kikokotoo kipya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 441
- 489
Walioko uraiani miaka yote hawajawahi kuona utofauti wa moto na moshi ndio maana hata wewe upo mtandaoni,kwasababu kuna tofauti kubwa kati ya watu wa uraiani na mtandaoni.Asilimia 20,ya watanzania ndo walikubali mfumo wa vyama vingi.Ingekuwa enzi hizo hao 20 asilimia ndo wangeitwa wapiga kelele.Hakuna Moshi. Hakuna moto.
Kilichopo ni kelele za mitandaoni tu.
Uraiani watu wapo kawaida tu wakiendelea na mishe mishe zao.
View attachment 995933
Hayo unasema wewe. Mimi nimesema nguvu kubwa.Unataka kuniambia kuna kikundi cha watu walio nyuma ya mwenyekiti wako wa chama?
Maana maangizo yote yanatoka mamlaka ya juu.... Huyu Assad ataondolewa na atateuliwa kafiri...
Msemo huu siyo sahihi! Kuna aina nyingi za moshi zisizoambatana na moto.Pasipo na moto hapana moshi.
Wewe ni kenge, kusikia mpaka damu imtoke puani, ndio atajua kuwa anapigwa!Hakuna Moshi. Hakuna moto.
Kilichopo ni kelele za mitandaoni tu.
Uraiani watu wapo kawaida tu wakiendelea na mishe mishe zao.
View attachment 995933
Kweli Mungu yupo, hata huyu faiza ?Taratiiibuu tumeanza kuelewana. Naona hata wewe FaizaFoxy unaelewa sasa.
Ajabu ni kwamba moshi wenyewe awamu ya 4 haukuonekana au kama ulikuwepo post kama hizi hazikubandikwa!Pasipo na moto hapana moshi.
Je, kuna moto unawaka chini kwa chini Tanzania? Maana moshi kila sehemu.
Cha kujiuliza ni kutafakari, huu moshi unaofuka kila sehemu ni wa mazingaombwe tu na hakuna moto au kuna moto kweli uliowaka au uliowashwa lakini zimamoto yetu haiuoni au tunaoamini kuwa ndiyo zimamoto wetu shupavu wao ndiyo wapepeaji wa huo moto?
Moto upi? Unawaka wapi? Utamuunguza nani na nini? Unaweza kuzimika? Au tunaweza kuuzima wenyewe? Au tunahitaji msaada wa kuuzima huu moto?
Wewe unauona huo moshi? Au tayari unauona moto?
Msema kweli ni mpenzi wa MunguCAG ana siri nzito
Special audit report kuhusu matumizi ya trilioni 1.5 ambayo Spika ameikalia kwa mujibu wa Zitto, inaweza ikawa ni tone tu katika bahari.
Subirini ripoti ya CAG ya 2017/2018 hii inaweza kuwa ni atomic bomb lenye madhara kama lille la Hiroshima nchini Japan.
Naomba CAG akomae na asitetereke katika hii vita.
Unazani hata kama mambo hayaendi sawa. Maisha ndo yatasimama?.. "A man brags over his own penis however Small" Watu wanapambana hivyo hivyo kibishi kubeba ma billion kutoka katika mzunguko ukaya dump sehem moja tena isiyolipa.kwa wakati lazima mambo yayumbe ## POVU#Hakuna Moshi. Hakuna moto.
Kilichopo ni kelele za mitandaoni tu.
Uraiani watu wapo kawaida tu wakiendelea na mishe mishe zao.
View attachment 995933
Buku saba tu inakutoa ufahamu kiasi hiki!!!!Nadhani critics wa Dkt Magufuli mzoee kwa sababu theoretically mmeshindwa kumyumbisha ndani ya miaka 3 (2016, 2017, na 2018) basi msahau kabisa kamwe hamtamyumbisha. Mtapata tabu sana mpaka 2025, na mrithi wake atakuwa zaidi ya yeye, ushauri labda mhame nchi au msage sumu mnywe mfe! Hakuna cha moshi wala moto, watanzania hatutishwi, tupo pamoja na tuna mpenda rais wetu ile kinoma! Wajahidina kama alshababu hawana nafasi ktk Tanzania, ila waislamu wa kweli tunatembeleana na kula daku kipindi cha mfungo na kwa resima.
Pasipo na moto hapana moshi.
Je, kuna moto unawaka chini kwa chini Tanzania? Maana moshi kila sehemu.
Cha kujiuliza ni kutafakari, huu moshi unaofuka kila sehemu ni wa mazingaombwe tu na hakuna moto au kuna moto kweli uliowaka au uliowashwa lakini zimamoto yetu haiuoni au tunaoamini kuwa ndiyo zimamoto wetu shupavu wao ndiyo wapepeaji wa huo moto?
Moto upi? Unawaka wapi? Utamuunguza nani na nini? Unaweza kuzimika? Au tunaweza kuuzima wenyewe? Au tunahitaji msaada wa kuuzima huu moto?
Wewe unauona huo moshi? Au tayari unauona moto?
Umekunywa maji ya bendera ya kijani na njanohamna Moshi wala nini
Braza,Hakuna Moshi. Hakuna moto.
Kilichopo ni kelele za mitandaoni tu.
Uraiani watu wapo kawaida tu wakiendelea na mishe mishe zao.
View attachment 995933
Braza,
Unatoa picha ya Fremu zimefungwa kwa kukosa wapangaji kisha unasema hakuna moshi, hakuna moto, mitaan watu wanaendelea na shughuli zao?
Kwa namna ulivyoificha habari yenyewe, UMETOA NAFASI KUBWA SANA YA WATU KUSINGIZIANA, KUTOKA NJE YA ULICHODHAMILIA, KUWEKA HISIA ZA MTU BINAFSI BADALA YA ULICHOKIDHAMILIA... weka wazi zaidi ili wachangiaji wajikite kwenye ulilolidhsmiliaPasipo na moto hapana moshi.
Je, kuna moto unawaka chini kwa chini Tanzania? Maana moshi kila sehemu.
Cha kujiuliza ni kutafakari, huu moshi unaofuka kila sehemu ni wa mazingaombwe tu na hakuna moto au kuna moto kweli uliowaka au uliowashwa lakini zimamoto yetu haiuoni au tunaoamini kuwa ndiyo zimamoto wetu shupavu wao ndiyo wapepeaji wa huo moto?
Moto upi? Unawaka wapi? Utamuunguza nani na nini? Unaweza kuzimika? Au tunaweza kuuzima wenyewe? Au tunahitaji msaada wa kuuzima huu moto?
Wewe unauona huo moshi? Au tayari unauona moto?
Kwani, kwa kuzitazama hizo fremu, na muda ambao picha imepigwa, unadhaniUmehitimisha visivyo!
Fremu hazijafungwa kwa kukosa wapangaji.
Hizo fremu huwa hazipo wazi masaa 24.
Au kila biashara bongo iko wazi masaa 24?
Matusi hayo.
Nioneshe andiko langu ambao lilikufanya uone si mkweli.
Punguani wahed.
Fikiri useme moto unaouona wewe uko wapi na chanzo chake nini.Kwa namna ulivyoificha habari yenyewe, UMETOA NAFASI KUBWA SANA YA WATU KUSINGIZIANA, KUTOKA NJE YA ULICHODHAMILIA, KUWEKA HISIA ZA MTU BINAFSI BADALA YA ULICHOKIDHAMILIA... weka wazi zaidi ili wachangiaji wajikite kwenye ulilolidhsmilia