eti diamond na kina wizkid na kina davido.kwanini mashabiki wa diamond mnatafuta kufananisha mtu asiye wa level ya diamond?
kiba hampati hata kidogo diamond si kimziki wala kifedha, nyie sahauni na mlale usingizi wa amani na msiweweseke
huyo diamond wenu mfananisheni na kina davido na wizkid na wenzao wa nigeria huko hapa simba hana wa kufananisha naye. muwe na amani kabisa....hahahahaaaa
Hahahaha na bei umeona umuwekee kabisa watu wajue dahDiamond Ana X 6 na V8
Kibakuli ana X 5 used (27 million)
Diamond alipaswa awe na bifu na Davido siyo huyo muimba kwaya wa Kariakoo.
watu wachokoziSijui ana rekodi gani asee wakati anazidiwa kila idara aseee.
Anamekimbizwa kila sehemu.Huko utube mondi ana nyimbo ina viewer hadi 31M wakati huyo wanaemjaza ujinga hajawahi fikisha hata watu 15M kwa kazi zake ZOTE za muziki.Siku sio nyingi utaskia mtu anaimba USINISEME KAMA NAPENDA KULA
KabisaHuo ni ukweli mchungu mashabiki wa alikiba hawapendi kuusikia
ushauri wa bure
Hahahaha na bei umeona umuwekee kabisa watu wajue dah
ndo wanachotaka maana wanasema kiba si wa level yao na wamebandika majumba,magari na makorokoro ya bwana wao sasa sisi tufanyeje?eti diamond na kina wizkid na kina davido.
Au sababu wote wanavaa suruali???
ndo wanachotaka maana wanasema kiba si wa level yao na wamebandika majumba,magari na makorokoro ya bwana wao sasa sisi tufanyeje?
Uwiiiiiiiiii hhhhmwenyewe unaishi kwenu.kaz udaku tu jf. kama ana maendelea mwombe akuoe ili ufaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh watu kwa kufukunyua mpo vizuri
Nyumba aliyokuwa amepanga ya kunduchi hiyo kipindi alipovamiwa wezi wakaishiwa kuvunja tu na hawakuchukua chochote
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazi ni janga tz kwa sasa,royce nayo mapimbi wameiweka ktk orodha ni gari ya diamond.ndo wanachotaka maana wanasema kiba si wa level yao na wamebandika majumba,magari na makorokoro ya bwana wao sasa sisi tufanyeje?
We acha tu, sijui kinachowakosesha usingizi ni nini wakati bwana wao washamtangaza hana mpinzani bongoUnazi ni janga tz kwa sasa,royce nayo mapimbi wameiweka ktk orodha ni gari ya diamond.
Alikiba anapambanishwa na Diamond kimuziki na siyo maisha binafsi,hata hapo hujaelewa mkuu???We unaonekana ni team kiba kwa hio comment...Mi nasimamaga kwenye ukweli tu always, sina upande!
Haya mambo Ndiyo Yale yale ya kushow off , huyo kiba kauza sana wimbo wake wa aje mwaka Jana kwenye mitandao na hasa audio, kaingiza pesa nzur mkataba wake na sonny , show zake za nje ulaya na marekani, juz juzi tu kapiga pesa ndefu sana huko kenya kwenye kampeni za akina odinga hasa Mombasa ( gavana joho )
Ukija kwenye video ( account za VEVO msaan kule analipwa kwa view zake ) ishu hapa ni mmoja anapenda kujionesha na mwingine ni kimya kimya hata kiba ana jumba lake la maana lipo pale tabata sema ni vile tu haongei , kampuni ya Rockstar ni yake sasa wanauza nyimbo na ishu zote za entertainment Africa lakin hujawahi kusikia akijisifu hata siku moja
Mfano mzuri wasaani wenye pesa ndefu afu wapo simple tu
Yupo A.y huyu ana pesa ( na ndiyo mtu wa kwanza kumtengenezea connection mond na akina davido ) huyu anamilik kipind cha mikasi na ana project zingine lakin huoni akijisifu hata siku moja
Mwisho niseme wote ni vijana na ni wapambanaji ila kila mtu na makuzi yake na tabia yake ya matumiz ya pesa
Wengine kwetu ni somo kuwa upate pesa upige kelele na show off au ukae kimya tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mziki mzuri usio na maisha mazuri yaani ukitoa kazi nzuri ni lazima upate utajiri kwani kazi yako itanunuliwa na watu watalipa kiingilio kikubwa kwenye show zako ili waangalie kazi yaki nzuri ukiona unatoa ngoma alafu unazidi kuwa masikini jua nyimbo zako hazikulipi na ni mbovu hhhhhAlikiba anapambanishwa na Diamond kimuziki na siyo maisha binafsi,hata hapo hujaelewa mkuu???
Sent using Jamii Forums mobile app
na kama ameamua kununua hicho kiwanda?..,nashukuru wazaz wang kwa knipeleka shuleNani Kakuambia Diamond Karanga Ni Za Domo?? Huyo Domo Kapewa Kazi Ya Kupromote Soko Tu Kumbuka Hizo Karanga Zilikuwepo Toka Mwaka Juzi Na Zilikuwa Za Rangi Ya Blue
AiseeUnazi ni janga tz kwa sasa,royce nayo mapimbi wameiweka ktk orodha ni gari ya diamond.