BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,837
Wakuu,
Kuna panya wasioeleweka wamevamia mashamba ya Msata wanakula mbegu.
Watu wakipanda mbegu mashambani mwao kabla hazijaota panya hao wanakula hizo mbegu kabla hazijaota.
Haijalishi umepanda mbegu za mahindi, choroko, alizeti au zao lolote lile panya wanakula. Hatujui wametokea wapi, kwa maana hiyo mwaka huu hatutapata chakula tunaolima Msata.
Nipo Msata, kijiji cha Mazizi. Tatizo hili lipo vijiji vyote vya jirani pia
Kwakuwa Mshana Jr anaielewa vizuri, tafadhali karibu kwa mjadala.