Pamoja na umri mkubwa mwenzenu mteja

madala mujipa

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
1,417
860
Salaam wana jukwaa
Jamani mwenzenu nina tatizo linalonisumbua ni zaidi ya mteja wa unga na hili tatizo limeshaniletea matatizo na aibu kama mara kibao mpaka nyumbani na mke wangu

Mimi uteja wangu ni kunusa chupi za kike yaani ,nikiingia uwani kwa mtu nafanya mbinu yeyote mpaka nitoke nayo au niinuse palepale juu ya kamba kuna siku balaa lilinikuta nikaitia mfuko wa nyuma ghalfa nikasikia mwenyewe anauliza nikajaribu kutoka mle ndani kwa kasi

Nikamsikia kuna mama alikuwa amekaa ukumbini akisema wee baba huo mfuko wa nyuma kuna chupi inaning'inia nikairudisha kwa aibu wakaapa kwa tabia niliofanya wanaenda mwambia mke wangu niliomba msamaha wakaridhia,kule nyumbani kuna sehemu nimeziweka kama sitoki kuna siku wife ameamua kufanya usafi sehemu zote ghafla anaikuta rasketi nzima imejaa chupi akaniuliza haya mwenzetu na hii biashara ya chupi umeanza lini aibu nilijibalaguza kuwa kuna jamaa yangu ndio alikuja kuzihifadhi pale ili siku ya pili aende akauze lakini sijamuona karibuni wiki

Sasa ndugu zanguni aibu ni nyingi na kila nikijaribu kuacha siwezi
Na mimi nataka kutoka kwenye hili janga
 
haki ya nani hii dunia usipukua na furaha ,ni umeamua mwenyewe, Hiv wale waliosemaga Tanzania watu wake hawana furaha n walifanya utafti wapi? mm nahc waliishia kwa wanasiasa na matajiri, ila sisi huku chini n full maraha haina haja ya ze comedy
 
Back
Top Bottom