andrew chenge

Andrew John Chenge (born 24 December 1947) is a Tanzanian CCM politician and Former Member of Parliament for Bariadi West constituency from 2005 to 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Yuko wapi Andrew Chenge Mzee wa Vijisenti?

    Wanajamvi ni swali tu sijamuona muda mrefu mwanasheria nguli huyu si sehemu za furaha au misiba haonekani Anajua alipo atujuze.
  2. Uponyaji na uzima

    Yupo wapi Andrew Chenge?

    Sijamsikia siku za hivi karibuni huyu mbunge, mwanasheria mkuu na mwenyekiti wa bunge mstaafu. Kwakweli nakuwa nervous kiasi maana huyu akikaa kimya basi ujue kuna kinachoendelea huko. Kipindi hiki watu wanarudi zao tutashangaa tu tushapigwa tukio.
  3. The Khoisan

    CCM wakimpitisha Chenge kuwania Uspika, nitaamini kuwa Watanzania hatuko serious

    Kuna minong'ono kwenye jukwaa letu kuwa jina Mtemi Chenge ndilo liko likely kupendekezwa na chama. Kama hii itatokea kwa kweli nitaamini kuwa kama Taifa hatuko serious. Change ana tuhuma kadhaa huko nyuma za ubadhirifu na ufisadi. Ilifikia mpaka kwa kiburi najeuri kudai wazi wazi kuwa zile pesa...
  4. J

    Ni Mtemi Chenge Vs Dkt. Tulia kuwania Uspika wa Bunge la Tanzania

    Ndivyo ilivyo hadi sasa na haya majina mawili ndio yanaipasua kichwa Kamati Kuu ya CCM. Kwa pamoja tuiombee CCM jamani bila kujali itikadi zetu. Mungu wa mbinguni awabariki sana!
  5. Ritz

    Lema, kama hautaki Chenge awe Spika CHADEMA wenzako wanamtaka, acha kuwaburuza

    Wanaukumbi. Msigwa alipigwa mkwara na Lema “Futa” lilivyo anamuogopa Lema kuhofia kufukuzwa Chadema naye akafute post yake Lema, kila siku unapiga kelele kwenye kijiwe chenu cha Space unataka watu wawe huru kisha wewe huyo huyo unataka watu wafuate fikra zako. Bw. Andrew John Chenge aliyekuwa...
  6. S

    Kutokana na support anayoipata, Andrew Chenge anaweza kuwa ni Spika ajae na hii itathibitisha CHADEMA walikuwa sahihi kumteua Lowassa kuwa mgombea wao

    Japo mini sio kiongozi ndani ya CHADEMA zaidi tu ya kuwa mshabiki wa hiki chama, ninaamini mwaka 2015 CHADEMA walimptisha Lowassa kuwa mgombea wao baada ya kusoma mood ya watanzania na kuwapa kile wanachokitaka. Ninahakika walikuwa sahihi katika maamuzi yao kwani kilichotokea katika kampeni na...
  7. Erythrocyte

    Andrew Chenge achukua fomu ya kugombea Uspika. Fahamu kuhusu wasifu wake

    Habari ndio kama mnavyoisikia ndugu zangu, mzee wa vijisenti ambaye inasemekana ana akili nyingi kuliko wagombea wengine wote waliokwishachukua fomu, leo tarehe 12/01/2022 amejitosa kwenye kinyang'anyiro hicho. WASIFU KUZALIWA - Mbobezi wa Sheria Barani Afrika na "Alumni" wa Chuo kikuu bora...
  8. ESCORT 1

    Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Kufuatia kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai leo hii, kiti cha Spika kipo wazi. Je nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge letu?
  9. seedfarm

    Je, Professor Lipumba na Andrew Chenge wametuangusha?

    Hawa ni Wasomi kutoka Stanford University na mungine Harvard University Prof Lipumba, Huyu ameishi Stanford University na Kufundisha hapo, Gharama za kusoma chuo hicho ni zaidi ya dollar za kimarekani 55,000 kwa mwaka mmoja sawa na pesa za kitanzania zaidi ya Milioni 120 kwa mwaka mmoja...
  10. Pascal Mayalla

    Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants

    Wanabodi, Natanguliza kwa kuomba msamaha kutumia maneno makali kwenye uzi huu, kwasababu kwa hapa nchi yetu ilipofika, labda kwa kutumia maneno makali kama haya, ndio yatasaidia tuweze kuelewana na kutubadilisha to change for the better!. Baadhi ya wananchi wa Tanzania ni ma ignorants, baadhi...
Back
Top Bottom