Pamoja na umaarufu alio nao Alikiba kwa nini Bado Maskini na Diamond platnumz ni mwanamuziki tajiri?

Mi nachojua hata kama hupendi show off pesa haijifichi, hivi msanii maarufu anaweza akajenga nyumba ya maana watu wasiijue? At least hao kina Dewji wanaweza wakaficha maana sio watu wanaofatiliwa kama watu wa entertainment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona watu hawajibu hoja sasa

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Mtoa mada kamwaga nondo kibao za mafanikio ya Diamond , wewe umeona Karanga tuu, haya basi tufanye hizo Karanga sio zake , je na hayo maendeleo mengine ? Kiba ni mwanamziki mzuri sana lakini kwa kipindi hiki awezi kumfikia Diamond kimafanikio kutokana na mziki.tusimkumbatie Kiba hili kumkomoa Diamond , kiba anatakiwa akaangwe na aambiwe ukweli , anataka sifa au mafanikio basi ajitume haswa kama mwenzake Diamond. Mifano inaonekana tuu Show za Diamond popote pale akipiga , jamaa anajituma sana , sio yeye tuu hata timu yake nzima , yaani wapo kikazi zaidi na wanachukulia mziki ndio kazi yao , kuanzia madansa , walinzi, wapiga picha, meneja wake , kifupi Diamond msingi wake wa kiendeleo kutokana na mziki aliushaupanga vizuri, Kiba ajitahidi pia kujenga msingi wake vizuri atafika mbali.
Mkuu watasema na nyumba sio yake
 
Mkuu hvi siku hizi watu wakienda kushoot video marekani huenda na magari yao??
f4dcea75fc9ad7aeddd0cbf966291e03.jpg


Hebu fafanua umiliki wa diamond kwenye hii gari
Kuna wajinga na wapumbavu wanaamini hii ndinga ya Mond
 
Mi nachojua hata kama hupendi show off pesa haijifichi, hivi msanii maarufu anaweza akajenga nyumba ya maana watu wasiijue? At least hao kina Dewji wanaweza wakaficha maana sio watu wanaofatiliwa kama watu wa entertainment

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pesa haijifichi kabisa maana hata billget ana pesa lakini hana show off ila utajiri wake ameshindwa kuuficha na dunia nzima inajua jamaa ana utajiri wa 90 billion doller yaani utajiri ni kaka maziwa kwa wadada hayajifichi
 
Haya mambo Ndiyo Yale yale ya kushow off , huyo kiba kauza sana wimbo wake wa aje mwaka Jana kwenye mitandao na hasa audio, kaingiza pesa nzur mkataba wake na sonny , show zake za nje ulaya na marekani, juz juzi tu kapiga pesa ndefu sana huko kenya kwenye kampeni za akina odinga hasa Mombasa ( gavana joho )

Ukija kwenye video ( account za VEVO msaan kule analipwa kwa view zake ) ishu hapa ni mmoja anapenda kujionesha na mwingine ni kimya kimya hata kiba ana jumba lake la maana lipo pale tabata sema ni vile tu haongei , kampuni ya Rockstar ni yake sasa wanauza nyimbo na ishu zote za entertainment Africa lakin hujawahi kusikia akijisifu hata siku moja

Mfano mzuri wasaani wenye pesa ndefu afu wapo simple tu

Yupo A.y huyu ana pesa ( na ndiyo mtu wa kwanza kumtengenezea connection mond na akina davido ) huyu anamilik kipind cha mikasi na ana project zingine lakin huoni akijisifu hata siku moja

Mwisho niseme wote ni vijana na ni wapambanaji ila kila mtu na makuzi yake na tabia yake ya matumiz ya pesa

Wengine kwetu ni somo kuwa upate pesa upige kelele na show off au ukae kimya tu

Sent using Jamii Forums mobile app
asante kwa comment yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanini mashabiki wa diamond mnatafuta kufananisha mtu asiye wa level ya diamond?

kiba hampati hata kidogo diamond si kimziki wala kifedha, nyie sahauni na mlale usingizi wa amani na msiweweseke

huyo diamond wenu mfananisheni na kina davido na wizkid na wenzao wa nigeria huko hapa simba hana wa kufananisha naye. muwe na amani kabisa....hahahahaaaa
 
Kwasabab alikiba anatumia uchawi sana..skutegemea nyimbo mbaya kias hiki ipendwe na watu waishobokee namna hii,had nmehis muzik sasa wa bongo ni matumiz ya majin..na ndomana watu wameuchoka a minute after 3days toka siku ulivotoka,..nguv za giza na kimambi vilimsaidia..
Mkuu umeyajuaje haya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom