Panapofuka moshi panaficha moto...

Uwake tu huo moto kieleweke
 
Utamuunguza alieuwasha
 
Mara nyingi tumekuwa tukiwatahadharisha kwamba huyu "malaika" wenu anayejipachika sifa za uungu na kutaka kuombewa kila uchwao, hana dhamira ya dhati kama ajipambanuavyo zaidi huyu ni mtu wa chuki na mbinafsi kwa watu wake maalum.


Uzuri Mungu tunayemuani amedhihirisha rangi zake halisi.


Sasa endeleeni kumpamba na kuimba Yale mapambio ya sifa.
 
Muislamu akitaka kuchinja ngamia anaingia kwenye zizi la ngamia anachagua Ngamia aliyegeuzia kichwa kibra ndio anaemchinja c c m tangu 2015 iligeuzia kichwa kibra ugomvi wa nani achinje ndiye mlimpata toka mirembe badala ya maustaadh wasiokubali kula kibudu
 
Ramli: Ripoti ya cag, ziara za TAL ulaya, kuunga mkono juhudi za mshuwa, korosho,midege, udom mosque ,.....
 
Nadhani critics wa Dkt Magufuli mzoee kwa sababu theoretically mmeshindwa kumyumbisha ndani ya miaka 3 (2016, 2017, na 2018) basi msahau kabisa kamwe hamtamyumbisha. Mtapata tabu sana mpaka 2025, na mrithi wake atakuwa zaidi ya yeye, ushauri labda mhame nchi au msage sumu mnywe mfe! Hakuna cha moshi wala moto, watanzania hatutishwi, tupo pamoja na tuna mpenda rais wetu ile kinoma! Wajahidina kama alshababu hawana nafasi ktk Tanzania, ila waislamu wa kweli tunatembeleana na kula daku kipindi cha mfungo na kwa resima.
 
Kama sio Kikwete, Dau, Mlawa basi FaizaFoxy atakuwa anamtetea Assad! Kwake hao wakiguswa ndio moto/moshi unawaka/kufukuta!
 
Ukienda nchi kama Marekani kuna moshi unafuka kila sehemu mtaani . Sijawahi uliza ule moshi huwa ni wa moto ama hewa tu inapumuo kutoka under ground turnell.
 
Ukienda nchi kama Marekani kuna moshi unafuka kila sehemu mtaani . Sijawahi uliza ule moshi huwa ni wa moto ama hewa tu inapumuo kutoka under ground turnell.
turnell = tunnel

ungechukuwa muda kidogo kuuliza kama nifanyavyo mimi hapa ungeelewa ule ni moshi wa nini, bahati mbaya hujauliza. Je, kwa kuwa wewe hujauliza, nasi tusiulize?
 
Haya mafumbo.. Vepe funguka aisee mimi ladda kuisoma. Namba ndo moto nao uone wewe je maana hali mbaya mfukoni. Kila. Kukicha.

{Karibu tembelea, subscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
 
Sioni kama unazimika, mpaka uondoke na mtu huu.

Anayeuwasha ndiye mwenye uwezo wa kuuzima, ila anasubiri mpaka umwondoe adui ndo auzime. Ingawa moto hautabiliki, unaweza kumwunguza hata asiye mlengwa na uharibifu ukawa mkubwa.
Nani huyo mkuu funguka aisee

{Karibu tembelea, subscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
 
Hata mtu kusema ATONGOZWE ni sawa na moshi unamaanisha kuna moto yaani nyege.
 
turnell = tunnel

ungechukuwa muda kidogo kuuliza kama nifanyavyo mimi hapa ungeelewa ule ni moshi wa nini, bahati mbaya hujauliza. Je, kwa kuwa wewe hujauliza, nasi tusiulize?
Asante kwa masahihisho. Simu zinafanya auto correction.

Kuuliza uliza tu, ila nasi tunakupatia majibu kwamba sio kila moshi unamadhara. Moshi mwingine ni kama huo niliokwambia. Moshi mwingine ni kwa ajili ya moto wa kikome kwa ajili ya baridi.

FaizaFoxy nisamehe kwa kiswahili changu ni cha kabila langu. Tehetehe
 
Mtu si tatizo, tatizo ni nguvu iliyo nyuma ya mtu.

Sidhani kama unalielewa hilo.
Unataka kuniambia kuna kikundi cha watu walio nyuma ya mwenyekiti wako wa chama?

Maana maangizo yote yanatoka mamlaka ya juu.... Huyu Assad ataondolewa na atateuliwa kafiri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…