Pongezi kwa jeshi la polisi, mafanikio ya operation PANYA ROAD mitaani tunayaona

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,381
98,843
Jana na juzi nilikuwa Temeke.

Aisee misiba ya watu wanaodhaniwa kuwa Ni Panya Road ni mingi mno, kwa Watu ninaowajua ni zaidi ya 18.

Kwenye hiyo misiba kuna wanaolalamika, wanaoumia na wengine wanasifu kazi nzuri ya Polisi.

NILICHOGUNDUA,
-kwa Dar, Temeke ndio kitovu cha uhalifu na wahalifu. Temeke ina wezi, vibaka na majambazi ya kila aina.

Bahati mbaya hata jiografia, mfumo wa maisha na malezi ya watu wa Temeke vimeruhusu uhalifu kutamalaki,
Wahalifu wanafahamika na jamii nzima ila Cha kuwafanya Hamna Ni Kama wananchi wameshakata tamaa.

Na zile chochoro za Temeke polisi Kupiga patrol na kukimbizana na vibaka Ni kazi ngumu Sana. Ndio Maana wengi wao wamejichimbia huko.

-Tangu kuibuka kwa panya road wanaoua,kujeruh na kupora Mali za Watu, mitaani kulikua hapakaliki.
Hofu ilitanda kila Kona, na lawama zote zilikwenda kwa jeshi la polisi kwamba hawafanyi kazi yao.

-Vijana wa panyaroad baadhi Ni ndugu zetu,majirani zetu, watoto wetu na wengine marafiki tu tunaishi nao mitaani na tunawajua, na hata wakifanya matukio Yao hata sura zao wengi hawafichi. Wengine wakishapiga matukio hurud mitaani kutanua na kujisifu hadharani.
Hili hata viongozi wa serikali za mitaa wanalifahamu.

-Polisi kwenye Hii operation hawaui Watu hovyo Kama baadhi wanavotaka kutuaminisha, nishakutana nao usiku Mara 2 na zote sijaguswa hata kidg Zaid ya usumbuf wa kuhoji maswali ya hapa na pale. Kwasasa nmechukua tahadhari kuacha kutembea Sana usiku mpk Hali itakapotengamaa.

Ninachokiona kwa Hawa vijana wa panya road, hofu kwao imetanda Sana. Akisimamishwa na polisi anaona suluhu yake Ni kujinusuru kumshambulia polisi au kukimbia mbio.
Kwanini sasa usipigwe risasi?
Kama Ni raia mwema unahofia Nini?
Watanzania TUACHE UPOTOSHAJI

-Muda wa operation Ni mfupi ila Hali inatia matumaini sana, ASILIMIA kubwa ya vijana wa panya road na wanaoshirikiana na panyaroad wamesombwa, wengine wameshauwawa, wengine wamekimbia.
Kuna utulivu flani umetamalaki Sana kwenye jamii.

Wanaolalamikia hii operation wengi wao
1. Ni wazazi/ ndugu wa wahalifu.
-kwa kufeli kwao ktk malezi na kuwakanya watoto/ndugu zao, lawama wamezielekeza kwa jeshi la polisi ili kutafuta huruma ya serikali.

2. wanufaika na uhalifu wa panyaroad.
Hasa wanunuaji na wauzaji wa vitu vya Bei rahisi kutoka kwa panya road.
Misiba ya yule dalali na yule jamaa wa TV na simu used, umetoa taswira kamili tuna wafanyabiashara wenye mzunguko wa namna gani.

3. Panya road wenyewe,
Hawa wanatamani operation isimame Maana Hali ishakua tete kwa wenzao.
Kuna kijana namfahamu anayo historia ya uhalifu, keshafungwa Mara 2 anarudi uraiani. Namuona analalamikia sana Hii operation na humu jf keshafungua na Uzi kabisa.

Nilichomshauri Ni akae tu kimya polisi wafanye kazi yao, vinginevyo kwausalama wake ahamie tu mkoani maana hata akitajwa Hakuna atakaemtetea kua kaonewa Kwasababu tayar historia ya uhalifu anayo na jamii nzima inalijua hilo.

Vinginevyo Akishupaza shingo,
Tutazika tu Kama tulivozika wenzake kina gala nakoz, dully kibesi na wenzie

PONGEZI NYINGI KWA JESHI LETU LA POLISI, Nasema hivi..... Kazi iendelee
 
Jana na juz nilikua temeke
Aisee Misiba ya Watu wanaodhaniwa kua Ni panyaroad ni mingi mno,
Kwa Watu nnaowajua ni zaid ya 18.

Kwenye hiyo misiba Kuna wanaolalamika,wanaoumia na wengine wanasifu kazi nzur ya jeshi la polisi.

NILICHOGUNDUA,
-kwa Dar, Temeke ndio kitovu Cha uhalifu na wahalifu. Temeke Ina wezi,vibaka na majambazi ya kila Aina.

Bahat mbaya hata jiografia,mfumo wa maisha na malezi ya watu wa temeke vimeruhusu uhalifu kutamalaki,
Wahalifu wanafahamika na jamii nzima ila Cha kuwafanya Hamna Ni Kama wananchi wameshakata tamaa.
Na zile chochoro za temeke polisi Kupiga patrol na kukimbizana na vibaka Ni kazi ngumu Sana. Ndio Maana wengi wao wamejichimbia huko.

Kimsingi hongera kwa kuja na mrejesho mzuri..hakika jeshi la polisi limeamua kufanya kazi yake halisi...kwahili tunawapongeza.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa hiyo serikali ya mama samia imeona njia pekee ya kupambana na wahalifu ni kuwaua? Kifupi ameamua kuua. Ngoja tuwaone kina zitto waliokuwa wanapigia kelele mauaji ya wahalifu wa kibiti kipindi kile.
 
Mkuu na wewe Sasa tripu za kwa Mama J usiku punguza
Acha kabisa mkuu,

Nishakutana na sungusungu Mara 3,
Juz juzi nmekutana na polisi Mara 2.

Nnachoshkuru mwenyekiti wa mtaa ananifahamu na kila akipigiwa Simu ananitetea kwamba natoka kwa bi.mdg

Nawaza TU siku awe kalewa akane hanijui au asipokee Simu ya polisi sijui itakuaje
 
Ila kumpiga risasi na kumuua mtu mwenye kisu na wewe una bunduki haijakaa poa
Polisi wanamafunzi mengi ya kumkabili muhalifu anaweza kumpiga sehem nyingine ambayo atammaliza nguvu na si kumuua

Kuua inakujaga last option pale ambapo muhalifu anataka kumshinda police,
Tatizo vijana wakishavuta bange na madawa wanajikuta majasili Sana,

Kijana ana panga au bisibisi Ila bado ana ujasili wa kutaka kumkabili kumshambulia na kumkimbia polisi anayeona kabisa Yuko na bunduki na keshaikoki

Hizo Ni akili au matope?
 
Ila kumpiga risasi na kumuua mtu mwenye kisu na wewe una bunduki haijakaa poa
Polisi wanamafunzi mengi ya kumkabili muhalifu anaweza kumpiga sehem nyingine ambayo atammaliza nguvu na si kumuua

Kuua inakujaga last option pale ambapo muhalifu anataka kumshinda police,
Bilashaka umewahi sikia tu kapigwa risasa ya mguu au bega alaf amefariki?
Unawezakuguswa sehem yoyote ile ya risasa ukavuja damu nyingi ukafa au Virtual organ kuumia au kuharibika
 
Ila kumpiga risasi na kumuua mtu mwenye kisu na wewe una bunduki haijakaa poa
Polisi wanamafunzi mengi ya kumkabili muhalifu anaweza kumpiga sehem nyingine ambayo atammaliza nguvu na si kumuua

Kuua inakujaga last option pale ambapo muhalifu anataka kumshinda police,
Dawa ni kufa tu,upigwe ya mguu urudi kwa bibi yako kijijini akutibu upone uje utusumbue,watakufa au mtakufa sana wiki hii na zijazo.
 
Ila kumpiga risasi na kumuua mtu mwenye kisu na wewe una bunduki haijakaa poa
Polisi wanamafunzi mengi ya kumkabili muhalifu anaweza kumpiga sehem nyingine ambayo atammaliza nguvu na si kumuua

Kuua inakujaga last option pale ambapo muhalifu anataka kumshinda police,
Vipi huyo mwenye kisu akikuchoma wewe usiekua na silaha na kukusababishia ukilema au hata kupoteza maisha?
 
Jana na juz nilikua temeke
Aisee Misiba ya Watu wanaodhaniwa kua Ni panyaroad ni mingi mno,
Kwa Watu nnaowajua ni zaid ya 18.

Kwenye hiyo misiba Kuna wanaolalamika,wanaoumia na wengine wanasifu kazi nzur ya jeshi la polisi.

NILICHOGUNDUA,
-kwa Dar, Temeke ndio kitovu Cha uhalifu na wahalifu. Temeke Ina wezi,vibaka na majambazi ya kila Aina.

Bahat mbaya hata jiografia,mfumo wa maisha na malezi ya watu wa temeke vimeruhusu uhalifu kutamalaki,
Wahalifu wanafahamika na jamii nzima ila Cha kuwafanya Hamna Ni Kama wananchi wameshakata tamaa.
Na zile chochoro za temeke polisi Kupiga patrol na kukimbizana na vibaka Ni kazi ngumu Sana. Ndio Maana wengi wao wamejichimbia huko.

-Tangu kuibuka kwa panya road wanaoua,kujeruh na kupora Mali za Watu, mitaani kulikua hapakaliki.
Hofu ilitanda kila Kona, na lawama zote zilikwenda kwa jeshi la polisi kwamba hawafanyi kazi yao.

-Vijana wa panyaroad baadhi Ni ndugu zetu,majirani zetu, watoto wetu na wengine marafiki tu tunaishi nao mitaani na tunawajua, na hata wakifanya matukio Yao hata sura zao wengi hawafichi. Wengine wakishapiga matukio hurud mitaani kutanua na kujisifu hadharani.
Hili hata viongozi wa serikali za mitaa wanalifahamu.

-Polisi kwenye Hii operation hawaui Watu hovyo Kama baadhi wanavotaka kutuaminisha, nishakutana nao usiku Mara 2 na zote sijaguswa hata kidg Zaid ya usumbuf wa kuhoji maswali ya hapa na pale. Kwasasa nmechukua tahadhari kuacha kutembea Sana usiku mpk Hali itakapotengamaa.

Ninachokiona kwa Hawa vijana wa panya road, hofu kwao imetanda Sana. Akisimamishwa na polisi anaona suluhu yake Ni kujinusuru kumshambulia polisi au kukimbia mbio.
Kwanini sasa usipigwe risasi?
Kama Ni raia mwema unahofia Nini?
Watanzania TUACHE UPOTOSHAJI

-Muda wa operation Ni mfupi ila Hali inatia matumaini sana, ASILIMIA kubwa ya vijana wa panya road na wanaoshirikiana na panyaroad wamesombwa, wengine wameshauwawa, wengine wamekimbia.
Kuna utulivu flani umetamalaki Sana kwenye jamii.

Wanaolalamikia hii operation wengi wao
1. Ni wazazi/ ndugu wa wahalifu.
-kwa kufeli kwao ktk malezi na kuwakanya watoto/ndugu zao, lawama wamezielekeza kwa jeshi la polisi ili kutafuta huruma ya serikali.

2. wanufaika na uhalifu wa panyaroad.
Hasa wanunuaji na wauzaji wa vitu vya Bei rahisi kutoka kwa panya road.
Misiba ya yule dalali na yule jamaa wa TV na simu used, umetoa taswira kamili tuna wafanyabiashara wenye mzunguko wa namna gani.

3. Panya road wenyewe,
Hawa wanatamani operation isimame Maana Hali ishakua tete kwa wenzao.
Kuna kijana namfahamu anayo historia ya uhalifu, keshafungwa Mara 2 anarudi uraiani. Namuona analalamikia sana Hii operation na humu jf keshafungua na Uzi kabisa.

Nilichomshauri Ni akae tu kimya polisi wafanye kazi yao, vinginevyo kwausalama wake ahamie tu mkoani maana hata akitajwa Hakuna atakaemtetea kua kaonewa Kwasababu tayar historia ya uhalifu anayo na jamii nzima inalijua hilo.

Vinginevyo Akishupaza shingo,
Tutazika tu Kama tulivozika wenzake kina gala nakoz, dully kibesi na wenzie

PONGEZI NYINGI KWA JESHI LETU LA POLISI, Nasema hivi..... Kazi iendelee
Dah mwanangu DeepPond mimi nashindwa nisifu au nilaumu maana ninaye ankoli wangu yeye hao vijana wamemjuruhi vibaya ila ninaye ndugu yangu naye ni panya roads hivi naandika hapa anapigapiga simu kwa walio mkoani wampe hifadhi ila acha serikali ipige kazi.
 
Jana na juz nilikua temeke
Aisee Misiba ya Watu wanaodhaniwa kua Ni panyaroad ni mingi mno,
Kwa Watu nnaowajua ni zaid ya 18.

Kwenye hiyo misiba Kuna wanaolalamika,wanaoumia na wengine wanasifu kazi nzur ya jeshi la polisi.

NILICHOGUNDUA,
-kwa Dar, Temeke ndio kitovu Cha uhalifu na wahalifu. Temeke Ina wezi,vibaka na majambazi ya kila Aina.
Hivi Hakuna Lastborn kwenu,,
 
Dah mwanangu DeepPond mimi nashindwa nisifu au nilaumu maana ninaye ankoli wangu yeye hao vijana wamemjuruhi vibaya ila ninaye ndugu yangu naye ni panya roads hivi naandika hapa anapigapiga simu kwa walio mkoani wampe hifadhi ila acha serikali ipige kazi.
Kabisa,
Acha serikali ifanye kazi Yake
Kebehi,lawama na dharau zilizidi sana
 
Back
Top Bottom