Papa amvua Kardinali Theodore McCarrick madaraka kwa kubaka mtoto miaka 50 iliyopita

85% ya Makasisi unaidownplay kama vile mtu mmoja tu kafanya kosa!

Duh! Hakika mna macho lakini hayaoni, mna masikio lakini hayasikii. Mioyo yenu ina maradhi na yanazidi kila kukicha.

Yaani elewa Hakuna mahali kanisa limewahi hata kuukaribisha Ushoga.

Waumini was parokia Fulani wanted kuwa wote Malaya haimanishi kanisa linafundisha umalaya. Na ndio maana wakihundua wanakufukuza Bila compromise.

But what we see in America na the like Ni mpango wa muda mrefu wa kulichafua kanisa.

Faiza kumbuka pia priests, cardinal, bishops and deacons, are human beings. Hivyo wana upungufu wa kibinadamu lakink matendo yao binafsi sio matendo ya kanisa na Wala haijawahi kuwa msimamo wa kanisa. Na ndio maana msimamo wa kanisa katoliki ndio msimamo wa makanisa mengine your.

Wewe ndio Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa Wala milango ya kuzimu haitalishinda.
 
In the world that we live, you are narrow minded. Unafikiria karibu mno. Kama tisingekuwa na taarifa ya nini kinaendelea duniani, you could fool us.
Wewe unataka kila mtu awe dini yako. Hata muanzilishi hakuweza. Na wewe hutaweza.
Sana sana ukienda vibaya watasema msimamo mkali
Imbecile, is what is in this thread my report?

Report ya UN aliiandika FaizaFoxy?

Father Kit Cunningham wa Soni Tanzania aliyelawitiana na watoto wadogo wa shule nzima habari yake aliiandika FaizaFoxy.

Habari za kesi zaidi ya 4000 duniani za Makasisi kulawiti watoto wadogo aliziandika FaizaFoxy?

Nyie kama mnachukia ushoga hameni tu huko, haujaanza leo ushoga na hautakwisha.

Hivi mnachokitetea nini haswa? Mashoga, ushoga, au nyinyi wenyewe?

Soma hii Rais wa Ufilipino kafuguka alivyolawitiana kanisani na mapadri: Philippines president reveals he was abused by priest as a child
 
Hi IPO wazi Hakuna mahali mafundisho ya kanisa katoliki Yana entertain Ushoga Bali no individual characters na mpango mkakati was Marekani for years kuundermine kanisa Hilo ndio maana cases nyingi zipo huko na washirika wake.
Nanyie mshaanza kufi&&&na mnaanza kusingizia Marekani, kama wenzenu wanavyouna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUMBE MKIBANWA HUWA MNAKUWA NA I.Q KUBWA HIVI ZA KUONA MAMBO KIUNDANI ZAIDI. NADHANI HII NI OPPOSITE YA TERRORISM.
Yaani elewa Hakuna mahali kanisa limewahi hata kuukaribisha Ushoga.

Waumini was parokia Fulani wanted kuwa wote Malaya haimanishi kanisa linafundisha umalaya. Na ndio maana wakihundua wanakufukuza Bila compromise.

But what we see in America na the like Ni mpango wa muda mrefu wa kulichafua kanisa.

Faiza kumbuka pia priests, cardinal, bishops and deacons, are human beings. Hivyo wana upungufu wa kibinadamu lakink matendo yao binafsi sio matendo ya kanisa na Wala haijawahi kuwa msimamo wa kanisa. Na ndio maana msimamo wa kanisa katoliki ndio msimamo wa makanisa mengine your.

Wewe ndio Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa Wala milango ya kuzimu haitalishinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unalitetea kanisa katoliki, unatetea Makasisi, unatetea nafsi yako?

Unafahamu maana ya 85% ndani ya makao makuu ya ukatoliki kuwa mashoga? Na hauoni tatizo lolote hapo?

Unafahamu maana ya mpaka Rais wa nchi (Duterte wa Ufilipino) kulalamika kuwa alishafanyiwa mambo ya kishoga na mapadri wa kanisa katoliki? Na huoni tatizo lolote hapo?

Unafahamu maana ya Umoja wa Mataifa kulilalamikia kanisa katoliki kuwa linaharibu maelfu ya watoto duniani kwa liwati?

Dah! Kama yote hayo unafahamu na hauoni tatizo lolote nikuweke kundi lipi?
Ya wakatoliki waachie wenyewe wakatoliki, wewe hayakuhusu.
 
Imbecile, is what is in this thread my report?

Report ya UN aliiandika FaizaFoxy?

Father Kit Cunningham wa Soni Tanzania aliyelawitiana na watoto wadogo wa shule nzima habari yake aliiandika FaizaFoxy.

Habari za kesi zaidi ya 4000 duniani za Makasisi kulawiti watoto wadogo aliziandika FaizaFoxy?

Nyie kama mnachukia ushoga hameni tu huko, haujaanza leo ushoga na hautakwisha.

Hivi mnachokitetea nini haswa? Mashoga, ushoga, au nyinyi wenyewe?

Soma hii Rais wa Ufilipino kafuguka alivyolawitiana kanisani na mapadri: Philippines president reveals he was abused by priest as a child

Lol. Ipeleke bungeni basi hiyo ripoti ikajadiliwe🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hivi unalitetea kanisa katoliki, unatetea Makasisi, unatetea nafsi yako?

Unafahamu maana ya 85% ndani ya makao makuu ya ukatoliki kuwa mashoga? Na hauoni tatizo lolote hapo?

Unafahamu maana ya mpaka Rais wa nchi (Duterte wa Ufilipino) kulalamika kuwa alishafanyiwa mambo ya kishoga na mapadri wa kanisa katoliki? Na huoni tatizo lolote hapo?

Unafahamu maana ya Umoja wa Mataifa kulilalamikia kanisa katoliki kuwa linaharibu maelfu ya watoto duniani kwa liwati?

Dah! Kama yote hayo unafahamu na hauoni tatizo lolote nikuweke kundi lipi?
Na Siku nyingine jifunze pia kutofautisha kati ya mtu na Kanisa
Unapoongelea Mtu kafanya uovu usijumuishe kwamba kanisa zima limeoza,sema kwamba watu fulani ndo wamekosea either Padre au Muumini ukisema kanisa maanake ni nguvu kuu unazungumzia hadi na hadi mimi au muumini ambaye hajahusika na uovu huo
Naona comment za watu na wewe mmoja wapo mnaseme uozo upo kwenye kanisa ,hapana, ni kwa mtu aliyekutwa na hatia na sio kanisa zima la Mungu mjifunze kitu hapo, na unakuta mnaongea sana ili kanisa lilishakumbana na changamoto nyingi hiii sio kwamba Ndo kubwa sana yalishatokea mengi lakini mpaka lei halijawi teteleka na halitoteteleka na kamwe haliwe yumba au kuteteleka mfahamu hilo

Mchunge sana comment zenu waliofanya kosa ni watu baaadhi wenye mapungufu kama wewe na sio kanisa
Mjue kutoka utisha kati ya1, mtu ndani ya kanisa na 2,Kanisa kama kanisa
Mnaruhusiwa kumsema huyo aliyekosea na sio kanisa huyo mtu yupo katikaa kanisa kukutafuta utakatifu kama mimi na wote waamini au Padre kwa hiyo nikikosea mimi au Papa au yeyote yule basi amekosea huyo mtu na kanisa linabaki likiwa safi kabisaaa ila mtu ndo kakosea nadhani nimeeleweka na huyo anaearibu watoto kwa ngono ni mtu amekosea sio kanisa ielewwke hivyo
 
Mchunge sana comment zenu mtofautishe kanisa na mtu akikosea mtu ni makosa ya mtu sio kanisa ielewke hivyo
Akizini mtu mmoja sio kwamba kanisa zima limezini haijalishi mamla ka aliyonayo ndani ya kanisa muelewe
 
Tumia akili yako kufikiri, acha ushabiki na mihemuko. Unaijua 85% wewe? Eti kwa kuwa wamekuambia ni ulawiti haimaanishi utumie hisia kufikiri badala ya akili.

Kama 85% ya Makasisi wangekuwa walawiti basi karibia kila Parokia ungekuwa unasikia kesi za ulawiti. Kwa hapo unapoishi umeshasikia kesi ngapi za ulawiti?

Mungu amekupa akili na utashi uweze kuchanganua mema na mabaya, zitumie vizuri.
Umeona wapi nimezungumzia percentages katika hiyo post yangu? Soma tena, uelewe
 
Pole sana, Lazima yatokee hayo katoliki ni kanisa lililojijenga sio Kama misikiti

Wanatoa huduma za afya bora, Elimu bora za Afya

Wana miliki Taasisi ya kusaidia maafa inaitwa Catholic Relief Services au zamani Cartas ni taasisi kubwa duniani hapa Tz ndio kubwa zaidi

Je Nyie mnamiliki mabikra 72?

Kujenga na kuchangia misikiti hamuwezi mnasubiri mfalme wa Morroco awasaidie shwain

Kazi yenu ni kuhubiri ugaidi sio maendeleo
Hivi unalitetea kanisa katoliki, unatetea Makasisi, unatetea nafsi yako?

Unafahamu maana ya 85% ndani ya makao makuu ya ukatoliki kuwa mashoga? Na hauoni tatizo lolote hapo?

Unafahamu maana ya mpaka Rais wa nchi (Duterte wa Ufilipino) kulalamika kuwa alishafanyiwa mambo ya kishoga na mapadri wa kanisa katoliki? Na huoni tatizo lolote hapo?

Unafahamu maana ya Umoja wa Mataifa kulilalamikia kanisa katoliki kuwa linaharibu maelfu ya watoto duniani kwa liwati?

Dah! Kama yote hayo unafahamu na hauoni tatizo lolote nikuweke kundi lipi?
 
Exaggeration? Una maana hiyo list page niliyokutumia wote uongo?

Pole sana kama unaona ni exaggeration, na hii nyingine, sema na Umoja wa Mataifa wana exaggerate: UN Report on Vatican Child Sexual Abuse | Religion & Ethics NewsWeekly

Mimi nasema kusema 85% kiukweli si sahihi, kiukweli huko ni 100%.
Mtume hakujua kusoma wala kuandika, Alitafsiriwa aya na Aboubakary pale Mecca

Aya zingine alikuwa anaumwa unafahamu hilo?

Aboubakary akatafsiri kihuni akaziita hadithi

Sasa hadithi ni simulizi chezea Aboubakary wewe

Kulikuwa na watu wawili tu Mecca wakijua kusoma na kuandika pale mecca, wakati Misri nchi nzima walikuwa wanajua kusoma

Unaamini hadithi?
 
Report alete mwingine mie ni comment tu naambiwa nakashifu!

Onesha hiyo kashfa niliyoleta mimi. Ukishindwa ujuwe wewe ni muongo.

Kwa neno "mdini" unamaanisha nini?

Mlawitiane na Makasisi wenu kanisani kwenu halafu unishukie mimi?

Punguani kweli kweli wewe.
Mahakama ya kadhi kwisha

Hii nchi waislamu mnashughulikiwa kisawa sawa

Akiwa kiongozi muislam anatishwa na kugongwa nyaraka za kutosha
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom