Papa Francis Adai "Hakuna Paradiso /Mbinguni


Kumbe kuna haki za kidini au ndugu yangu mkuu wa jumuiya umesahau kuwa Yesu mwenyewe aliwaambia watu, kama kuna mkamilifu kati yao bhasi awe wa kwanza kutupa jiwe la kwanza kwa yule mwanamke mzinzi!!

Hicho ndicho Papa anakimaanisha daima ni kutowahukumu watu vile tunavyoona sisi inatupasa maana hiyo ni kazi ya Mungu maana kati yetu hakuna ambaye ana haki ya kurusha jiwe kwa binadamu mwenzake maana hakuna aliye mkamilifu

Tena kanuni ya kwanza kupewa ni upendo, upendo kwa Mungu na kwa jirani zetu na kwa zaidi wale waliotukosea au tunaowaona wamekosa haki mbele ya macho yetu

Kwa maana tukiwapenda wale walio wema kwetu au ndugu zetu tunakuwa tumefanya nini cha ziada kuliko wengine wasiomjua kristu.

Jivike roho ya upendo na msamaha kwa ndugu zenu kama vile baba wa mbinguni alivyo juu yenu...
 
Amina mtumishi lakini hayo hayo maandiko yanasema hakuna mwenye dhambi hata mmoja ataurithi ufalme
 
Wasabato mna kazi kweli ya kuhangaika na Papa,mnamuacha Mungu wenu Hellen G White mnakomaa na mtu ambaye hana habari na nyie kabisa
 

Wasabato wanaugua akili kama muasisi wao Yani. Hawajui tunawadharau na hatubadiliki Yani. False accusations, wanafanya kazi ya shetani kabisa.
 
Fuatisha maneno ya bible achana na maneno ya watu...Pope naye ni mtu
 
Amina mtumishi lakini hayo hayo maandiko yanasema hakuna mwenye dhambi hata mmoja ataurithi ufalme
Unaemuona Mdhambi kabla hajafariki ana uwezo wa kutubu na kuiona mbingu, kinachojalisha sivyo unavyoanza safari bali unavyomaliza, hata wewe hujui pumzi yako ya mwisho utakuwa katika hali gani

Nadhani unaijua story ya muuaji kama sauli hadi kuwa mtume paulo ambaye leo almost dunia nzima inasoma maneno yake katika biblia takatifu

Hata kristu mwenyewe alikaa na kunywa na wenye dhambi kwa maana alijua fika kuwatenga na kuwahukumu hakutowabadilisha bali kuwa karibu nao ili kuwaonesha mwanga halisi na hivyo kubadili nyendo zao

Ni kupitia ujali na upendo kwa watu tunawaona wadhambi ndivyo tunaweza kuwabadilisha


Kama Mother Theresa alivyosema, huna muda wa kuwapenda watu kama utawahukumu ikimaanisha kuwa,
kila binadamu ana kasoro za kuhukumiwa au kuchukiwa ila ni katika upendo usiohukumu tunaweza kuujua uzuri wa watu na kuwapenda katika udhaifu wao, lakini kikubwa zaidi ni katika upendo na si hukumu tunaweza kuwabadili

Only God can judge sababu tuliobakia hatuna utimilifu wala utakatifu kama malaika kiasi cha kutoa kibanzi kwenye nyuso ndugu zetu


Papa hapa ndipo anapopasimamia na binafsi yangu namuelewa kwa maana hasemi vitu kufurahisha watumishi ila anasimamia katika kweli na halisi iliyoratibiwa na Agano jipya la Kristu mwenyewe 🙏🙏
 
Nina imani kwa Mungu wangu isiyoyumbishwa na yeyoye awaye yote! Ninajua kwa hakika kwanini naamini juu ya uwepo wake! Nimaani katika utatu mtakatifu. Na ninaamini katika maisha mapya baada ya kifo
Mkuu imani ya utatu mtakatifu ilikuja miaka mia tatu Baada ya yesu kuondoka tena ni Baada ya tafakuri kuu ya makasisi wa kikatoliki!!fumbo hili sio la kuamini
 
Msingi mkuu wa dini zote ni Mbungu sasa kama haipo dini inakosa kiungo muhimu.
 
Basi hao watu walioandika biblia na misahafu ili kuishape dunia kwa kutunga tu zile habari za injili walikua na akili sana coz wemiteka robo tatu ya ulimwengu.
Mm nmeuliza ili tujue ukweli tuna thibitishaje ukwel uliomo au ukwel wa waandishi kwenye uwezo mkubwa wa akiri unaweza enda katika nyanja wa sayansi unaweza ona watu walivyo na Akili so si shangai kuwepo na watu wenye Akili katika politics na nyanja zingne
 
Biblia yenyewe haisemi binadamu ataenda ishi mbinguni ila walichaguliwa watu 12 tu sasa sijui haya maandiko tunatoa wapi
 

Tuma video
 
Wewe ndugu yangu non believer achana na haya mambo, yatakupasua kichwa
 

Mtawaelewa tuu mashahidi wa jehova
 

Ahah ivi pumzi ni nini jaman maana ake [emoji28]
 

Alaf mabaki ya huo mnara yapo kama rocket znazoenda nje hazifiku uko waliko fikia hao watu wa babeli ilibd tuone mabaki ya huo mnara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…