Papa amvua Kardinali Theodore McCarrick madaraka kwa kubaka mtoto miaka 50 iliyopita

Sijui kama wameachwa salama, maana kuna Father Kit Cunningham alilawitiana na watoto wadogo wa shule nzima huko Soni (kwa kina Makamba huku).

Msome mwenyewe maana hukawii kunizushia kuwa ni yangu: He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile

Wewe ulisoma shule ipi? Umesalimika?

Huyo Father ni mhalifu kwahiyo atashughulikiwa kama wahalifu wengine.


Mtazania akamatwa na dawa za kulevya Indonesia - JamiiForums

Na huyo hapo ndio nani? Maana ndio wajenga maghorofa na wafadhili hao
 
Unajitahidi kubadili mada, ujumbe kutoka Vatican umeupata. Sasa kazi kwako kunyoa au kusuka.

Hatuwashangai, maandiko ya Mungu mnabadilisha itakuwa mada ya ushoga kanisani kwenu?

Nani amewaruhusu Waislamu kuanzisha Mahakama ya Kadhi mkoani Singida? - JamiiForums
Wee dada soma hapo nyuma usiandike comment zako vizuri usijibu vitu usivyovijua na ujue kwamba kanisa Cathoric ndo limeiandaa Biblia tangu awali kuliko kanisa lolote na tena maovu ya watu fulani usiseme kanisa ndo limefanya au kuruhusu uovu
Kama mtu kazini sio kanisani mtu kuwa mwelewa nimekuelesha sana kuhusu hili

Kama nimeshakwambia umetambu sasa endelea kuongea vitu vya ajabu kwa kutukana kanisa na ujue kuwa hili kanisa halikuanzishwa na mkono kama unavyosikia madhehebu !mengine sasa ukiendelea kutoa matusi yako ni shauri yako
Kifupi ni Kanisa lilianzishwa na Mungu mwenyeww sasa endelea kutoa matusi nimekuonya sana

Tukana mtu aliyekosea sio useme kanisa zima kitu usichokijua ni saqa na usiku wagiza yangu macho

Nakazia Tofautisha kati ya mtu na kamisa ni vitu viwili tofauti na mwenye macho ameona haya maandishi
 
Aya uliyoitoa,inahusu Mke na Mume
na si Mwanaume kwa Mwanaume

Sheria ya Kiislam,Ikiwa Mwanaume atamuingilia Mwanaume mwenzake,hukmu yao ni Kifo

Hata Mwanaume akimuingilia Mwanamke kinyume na Maumbile,Hukmu yao wote ni Kifo,Ikiwa mwanamke huyo aliridhia,na kama alitezwa nguvu na Mwanaume,Basi hukmu inamuangukia Mwanaume tu,na Mwanamke ana achwa salama,akipewa nasaha ya Kurejea kwa Mola wake

Huu ndio Uislam na Sheria zake
Hebu tofautisha Kauli hizi... Kauli ya KWANZA Msemaji katoa HUKUMU! Msemaji wa pili Hajatoa HUKUMU YEYOTE kwa wanao pumuliana kisogono na anasema WAACHENI YEYE NI MWINGI WA HURUMA NA MSAMAHA! HIZI AYAT NI USHAHIDI TOSHA KWA WANAO TAFAKARI KWAMBA mungu wa waisilamu ni TOFAUTI SANA NA MUNGU ANAE ABUDIWA NA WAKRISTO! Nimekosea wapi bibie kabla sija Endelea kutoa darsa!View attachment 1025349View attachment 1025351

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi Allah kasema haya Mkuu Mgen?!
HAO KAMA WAPO NI WAISILAMU WENZIO! SABABU YESU HAJAFUNDISHA UCHAFU HUO ABADAAN! ALIYE FUNDISHA KINADHARIA NA VITENDO ni allah kwa kinywa cha baba fatuma! Unafurahishwa au laa?? Jibu!; mmbwa kala mwanae Mimi mgen hayanihusu..hhhhhhhhhh

Swali langu mbona unapotezea?? Adhabu Aliyo toa allah kwa wanao fanya mchezo wa kisilamj ndio uiweke bibie! Nilicho kiona allah anasema WAACHENI YEYE NI MWINGI WA HURUMA NA MSAMAHA!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria ya Kiislam,Ikiwa Mwanaume atamuingilia Mwanaume mwenzake,hukmu yao ni Kifo

Kwa hiyo, Sharia ya Kiislamu iko juu ya Mantiki ya Mungu? Ni lini uliona wewe umetenda dhambi na Mungu akakupiga Gongo kichwani zaidi ya kukueleza kwa moyo Wa upole tu kwamba umetenda dhambi?



Kwa hiyo,unajivunia sharia kama hiyo kama Muorobaini? Na je kwa Sharia hiyo,vitendo hivyo vimekoma katika Uislamu? Je,mbona kuna mashoga lukuki waislamu,mnasubiria nini kuwaua?
 
Rudi kwanza katika Nukuu ya Ndg yako Mgen

kisha njoo kwangu na ujenge hoja ya msingi
Shukran Chief
Kwa hiyo, Sharia ya Kiislamu iko juu ya Mantiki ya Mungu? Ni lini uliona wewe umetenda dhambi na Mungu akakupiga Gongo kichwani zaidi ya kukueleza kwa moyo Wa upole tu kwamba umetenda dhambi?



Kwa hiyo,unajivunia sharia kama hiyo kama Muorobaini? Na je kwa Sharia hiyo,vitendo hivyo vimekoma katika Uislamu? Je,mbona kuna mashoga lukuki waislamu,mnasubiria nini kuwaua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria ya Mungu imekuja kuleta uadilifu na amani katika Jamii

Na moja ya kazi zake kuu,ni kuhukumu na kuadhibu
alietenda kosa,lazima aadhibiwe,na aliefanya sawa,basi anaendelea na kueneza amani katika Ulimwengu wa viumbe

Sheria ni msumeno,haimuangalii mtu usoni
Hakuna mtu kati yetu alie juu ya Sheria
Ni Mungu pekee na wapekee tu,asie na mshirika,hakuzaa wala kuzaliwa,na hana mfano na yeyote yule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudi kwanza katika Nukuu ya Ndg yako Mgen

Sijaona shida katika nukuu yake zaidi ya hiyo yako ambako unajigamba na sharia ya kunyofoa watu uhai kwa sababu wametenda dhambi ya kujamiiana kinyume cha maumbile.

Kwa nini hamunyofolei watu uhai wanaopatikana na hatia ya kusema Uongo au kuiba? Kwa Sharia hiyo, Unataka kuonyesha kwamba Mungu anaiona dhambi ya kujamiiana kinyume cha maumbile kama dhambi kubwa sana kuliko Uongo?
 
Labda tufungue uzi maalum wa kila dhambi

Mada iliyopo,ni mtu kufanya dhambi ya kuingiliana kinyume na maumbile(kulawiti)

Ndio tukatoa Hukmu yake katika Uislam
Naomba unielewe ndg
na kama hujanielewa,basi jilazimishe kunielewa angalau

kisha,rudi tena katika Nukuu ya ndg yako Mgen,nadhani hujasoma nukuu zake vema

Shukran
Sijaona shida katika nukuu yake zaidi ya hiyo yako ambako unajigamba na sharia ya kunyofoa watu uhai kwa sababu wametenda dhambi ya kujamiiana kinyume cha maumbile.

Kwa nini hamunyofolei watu uhai wanaopatikana na hatia ya kusema Uongo au kuiba? Kwa Sharia hiyo, Unataka kuonyesha kwamba Mungu anaiona dhambi ya kujamiiana kinyume cha maumbile kama dhambi kubwa sana kuliko Uongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni nukuu ya ndg yako Mgen

Hukmu hii,ipo kwenu pia

Sijui ni kipi hasa,unataka kujenga hoja upande wetu?!!
tapatalk_1550475080040.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Qur'an 2:
Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo. 10

11. Na wanapo ambiwa:Msifanye uharibifu ulimwenguni. Husema: Bali sisi ni watengenezaji. 11

12. Hakika wao ndio waharibifu, lakini hawatambui. 12

3. Na wanapo ambiwa: Aminini kama walivyo amini watu. Husema: Tuamini kama walivyo amini wapumbavu? Hakika wao ndio wapumbavu, lakini hawajui tu. 13

14. Na wanapo kutana na walio amini husema: Tumeamini. Na wanapo kuwa peke yao na mashet'ani wao husema: Hakika sisi tu pamoja nanyi. Hakika sisi tunawadhihaki tu. 14

15. Mwenyezi Mungu atawadhihaki wao na atawawacha katika upotofu wao wakitangatanga ovyo. 15

16. Hao ndio walio nunua upotofu kwa uwongofu; lakini biashara yao haikupata tija, wala hawakuwa wenye kuongoka. 16

17. Mfano wao ni kama mfano wa aliye koka moto, na ulipo tanda mwangaza wake kote kote Mwenyezi Mungu aliiondoa nuru yao na akawawacha katika giza, hawaoni. 17

18. Viziwi, mabubu, vipofu; kwa hivyo hawatarejea. 18
... huu ndio uandishi wa Kitabu Kile? Duh! Kikisomwa kwa kiarabu basi mbwembwe hizo kwa sisi maamuma utadhani sauti za majini yanasoma kwa kupokezana! Kumbe, kikifasiriwa, lahaula! Malenga wetu wana "mistari" ya maana hata kwa mtiririko wa kimantiki! "Neno la Mungu" utadhani mipasho!
 
... huu ndio uandishi wa Kitabu Kile? Duh! Kikisomwa kwa kiarabu basi mbwembwe hizo kwa sisi maamuma utadhani sauti za majini yanasoma kwa kupokezana! Kumbe, kikifasiriwa, lahaula! Malenga wetu wana "mistari" ya maana hata kwa mtiririko wa kimantiki! "Neno la Mungu" utadhani mipasho!
Nani alikudanganya Qur'an ni kitabu cha mashairi?

Ujumbe umekuingia.
 
wapi imesema kuwa ni Wanaume?!

Rudi aya ya nyuma yake,kisha utapata maana halisi
Aya inazungumzia Mwanaume na Mwanamke wakifanya Zinaa

Na hizi ni aya za mwanzo kabla ya kushuka aya za Bakora au adhabu ya kupigwa mawe kwa mtu alieoa
daah?! mkuu aya inayohusu wanawake wanao sagana ni nisai.15! Na nisai.16 ni wanaume wanao fir*$@na...quran wewe unayo Tuwekee allah alipo agizo HUKUMU ya wafir&%ji NI KIFO! nitashukuru mno!View attachment 1025453View attachment 1025454

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom