Pamoja na yote, Dr. Slaa bado Atatinga Bungeni soon! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pamoja na yote, Dr. Slaa bado Atatinga Bungeni soon!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pascal Mayalla, Nov 3, 2010.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,531
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,
  Pamoja na mimi kukubali sio Sheikh Yahya, lakini Dr. Slaa ataingia bungeni hivi karibuni kwa njia mbili kuu.

  1. Kuteuliwa na JK.
  Pamoja na JK kuwa ni mtu wa visasi, lakini waungwana watamshauri amteue Dr. Slaa katika zile nafasi zake kumi za uteuzi kama alivyofanya Hamad Rashid, na juzi juzi kwa Ismail Jussa. The only argument itakamfanya msimteue ni kuwa Dr. Slaa ni shoka, shoka kweli, au upanga wa makali kuwili, kwa vile alikuwa mwimba mchungu kwa serikali ya CCM akiwa na Zitto, tuu, sasa kaongeza nguvu ya kina Freeman, JJ.Mnyika na Tundu Lissu na hao wengine kibao akiwemo, Sugu, hivyo akijiunga na timu hiyo, huo moto wao bungeni nani ataweza kuuzima, itakuwa ndio kujimba kabisa kaburi la CCM, 2015!

  2. Kuteuliwa na Mungu!.
  Wale wapenda mema wote na wapenda mageuzi na demokrasia ya kweli ndani ya bunge, wangependa kumuona Dr. Slaa akirudi bungeni, this time akiwa ndie Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali na na Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni. Hivyo sala zao zitasikiliza na Mungu baba atafanya mambo yake muda sii mrefu, Dr atarejea bungeni kama mbunge wa kuchaguliwa kupitia jimbo jingine lolote litakalobaki wazi muda sii mrefu kutoka sasa!.
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Hivi si anaweza kugombea uspika wa bunge pia? Au haya majangili ya CCM hayatampa kura zao...
   
 3. a

  arasululu Senior Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asilimia kubwa ya watanzania wangependa sana kumuona slaa akirudi tena bungeni.ila kamwe JK hatojaribu wala hata kufiria kumteua huyo shujaa eti arudi abungeni tena akaendelee kumvua nguo. hapo ndo pabaya kwamba kisiasa silaa atunaye tena. ila naamini lazima kwa hawa mashujaa wapya wanaoingia atatokea tu mmoja kama cyo wote wa kumrithi DK wa ukweli. MUNGU bariki SLAA,MUNGU bariki CHADEMA.MUNGU bariki TANZANIA.
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Slaa asiludi bungeni inahitajika akae pembeni na kuimalisha chama kwa ajili ya 2015!
   
 5. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Dr. Slaa alisema angekuwa Rais wa kipindi kimoja ili kuwapa nafasi wengine, I believe anajua umri wake na busara zake hazimtruhusu kwa jinsi alivyojipima.

  Kwa maoni yangu Dr. Slaa hatagombea 2015. Hata hivyo kama alivyosema yeye hata akikosa Urais huu, bado atawatumikia Wananchi kama katibu wa Chama.

  Chadema wanapaswa sasa kukifumua chama na kuunda Nguvu ya Umma kiuhalisia. Hata CCM wenyewe (Walalahoi) wamechoka ila hawajui wapi waanzie kutoka kwa kuwa Chadema bado haina mfumo madhubuti wa kuwafikia na kuwapokea.

  Kaeni chini CHADEMA, back to the drawing board. 2015 nina uhakika mtachukua Nchi kama mwalimu alivyowatabiria after 20 years.

  Hata hivyo kama akipenda, kila wananchi watatamani awe mbunge wao pale jimbo litakapokuwa wazi ama kwa amri ya mahakama, ama NEC kutaka uchaguzi urudiwe, ama jimbo kubaki wazi kwa sababu zozote za kisheria nk.
   
 6. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,666
  Likes Received: 21,890
  Trophy Points: 280
  Uspika haumfai Doctor kwa kuwa hatakuwa huru sana kumwanga vimbwanga vya uhakika maana yeye atakuwa ndio bosi mjengoni
   
 7. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ngoja tusubiri
   
 8. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Ni kjipangwa kwa 2015, imarisheni chama, watu wanaimani na chadema sasa
   
 9. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Naona unaaza kufikiria kutoka tumboni na siyo kichwani kaka/ dada.
  Ngoma bado mbichi kabisa hapa.
  tulimchagua urais na si ubunge wewe kalumekenge
   
 10. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  This is the only credible solution. Awe huru kuimarisha chama na kuwaanda vijana wa next election........
   
 11. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #11
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,621
  Likes Received: 4,725
  Trophy Points: 280
  Kwa vile JK ni kichwa cha panzi kamwe hatapenda mtu mwenye upeo kama wa Dr wa ukweli Wilbrod Slaa awe bungeni kwani yeye na serikali yake ya vilaza hawana uwezo kujibu hoja zilizokwenda shule za Dr Slaa.
   
 12. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #12
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  duh! watu wengine mnanifurahishaga na macomment yenu jamani!
   
 13. Kiungani

  Kiungani JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2010
  Joined: Feb 2, 2007
  Messages: 274
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Pasco, JK hakumteua Hamad Mohamed Rashid. Mkapa ndiyo alifanya hivyo mwaka 2000 kutokana na uswahiba wao wa siku nyingi. 2005 Hamad Rashid alishinda Wawi - CUF.

  JK alimteua Ismail Jussa ukingoni mwa bunge lililopita kwa ushauri wa January (rafiki yake Jussa) kama zawadi kwa jitihada zake Jussa za kuleta muafaka Z'bar.

  Hakuna mpinzani atakayepewa kiti teule na JK kwa sura yo yote ile, haswa haswa Slaa, ambaye kwanza hawezi kukiri JK ni 'mtukufu'.
   
 14. I

  Ibnabdillahi Member

  #14
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kweli Slaa kakomaa kisiasa hangethubutu kumnadi Kikwete kama gaidi na kuwakose heshma hata wazazi wake,Muungwana akiudhiwa hutabasamu,huyu ndio kiongozi,sio Slaa kutabasam hana ila majungu na fitna tu,je siasa nikutuka wazazi wamwenzako? Slaa atakuwa shoka kwa Hawara wake aliyemnadi Dar wakti wa kampeni,eti mapadri hawaoi vip Slaa kapata Hawara then akatuchafulie Ikulu na Hawara,mmh
   
 15. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #15
  Nov 3, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,382
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  No Dr Slaa sasa acheze majukwaani tu, tunamshukuru ametengeneza akina 'Slaa' wengine wengi wanaoweza kufanya makubwa bungeni. Yeye sasa asaidie kutengeneza upinzani wa kweli. Na bila kusahau kuwa hatakiwi kukubali matokeo haya, ikimaanisha kuwa raisi atakayetangazwa hatutamtambua.
   
 16. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #16
  Nov 3, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,382
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Unajua shida yako ni unafiki. Dr Slaa amelelwa kutaja kitu halisi bila kuzunguka. Koleo ni lazima liitwe koleo, na sio kuliita kijiko kikubwa. JK ni fisadi na gaidi, hakuna lugha nyingine ya kumuelezea hivyo ndivyo alivyo. Sasa ulitaka asemeje? Kuwa JK ni mzuri, anatabasamu zuri? sio Chadema Bwana, hayo fanyeni nyie ccm.
   
 17. F

  Ferds JF-Expert Member

  #17
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Humu ndani ya forum wengine ni wehu, eti slaa awe spika, spika lazime awe mwanasheria kaka, theology na uspika wapi na where? sisi sote humu tulifanikiwa kufukuza wanaccm ktk forum leo mwanamapinduzi kashinda wanarudi eti matusi, na walioita wenzao kokoto hawaku2kana? African politics are in a form of adversarial men ndio maana wanatumia kila mbinu ikiwa kuwekana uchi ili washinde, lakini tuwe macho bila yale matusi usemakweli leo tungekuwa na jimbo la temeke, kweli akili nyingi huondoa maarifa
   
 18. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #18
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,531
  Trophy Points: 280
  Ferds, huna haja ya kutukana watu wehu, kuwa spika sio lazima uwe mwanasheria, Chifu Adam Sapi Mkwawa hakuwa mwanasheria, Pius Msekwa hakuwa mwanasheria, Getrude Mongela wa Spika wa Bunge la Afrika, sio mwanasheria na Abrahman Kinana, aliyekuwa spika wa Bunge la Afrika Mashariki, ambaye ndio anayekuja kuwa spika wa sasa, sio mwanasheria, imetokea tuu kwa spika Stta ndiye mwanasheria.
   
 19. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #19
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Nadhani Slaa agombee uenyekiti wa chama chake ili aweze kujenga kwenye msingi uliowekwa kwenye uchaguzi huu. Bungeni si mahala pake.

  Amandla........
   
 20. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #20
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Hayo ya Padri, Hawara n.k. yametoka wapi? Hapa si pako naona umepotea njia.Usidanganyike na wenzako mlioingia juzi kwa ajili ya uchaguzi. Ninajifariji kuwa mtapotea hivi karibuni maana uwezo wa kuchangia la maana nje ya kebehi za kisiasa hamna.

  Amandla.....
   
Loading...