Uwezi kulaumu USA, Tunalaumu Msitari wa Quran unaosema ua Makafir, Pia Verse inayosema WAFUASI WA MOHAMMAD HAWANA HURUMA KWA WASIO WAISLAM.
Since '94 Horror, Rwandans Turn Toward Islam
KIGALI, Rwanda, April 6 When 800,000 of their countrymen were killed in massacres that began 10 years ago this week, many Rwandans lost faith not only in their government but in their religion as well. Today, in what is still a predominantly Catholic country, Islam is the fastest growing religion.
Roman Catholicism has been the dominant faith in Rwanda for more than a century. But many people, disgusted by the role that some priests and nuns played in the killing frenzy, have shunned organized religion altogether, and many more have turned to Islam.
''People died in my old church, and the pastor helped the killers,'' said Yakobo Djuma Nzeyimana, 21, who became a Muslim in 1996. ''I couldn't go back and pray there. I had to find something else.''
Source: Since '94 Horror, Rwandans Turn Toward Islam - NYTimes.com
Ule wa rwanda ni ukabila. Still utaona watu walikuwa na hope na church.
Angalia CAR. Ujiulize muslims walikimbilia wapi ili kuwakwepa anti balaka kama sio walijazana makanisani ili kupata wokovu.
Hope na Church iko wapi? kuwa mkweli wa nafsi yako. Msikitini hakuna ukabila wote walikuwepo Wahutu na Watutsi Na waliokimbilia misikiti ndiyo walisalimika. Waliokimbilia kanisani walichinjwa kama hukuhuku na hao hao mapadri na maaskofu, mpaka ma nun ambao ni wanawake walikuwa wanachinja, na wapo waliohukumiwa. Huyajuwi?
Hivi inawasaidia nini kutetea uozo huo?
Kuwa mkweli bibie FaizaFoxy .hata ayati zinathibitisha haya.
Ni majuzi tu,Jamhuri ya CAR tulishuhudia Muslims kukimbilia makanisani tena huko huko roman. Pia
ufaransa ikapekeka jeshi kuwaokoA. Na ule ugomvi ni wa kidini.
Huki Iran ikienda kuwasaidia Muslims wenzao tu badala ya kwenda kuimarisha mahusiano. How absurd!
Isis pale Iraq wamepageuza Abattoir; wanachinja hadi watoto na kulazimisha watu wasilimu. Na mpaka sasa hivi wanachinja watu.
Unajuwa kuwa Hitler alikuwa Mkatoliki? na aliwafanya nini Wayahudi? Miaka karibia 70 baadae, watoto wadogo waliosoma historia wamewatukuza Waislam waliowasadia, jisomee:
Berlin kids name school after Muslim who saved Jews during Holocaust
The Albanian family rescued Serbian Jews who had to flee to an Albanian village to keep a step ahead of the Nazis.
Students, parents and teachers at a Berlin elementary school have voted to name the institution after an Albanian Muslim photographer who saved a Jewish photographers family during the Holocaust.
Students from the school have taken a course on the Holocaust, which included a visit to Yad Vashem. In Israel, they also learned about other Muslims who saved Jews from the Nazis.
The two families from Israel and Albania are still close; in 2004, Yad Vashem named the Muslim family, the Veselis, members of the Righteous Among the Nations.
Earlier this month, members of both families attended the dedication ceremony at the school, which is in a Berlin neighborhood famous for its immigrants, Kreuzberg.
Na hii habari ni kutoka kwenye gazeti maarufu la Kiyahudi: Haaretz
Usikae unajidanganya kuhusu Uislam kwa mafundisho mabovu yaliyokujaza ujinga. Usome Uislam kutoka kwa Waislam uuelewe kuwa ndiyo kimbilio lako pekee.
Hilo Limit of expression isiwe pale tu waislamu wanapoguswa, waislamu wAna kashifu SANA sana ukristo, kama wangekuwa SI watu wa Subira. Saa hizi dunia haipo
dogo mnamuita shoga kwenye bibilia zenu.
Gospel of John describes how the "beloved" disciple laid himself on Jesus' inner tunic -- his undergarment. See John 13:25 and 21:20.
Hayo yatabakia kua mawazo au maoni ya pope mwenyewe,has nothing to do with freedom of kuongea.
Pope mwenyewe kashasema atakufa mwaka keshokutwa,hayo ni mawazo ya mtu anaetaka kufa.
Right on MtumishiJamani watumishi wa Mungu aliye hai:
wakina Nkwesa Makambo, Ishmael Kakende mgen na wengineo ..nawaombeni Nendeni taratiibu na kwa upole kidogo jamani.
Fahamuni tu kuwa hawa wakina Adiosamigo ndio wamiliki wa hii forum. NA ni kawaida kwao kusadiki kuliko kuhoji koran yao. Kama ambavyo Christians wanavyohoji ukristo. Kwahiyo mnadili na serious autocratic doctrine .hivyo Wakizidiwa wataweka kufuli huu uzi mapema iwezekanavyo.
I know, it is hard for a Muzzratagastan to comprehend. If you had a conscience, you would be ashamed.If you're having mental health problems.
Mtumishi, umelenga penyewe. Jamaa sio kwamba watawao, bali watakabidhiwa kama ISIS wanavyo jikabidhi wale jihad sex.Mimi nawaita Mabikra walioahidiwa Waislam kuwa ni Makahaba au Malaya kwa sababu, Mwanamke unaemtumia kama kiburudisho bila kuzaa nae ni sawa na Malaya wa kununua mtaani, vinginevyo watuambie kuwa wata zaa nao mbinguni
Hope na Church iko wapi? kuwa mkweli wa nafsi yako. Msikitini hakuna ukabila wote walikuwepo Wahutu na Watutsi Na waliokimbilia misikiti ndiyo walisalimika. Waliokimbilia kanisani walichinjwa kama hukuhuku na hao hao mapadri na maaskofu, mpaka ma nun ambao ni wanawake walikuwa wanachinja, na wapo waliohukumiwa. Huyajuwi?
Hivi inawasaidia nini kutetea uozo huo?
Hakuna mkiristo hatayeweza kuimaliza dunia,km kukashifia wote tunakashifian lkn sio kwa kutumia media,nionyeshe gazeti moja la kiislamu lillilowai kuchora kikatuni cha Yesu,km tukashifian n ss wa afrika tena wa mashariki kwenye miadhara yet y kina Mazinge n Simba Uranga,lkn ukiangalia debet zinazofanyika ulaya n Asia hata Àfrik y kaskazini hakuna debet za kukashifiana,tafuta debet,za Dk Zakir Naik,Yusuf Estet,Bilal Philis,Hussen Yao,n Al marhumu Hamed Dedat,kama walishawai kukashifu ukiristo au dini yoyot isiyoku uislamu,wamefanya midahalo sehemu nyingi za ulaya,amerika n asia,hawajawai kukashifu dini y mtu,iweje leo wao wazungu kila ck wachore kikatuni n kulinganisha n Mtume wetu Muhaamad,hz si dharau watazotufanyia.
Nimekubandikia vyanzo kila aina, lakini naona unajifanya huelewi.
Siwezi kukataa kama Waislam wanaweza kukimbilia Kanisani kujiokoa, wao ni binaadam pia. Lakini ukweli ni kuwa huko CAR hakuna anaeheshimu Kanisa wa Msikiti, wanauwana hovyo.
Lakini chakushangaza ni wewe pale ambapo hukubali kuwa Waislam wamewakoa si Wakristo tu kwa maelfu hata Mayahudi pia. Hivi unaona taabu gani kuukubali huo ukweli?
Naomba kuuliza kwa nini mama yake Yesu "Mungu " wenu anaitwa bikira maria?