith.
Kwanza lazima ufahamu kule peponi kila mtu hatazeeka, ukisha fahamu vile, twende point ya pili Qu'ran 76:19 inasema; Na watawazungukia kuwatumikia wavulana wasio pevuka, ukiwaona utawafikiri ni lulu zilizo tawanywa.Ahadi za kNa watawazungukia kuwatumikia wavulana wasio pevuka, ukiwaona utawafikiri ni lulu zilizo tawanywa.uwa Served na Wavulana wazuri,wanaong'aa, wasiozeeka?, How?