CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,070
- 41,278
Nijuavyo mimi uvccm ndiyo panyaroad
Hapana, nasikia tu story kama hivi...Ushawahi kumbana nao lo??
Enzi zetu sisi wa mwaka 47 kulikuwa na 'komando yoso'.Panya road walianza mwaka 2014 wakaendelea mdogo mdogo wakaja kuibuka kuanzia 2022 mpaka leo hii, wakazi wake wengi ni kama Zanzibar, Temeke, Tandika, Chanika, Mwananyamala, Buguruni, Kinondoni n.k.
Panya road wa Zanzibar wakati mwingine hujiita ubaya ubaya.
Sasa kwa nini well organized criminal gangs wako maeneo hayo?
Ukiangalia picha utaona hao vijana ni trained, angalia mapozi, sasa nani anawa-train? rejea panya road wako Zanzibar na Dar tu (atleast kwa sasa)
View attachment 3614624
Enzi zetu sisi wa mwaka 47 kulikuwa na 'komando yoso'.
Cheo cha naibu waziri mkuu kilibuniwa tu ili awe senior kwa mawaziri wezake kwani walikuwa wanamvimbia kwamba asiwaingilie kwenye wizara zao.nakumbuka sana, walikuwa wakitamba maeneo yao pia kama magomeni, hizo criminal gangs zilikuja kumalizwa na Augustine Lyatonga Mrema (rip) alivyokuwa waziri wa mambo ya ndani na mpaka raisi Mwinyi akamteua kuwa naibu waziri mkuu ( nafikiri ndiyo aliyekuwa naibu waziri mkuu wa kwanza tangia kuanzishwa kwa republic yetu) kwa kazi aliyokuwa anapiga ...
Kweli ufukara ni ujanjaHayo maeneo yote uliyotaja ni Kwa wajanja,yaani ukweli usemwe wajanja wako pwani,kila kitu kizuri kipo pwani kila kitu kibaya kipo pwani.
Fikiria,
Mwanamuziki Bora anatokea pwani.
Footballer Bora anatokea pwani.
Bondia bora anatokea pwani
Wezi,matapeli,waganga wote wameanzia Pwani.
Wazamiaji wengi wako pwani inshort walistaarabika na kupata mbinu za kijanja mapema.
Sasa mtoa mada usichanganye dini na hili ni kwamba nchi za mwambao au zilizo kando ya bahari huwa zinatangulia kujua mambo mengi
Udini umeingiaje hapa?. Huyo Samia alipata kura asilimia 98 kati ya asilimia 95 ya wapiga kura wote. Je alipigiwa na waislamu pekee. Punguza udini na ukabila.Panya Road wapo wa kila dini. Wakristo tunabugi sana stepu kila tunapowanyanyapaa waislam huku sisi tukijiona binadamu wa daraja la juu sana.
Kuna upuuzi wa kuishusha thamani DP World kisa uislam wa wanaoimiliki, viongozi wa makanisa wanaamini kabisa kwamba uwepo wa kampuni hiyo bandarini ni kielelezo kwamba uislam unataka kujitanua duniani pote.
Hata chuki anayokutana nayo SSH hutokana na dini yake wala sio kitu kingine chochote.
Imani potofu kwamba SSH wajomba zake wanatokea Oman, vipi kuhusu Baba na Babu zake wanaotokea huku kwenye mikoa ya Pwani ya Tanzania!!?. Kwanini tusimtazame katika mtazamo wa upande wa Baba yake tunaishia kumtazama katika mtazamo wa Mama yake!?.
Akili zile zile za kishenzi za kibaguzi.
Kwa sababu wanaume wa Dar wakitishwa na panya road wanatishika, huko vijijini ingepigwa yowe au pembe wanaume wangekusanyika kuwasaka hao road na ca moto wangekiona.Panya road walianza mwaka 2014 wakaendelea mdogo mdogo wakaja kuibuka kuanzia 2022 mpaka leo hii, wakazi wake wengi ni kama Zanzibar, Temeke, Tandika, Chanika, Mwananyamala, Buguruni, Kinondoni n.k.
Panya road wa Zanzibar wakati mwingine hujiita ubaya ubaya.
Sasa kwa nini well organized criminal gangs wako maeneo hayo?
Ukiangalia picha utaona hao vijana ni trained, angalia mapozi, sasa nani anawa-train? rejea panya road wako Zanzibar na Dar tu (atleast kwa sasa)
View attachment 3614624
Joined : June 29, 2007... yaani kavusha generation moja hapa JFPlatinum member?