Panya Road wavamia Chamazi



Scorpion ndo funga kazi yao hao .. Wamwachie huko aliko waone kama hawa panya watasikika
 
toa taarifa polisi immediately
Hujui kama vituo vya Polisi vyote Dar Vinafungwa jioni hadi Asubuhi Saa Moja ndio vinafunguliwa kama mnabahati watu wa Patrol wakipita ndio ahuheni yenu la sivyo jifungieni tu... ila msisahau kulipa kodi na Anzisheni Sungusungu tu mitaani mwenu maana hamna njia nyingine za kuwalindeni...
 

Mara hii ushasahau maamuzi ya Kukurupuka ya Serikali yako ya CCM kuwa vituo vyote vidogo vya Polisi vifungwe saa12 jioni?ile last card inayotazamana na kigango Katoliki ni ya General mmoja mstaafu wa JWTZ.
 
Dar hivi kweli mmekosa hata wanaume kumi wa ukweli ambao wanaweza kuwa paka road kwaajili ya kuwakabili hao panya?....hebu siku moja mjitutumue muache kulalamika ovyo
Wanaume wa dar ni lege lege ila ninachoshangaa ni kwamba hawa panyaroad wanavamia maskini tu mbona hawaendi kwa ma sonko? Oysterbay,mbezi beach, mikocheni, upanga na kwingineko?
 
Daaaah! Bora niendelee kubaki mkoani maana huku huwatunasahau kufunga milango makusudi....usiku kucha na unakuta flat yako na sabufa vpo salama
 
Hawa panya road watashugulikiwa,katika historia Ya Tanzania hakuna kikundi cha uhalifu kinachodumu,kulikuwa na komando yosso nini panya road time is the real master.
 
Wananchi wa Dar siku tukigeuka paka hao panya watakoma.Tuache kulialia,tuchukue hatua.
 
Wananchi wa Dar siku tukigeuka paka hao panya watakoma.Tuache kulialia,tuchukue hatua.
 
Mi nadhani mob justice itawafaa hao panya road. Wanaume wa dar jipangeni, hizi thread za kulaani,kulialia na kupeana tahadhari hazitowasaidia.
Komaeni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…