Polisi kupitia waatalamu wake inabidi waongeze umakini kwenye kupembua wahalifu kwenye hao 100 wasije watu wakaonewa nachelea kuamini kama hao wote ni panya roadHuo ni uonevu. Ukamataji wa hovyo bila uchunguzi. Polisi ilikuwa wapi miaka zaidi ya 10 sasa? (Toka ile Clip ya Wanaume wa Dar es Salaam- Sauti ya mtu wa MARA).
Huwezi kurupuka uka kamata watu hovyo hovyo tu.
Mkuu wa wilaya ya Temeke jokate mwegelo amesema ndani ya siku mbili zaidi ya wahalifu 100 wamekamatwa wakiwemo vijana wanaojiita ‘panya road’ ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo mbalimbali vya uhalifu wa kuvamia nyumba na kupora mali pamoja na kuwajeruhi watu
SAFI SANA
Source:
#EastAfricaRadioView attachment 2358700
Picha ni muhimu ili tujihadhari naoMkuu wa wilaya ya Temeke jokate mwegelo amesema ndani ya siku mbili zaidi ya wahalifu 100 wamekamatwa wakiwemo vijana wanaojiita ‘panya road’ ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo mbalimbali vya uhalifu wa kuvamia nyumba na kupora mali pamoja na kuwajeruhi watu
Source:
#EastAfricaRadioView attachment 2358700
Wakatwe miguu woote ili iwe fundisho..Huo ni uonevu. Ukamataji wa hovyo bila uchunguzi. Polisi ilikuwa wapi miaka zaidi ya 10 sasa? (Toka ile Clip ya Wanaume wa Dar es Salaam- Sauti ya mtu wa MARA).
Huwezi kurupuka uka kamata watu hovyo hovyo tu.
Akili za nyumbu wanazijua wenyewe, watakuja kutetea wahalifu hapa eti ni haki za binadamu.Huo ni uonevu. Ukamataji wa hovyo bila uchunguzi. Polisi ilikuwa wapi miaka zaidi ya 10 sasa? (Toka ile Clip ya Wanaume wa Dar es Salaam- Sauti ya mtu wa MARA).
Huwezi kurupuka uka kamata watu hovyo hovyo tu.
Wakikamatwa wakatwe miguu woote Kwanza watajieleza baadae kumamake hao wasenge hawana huruma weeewe nani unawaonea huruma?Wakamate panya road pasipo uonevu.
Mnakumbuka mambo ya Hamza pale Salander bridge?