Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,300
Mkuu Pasco, uandishi wako ambao ni "full of sarcacism" unanikumbusha mwandishi mmoja wa west Africa anaitwa Armah Kweih aliandika riwaya ya "The Beatyfull Ones are not yet Born"!Issue ya Juma Thomas Zangira naikumbuka vizuri, bahati mbaya aligundulika kufanya uhaini, Mwalimu kumuita Malaya ni hasira dhidi ya uhaini huo, ila kama ni umalaya huo, tunao malalaya hao kibao, tena very high ranking officials you can never imagine!.
Bahati nzuri nimefanya kazi na wenzetu hawa (wazungu) ndani na nje!. Wenzetu wana kitu kinachoitwa "stake holders mapping", kila awamu mpya ikiingia madarakani, wanatayarisha chart ya "who is who" na kuanza ku take "a good care" ya who matters most!"
Kwa kukusaidia tuu, mpaka hii leo, miaka 50 ya uhuru, Tanzania hatufundishi hansard reportes, hansard reportes wote wanafundishiwa kwa "wenzetu", kikitokea kitu chochote kwenye bunge letu kinachowahusu, kile kipande cha "hansard hiyo" kinatangulia kufika "kule" kabla ya kumfikia mkuu wa hansard wa bunge letu!.
Wale mabosi wananene who matters most, wakiingia tuu madarakani, kitu cha kwanza ni kupewa "study tour" kwenye nchi za "wenzetu" wao na familia zao!, kwenye exotic places, 5 stars hotels, allowances nene!, watoto wao kutafutiwa shule huko hata kama ni vilaza!, fanya simple research watoto wa "the people" who matters wa nchi hii, wanasoma wapi, and why?!. Ni ma ignorants tuu kama sisi ndio tunajua kuwa tunafanyiwa "wema" na wenzetu hawa!, na kwa taarifa yako, tule tujisenti wanazo waingizia kwenye hizo kwenye hizo accounts zao za inje kwa kufanya u zangira, accounts hizo wanawafungulia wao, kule "Credit Sussie" kwa kutumia code names only, na hiyo code haiandikwi popote zaidi ya kichwani kwa mtoaji na mpewaji, hivyo hata bank manager hajui jina la account holder!.
Kama Chenge angekuwa ni mmoja wa "mazangira hawa!" Waingereza wasingemsumbua kivile kwa huyu angekuwa ni mtu muhimu kwao hata kama services zake hazihitajiki tena kwa sasa!.
Hii ndio central theme ya uzi wangu, u legal draftsman wa Chenge ni uwezo and has nothing to do with tuhuma za ufisadi wake!, kwa kuutambua uwezo huo, BMK likampa katiba yetu mpya tunayoipenda kuisimamia!, katiba hiyo imetoka na imeishapitishwa kwa kura za kutosha ndani ya BMK na pia tayari imeishakubaliwa na Watanzania walio wengi!, ile kura ya maoni ni kwa ajili tuu ya kukamilisha taratibu!, tukubali, tukatea, kwenye drafting, Chenge ni mtu muhimu sana!, amelisaidia taifa kupata katiba mpya!, sasa iwe ni "Katiba Bora" au ni "Bora Katiba" its immaterial, the bottom like ni "Watanzania Watapata Katiba!" ambayo imekuwa drafted na Chenge!, na draft yenyewe ilianzia CCM ndio wakaireplace ile draft ya Warioba!.
Nimesoma kidogo "graphology" hivyo ninauwezo wa kunote change of tone kwenye maandishi, hapo nilipo bold, hili nilijua linaweza kutokea kwa mimi kushutumiwa nimewatukana Watanzania ni ignorants, wabunge ni ignorants na wana jf ni ignorants!, hivyo sasa mnakasirika kuambiwa "ignorants!.
Kwenye dhana ya ignorance, naomba unisome tena huku umetulia!.
Pasco