Papa amvua Kardinali Theodore McCarrick madaraka kwa kubaka mtoto miaka 50 iliyopita

Biblia gani hiyo inayosema amri ya sita ni USIZINI au mwandishi kapotoka?

1. Ulisoma shule gani Mkuu? Kwa hiyo kosa liko kwenye namba ya Amri au kwenye tendo linalotajwa katika Amri husika?

2. Hivi umewahi kupata historia ya nani aliziwekea Amri namba kuanzia moja hadi kumi? Kwa taarifa yako ni kwamba wakati Musa anazileta Amri hazikuwa na namba na badala yake namba hizo ziliwekwa na Mt. Augustino Wa Hippo.
 
Hivi unalitetea kanisa katoliki, unatetea Makasisi, unatetea nafsi yako?

Unafahamu maana ya 85% ndani ya makao makuu ya ukatoliki kuwa mashoga? Na hauoni tatizo lolote hapo?

Unafahamu maana ya mpaka Rais wa nchi (Duterte wa Ufilipino) kulalamika kuwa alishafanyiwa mambo ya kishoga na mapadri wa kanisa katoliki? Na huoni tatizo lolote hapo?

Unafahamu maana ya Umoja wa Mataifa kulilalamikia kanisa katoliki kuwa linaharibu maelfu ya watoto duniani kwa liwati?

Dah! Kama yote hayo unafahamu na hauoni tatizo lolote nikuweke kundi lipi?
Nachekaga sana pale mnapoacha kufanya yanayowahusu na kujifunza dini yenu, mnakaa kujifunza ukristo ili mpate vya kubishania.

Mpokee Yesu, bado haujachelewa.
 
Nachekaga sana pale mnapoacha kufanya yanayowahusu na kujifunza dini yenu, mnakaa kujifunza ukristo ili mpate vya kubishania.

Mpokee Yesu, bado haujachelewa.

Na hiyo habari iliandikwa na Muislam? Umekiona chanzo lakini?

Wewe binafsi unaona ni sawa tu Makasisi 85% kuwa mashoga? Unafahamu kanisa kikatoliki lina Makasisi (cardinals) 214 tu dunia nzima . 85% ni makasisi 182 kati ya 214.

Kama si uozo ni nini?

Tatizo kubwa huelewi kuwa Uislam ni nusura kwenu. Na hakuna Muislam ataona mnaangamiza vizazi kwa ufisadi wenu akakaa kimya.
 
Hautaachwa salama. Ufisadi huo hukumu yake ni kifo tu.

Labda nikuulize swali hili tu! allah katoa Adhabu gani kwa wanao fir+&%an? Rej; suratul nisai.15,16...

Sent using Jamii Forums mobile app

Question
What is the punishment for homosexuality? Is there any differentiation between the one who does it and the one to whom it is done?.
Answer
Praise be to Allaah.
Firstly:
The crime of homosexuality is one of the greatest of crimes, the worst of sins and the most abhorrent of deeds, and Allaah punished those who did it in a way that He did not punish other nations. It is indicative of violation of the fitrah, total misguidance, weak intellect and lack of religious commitment, and it is a sign of doom and deprivation of the mercy of Allaah. We ask Allaah to keep us safe and sound.
Allaah says (interpretation of the meaning):
“And (remember) Loot (Lot), when he said to his people: ‘Do you commit the worst sin such as none preceding you has committed in the ‘Aalameen (mankind and jinn)?
81. ‘Verily, you practise your lusts on men instead of women. Nay, but you are a people transgressing beyond bounds (by committing great sins).’
82. And the answer of his people was only that they said: ‘Drive them out of your town, these are indeed men who want to be pure (from sins)!’
83. Then We saved him and his family, except his wife; she was of those who remained behind (in the torment).
84. And We rained down on them a rain (of stones). Then see what was the end of the Mujrimoon (criminals, polytheists and sinners)”
[al-A’raaf 7:80-84]
“Verily, by your life (O Muhammad), in their wild intoxication, they were wandering blindly.
73. So As‑Saihah (torment — awful cry) overtook them at the time of sunrise.
74. And We turned (the towns of Sodom in Palestine) upside down and rained down on them stones of baked clay.
75. Surely, in this are signs for those who see (or understand or learn the lessons from the Signs of Allaah).
76. And verily, they (the cities) were right on the highroad (from Makkah to Syria, i.e. the place where the Dead Sea is now)”
[al-Hijr 15:72-76]
al-Tirmidhi (1456), Abu Dawood (4462)and Ibn Maajah (2561) narrated that Ibn ‘Abbaas (may Allaah be pleased with him) said: The Messenger of Allaah (peace and blessings of Allaah be upon him) said: “Whoever you find doing the action of the people of Loot, execute the one who does it and the one to whom it is done.”. Classed as saheeh by al-Albaani in Saheeh al-Tirmidhi.

Soma zaidi: The punishment for homosexuality - Islam Question & Answer
 
Naona great thinkers hapa wapo kimya, ndio kwanza 18 saivi. Ila ingekuwa inasema shekh fulani amelawiti, hakika page ingeshafika 200 hapa na kashfa za kutosha,.

Ule uzi wa unguja jamaa kushtakiwa kwa kutaka kumuingilia mkewe kinyume cha maumbile, watu walidhihaki sana, wakahusisha hadi Qur ani, kuwa eti ni sunna. Lakini hapa toka nianze kusoma sijaona sehemu biblia inahusishwa, hii ni kwa sababu upande ambao unahusika kukosoa unaheshim sana vitabu vya Mungu, tukumbuke, kitendo kikifanywa na mtu, awe wa dini fulani, shekh, mchungaji, ustadh, padri. Naomba isihusishwe dini yake, hakuna dini hata moja inayoruhusu zinaa au kuingiliana kinyume na maumbile.
Kwa sababu tendo hilo limefanywa na mtu na sio dini.
Mfano kwa hili, padri katenda uovu na sio kanisa katoliki, wala sio ukristo.

Tuache kukashfiana humu, itakuwa haina umuhimu jamii Forum kuwa ni sehemu ya jamii kukerana, kudharauliana, kutiana hasira na kukebehi upande mmoja utadhani hatuishi pamoja huku mitaani, utadhani hatufanyi kazi pamoja, utadhani hatushirikiani kwa lolote lile. Tuna nn hii jamii.

Nahakika, hii forum ina watu wasomi na wastaarabu, hebu msifikie kuharibu usomi na utu wenu kwa kukashfiana humu. Tunataraji busara na elimu zenu zitusaidie, mtuelimishe na kutukosoa kwa busara, na si kuendeleza comment zinazozidi kutengeneza chuki kwenye jamii.

Nawatakia siku njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea Point sana Mkuu
Kula like za buku 10 hapo hapo ulipo ndg
Ubarikiwe sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ayat mbona umeziacha?¿ na suratul baqara 223 yenye sababu hii ya kushuka! Pamoja na hadith hiii..halafu shughuli ikiisha allah kawapa wepesi kata.3 uwe unaziweka ili watu wajue hao wafanyao hayo wanamgeza hatma nabyii wa ibili! hhhhhhhhhhView attachment 1025005View attachment 1025007View attachment 1025008View attachment 1025010

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulikuasa Mgen

Unapotoa andiko,uwe na uhakika wa unachokisema

Nukuu zako,hazipo sawa.
Tuache chuki za ajabu ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi

Hauna faida kbs
Mods,ni bora kuufuta

Hatupo hapa kudhalilishana na kusemeana uongo

Wandg
Tuwe na Busara katika kuyaendea majambo

Laa sivyo,tutaendelea kupotea njia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hii je? "Father" amelawiti shule nzima, watoto wadogo, hii Soni,Tanzania: He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile
Ukhty Faiza

Allah akubaarik sana popote ulipo

Nasaha zangu kwako

Si vema kusema yote hayo,maaana hakuna kujenga,bali ni kubomoa
Wao wanakiri maovu yanayofanywa na baadhi ya viongozi wao
kama sisi tunavyokiri

Ila
si sahihi kusemana mpaka kurithishana chuki za hatari

Busara itume katika kuelimishana na kufunzana
na si kebehi na kudhalilishana

Nataraji utanielewa mm mdogo wako

Shukran sana Ukhty

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani
Katika Dini yetu ya Uislam na Ukristo na Uyahudi
Hakuna hata moja yenye kuruhusu upuuzi/dhambi hizi na mfano wake

Kwa mantiki hii
Hakuna mkamilifu katika sisi
Basi,kosa la mtu na dosari zake,tusiziegemeze katika Kitabu au Dini
Maana hakuna Dini(Uislam,Ukristo na Uyahudi) yenye kufunza uchafu huu

Kosa la mtu,litabaki kwake na si vinginevyo



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi maandiko ya Hadithi uliyoyaleta,hayapo sahihi

Naomba ujue hilo

Ninahakika,Unausoma Uislam,kupitia katika Mitandao
Na hili jambo ni hatari sana,kwasababu,anaekusomesha kwanza humjui,kisha anachokupa,hujui usahihi wake

Shukran Mkuu(Mgen)
Funguka Mkuu! mimi nimenukuu ilimu Islam, na WALAHI sina chuki YEYOTE ÑA MTU MUISILAMU! Ilaha nachukia GHILBA ZA ROHO islam!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu tofautisha Kauli hizi... Kauli ya KWANZA Msemaji katoa HUKUMU! Msemaji wa pili Hajatoa HUKUMU YEYOTE kwa wanao pumuliana kisogono na anasema WAACHENI YEYE NI MWINGI WA HURUMA NA MSAMAHA! HIZI AYAT NI USHAHIDI TOSHA KWA WANAO TAFAKARI KWAMBA mungu wa waisilamu ni TOFAUTI SANA NA MUNGU ANAE ABUDIWA NA WAKRISTO! Nimekosea wapi bibie kabla sija Endelea kutoa darsa!View attachment 1025349View attachment 1025351

Sent using Jamii Forums mobile app
Adhabu hujaiona? Amma kweli macho unayo lakini hayaoni masikio unayo lakini hayasikii.

Pole sana, leo unakubali hukumu za agano la kale?

Yote Tisa, kumi ni mada iliyopo. Je, unafurahishwa na Makasisi asilimia 85 kuwa mashoga?
 
Naona great thinkers hapa wapo kimya, ndio kwanza 18 saivi. Ila ingekuwa inasema shekh fulani amelawiti, hakika page ingeshafika 200 hapa na kashfa za kutosha,.

Ule uzi wa unguja jamaa kushtakiwa kwa kutaka kumuingilia mkewe kinyume cha maumbile, watu walidhihaki sana, wakahusisha hadi Qur ani, kuwa eti ni sunna. Lakini hapa toka nianze kusoma sijaona sehemu biblia inahusishwa, hii ni kwa sababu upande ambao unahusika kukosoa unaheshim sana vitabu vya Mungu, tukumbuke, kitendo kikifanywa na mtu, awe wa dini fulani, shekh, mchungaji, ustadh, padri. Naomba isihusishwe dini yake, hakuna dini hata moja inayoruhusu zinaa au kuingiliana kinyume na maumbile.
Kwa sababu tendo hilo limefanywa na mtu na sio dini.
Mfano kwa hili, padri katenda uovu na sio kanisa katoliki, wala sio ukristo.

Tuache kukashfiana humu, itakuwa haina umuhimu jamii Forum kuwa ni sehemu ya jamii kukerana, kudharauliana, kutiana hasira na kukebehi upande mmoja utadhani hatuishi pamoja huku mitaani, utadhani hatufanyi kazi pamoja, utadhani hatushirikiani kwa lolote lile. Tuna nn hii jamii.

Nahakika, hii forum ina watu wasomi na wastaarabu, hebu msifikie kuharibu usomi na utu wenu kwa kukashfiana humu. Tunataraji busara na elimu zenu zitusaidie, mtuelimishe na kutukosoa kwa busara, na si kuendeleza comment zinazozidi kutengeneza chuki kwenye jamii.

Nawatakia siku njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umesema kweli ..maana kuna watu humu .. ... wanatukana sana wenzao wakati na wao yale yale na kwao yapo!
Ndio maana mzungu aliwaita washenzi... na ni washenzi kweli!
ushenzi umekusanya tabia zote za ajabu ajabu!..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Papa Francis amemvua madaraka
Kardinali wa zamani, ikiwa ni tukio la kwanza kwa Kanisa Katoliki kuchukua hatua baada ya Mmarekani huyo, Theodore McCarrick kutuhumiwa kumbaka mtoto miaka 50 iliyopita, taarifa ya Vatican imesema jana.

McCarrick, 88, ambaye alijitoa kutoka Taasisi ya Makardinali ya Vatican mwezi Julai, ni Kardinali wa kwanza duniani kutengwa kutokana na tuhuma za ngono.

Mahakama ya Vatican ilimkuta na hatia ya
kosa la kumbaka mtoto mwenye umri chini
ya miaka 20, uamuzi uliothibitishwa na Papa mwezi huu, na hivyo hauwezi kupingwa zaidi, kwa mujibu wa taarifa hiyo.
Ilisema McCarrick alipatikana na hatia ya
“kuzini kinyume na amri ya sita kwa kufanya uzinzi na mtoto pamoja na watu wazima, na tatizo kubwa zaidi ni kutumia vibaya madaraka”.

Taarifa hiyo inahitimisha kuanguka kwa aina yake kwa kardinali huyo aliyekuwa na
ushawishi mkubwa na kumekuja kabla ya
mkutano wa Vatican utakaofanyika Februari 21-24, ukihusisha maaskofu kutoka kila kona ya dunia kujadili namna ya kulinda watoto ndani ya kanisa.

Kashfa za ngono duniani, na hasa hivi
karibuni katika nchi za Marekani na Chile
zimeyumbisha Kanisa Katoliki na kumfanya Papa Francis kuahidi kuwa na sera isiyovumilia makosa hayo, hata kwa viongozi wa juu wa kanisa.

McCarrick, askofu mkuu wa zamani wa
Washington, alizuiwa kufanya shughuli za
kipadri Julai mwaka jana, baada ya kujivua
ukardinali wake wa heshima. Kwa sasa
anaishi Kansas.

McCarrick anajulikana kwa kufanya ngono na waseminari ambao ni watu wazima kabla ya kukumbwa na kashfa hiyo ya kumbaka mtoto mdogo.

Mwaka jana, waendesha mashtaka wa jimbo la Pennsylvania, Marekani walibaini kuwa viongozi wapatao 300 wa dini walihusika katika kashfa za kubaka watoto kuanzia miaka ya arobaini, lakini kashfa hizo zilifunikwa na maaskofu kadhaa.

Waendesha mashtaka katika majimbo
mengine wameahidi kufanya uchunguzi kama huo.

Mwaka jana, Papa alikubali kujiuzulu kwa
maaskofu kadhaa wa Chile baada ya
uchunguzi kubainisha vitendo kadhaa vya
uzinzi vilivyofanywa na viongozi hao wa dini.

Machi mwaka 2015, Papa alimruhusu Keith O’Brien kuendelea na ukardinali baada ya askofu huyo wa zamani wa Edinburgh na kiongozi wa zamani wa Kanisa Katoliki nchini Scotland kujiuzulu kwa tuhuma za uzinzi.

Chanzo: Mwananchi
Mwanzo 2
18 Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.

21 Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,

22 na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.

23 Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.

24 Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
.
Hiki hapa ndio kitanzi cha mapadre kwamba Mungu aliona sii vyema mtu awe peke yake akamfanyia msaidizi. Sasa wewe unakuja kupindua kwa kutaka kujiadhibu kinyume na asili. Ni kama kuupiga mchukoo(mwiba) teke.
Sharti la utumishi katika ofisi ya padre(mchungaji) ni hili.
.
1 Timotheo 3
2 Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha;

3 si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana, wala asiwe mwenye kupenda fedha;

4 mwenye kuisimamia nyumba yake vema, ajuaye kutiisha watoto katika ustahivu;

5 (yaani, mtu asiyejua kuisimamia nyumba yake mwenyewe, atalitunzaje Kanisa la Mungu?).
.
HAPOSASA,
HUNA NYUMBA UNAYOWEZA KUITUNZA, UTATUNZA JE KANISA LA MUNGU?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom