Simkubali Chenge kwa matendo yake na jeuri, ana taaluma nzuri na yuko smart "intelligent" lakini kama tukitukia taaluma zetu vibaya tutaliangamiza taifa, watoto na wajukuu zetu tutawaambia nini? Kumbukeni ishu zote chafu za pesa huyu braza lazima awepo nyuma, why, why, why