Jina la Israel maana yake ni "MTU aliyepigana na malaika" hata MUNGU mwenyewe alibariki vita Toka enzi na enzi na watu walishinda.Hawa Dini zishawashinda. Sasa Mbona Huko siko kueneza Injili Tena
Ajue na anajua kuwa waliovamiwa na wanaokandamizwa si waukraine peke yake.Hutajamsikia akitoa tamko kama hilo kwa hao wengine na tusije tukamsikia kila mmoja akishika silaha kutaka ukombozi.Hawa Dini zishawashinda. Sasa Mbona Huko siko kueneza Injili Tena
Injili ni kufurahia pale udhalimu unapofanyika?Hawa Dini zishawashinda. Sasa Mbona Huko siko kueneza Injili Tena
Baba wa Imani, Mzee Ibrahim alipigana vita.Jina la Israel maana yake ni "MTU aliyepigana na malaika" hata MUNGU mwenyewe alibariki vita Toka enzi na enzi na watu walishinda ...
Jaribu kusoma vitabu vitakatifu utapata majibu
Kwaiyo ule msemo wa
"Akikupiga la kulia,mgeuzie na la kushoto"
Umekua batili
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi na Palestine apewe silaha akabiliane na Israel wakati wanasubiri mazungumzo!Ukraine wameshageuza na kupigwa la kushoto.
Hivi haya maneno mbona hatuyasikii kwenye uvamizi wa Islaer kule Palestina? Kumbe Palestina nae anahaki ya kujilinda? Kwanini hamkemei?Hatari sasa inakuja baada ya papa Francis kutoa tamko kuwa ni jukumu la nchi kuipatia Ukraine silaha ili ijikomboe kutokana na uvamizi wa Urusi.
Hayo aliyasema juzi kwa waandishi wa habari akiwa kwenye ndege yake kutokea ziarani nchini Kazakhstan.
========
Jana Alhamis Papa Francis amesema inakubalika kimaadili kwa mataifa kuipa silaha Ukraine ili kuisaidia nchi hiyo kujilinda dhidi ya uvamizi wa Urusi.
Akiwa kwenye ndege kutoka kwenye ziara ya siku tatu nchini Kazakhstan, Papa Franscis ameihimiza Kiev kufungua mazungumzo japokuwa yanaweza 'kunuka' kwasababu itakuwa ngumu kwa upande wa Ukraine.
"Kujilinda sio tu haikatazwi bali pia ni kuonesha upendo kwenye ardhi yako. Mtu ambaye hajilindi na halindi chochote, hakipendi. Wale wanaolinda chochote wanakipenda" Alisema Papa
KUHUSU MAZUNGUMZO
Siku zote huwa ni ngumu kuelewa mjadala na nchi ambayo imeanza vita, ni ngumu lakini wazo halitakiwi kutupwa. Siwezi kuondoa wazo la mjadala na mamlaka yoyote iliyo vitani, hata kama na mchokozi
CHANZO: Reuters
View attachment 2358331
Kabisa yaniInabidi na Palestine apewe silaha akabiliane na Israel wakati wanasubiri mazungumzo!
Mbona jibu lako halina logical connection na kilichoandikwa.Ukishaona mpaka Pop ambaye ni kiongozi wa juu wa dini anapendekeza silaha nzito zipelekwe uwanja wa vita ili kupata suluhu
Basi unabidi utafakari mara mbili kuhusiana na habari za Malaika wa vita ambazo umekuwa ukihubiriwa
Hapa naona papa Kakosea,alitakiwa ajikalie Kimya. Kiongozi wa Kiiman Kama yeye Ni hatari kujiinguza kwenye masuala ya kisiasa Kama haya.Hatari sasa inakuja baada ya papa Francis kutoa tamko kuwa ni jukumu la nchi kuipatia Ukraine silaha ili ijikomboe kutokana na uvamizi wa Urusi.