Pamoja na mambo mengine Marekani imesikitishwa na ukandamizaji wa wakristo nchini Tanzania chini ya Samia

Pamoja na mambo mengine Marekani imesikitishwa na ukandamizaji wa wakristo nchini Tanzania chini ya Samia

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
8,550
Reaction score
20,344
GT
Marekani imesikitishwa na mambo mengi nchini Tanganyika. Moja ya jambo muhimu wanalosema ni ukandamizaji wa wazi wa dini ya kikristo.

Siyo siri wana taarifa zote namna samia navyojaribu kutumia uislamu kukandamiza haki na uhuru qa kujieleza nchini Tanzania.

Mauaji. Utekaji na utesaji ukiwalenga wakristo unaofanywa na Samia ni Tanzania tu kwa sasa hakuna sehemu yoyote duniani ujinga kama huu unaendelea na dunia nzima imeshamkataa

Alaaniwe samia.
20251204_223756.jpg
 
Nadhani hapa sana sana ni kumfungia jasusi la mbinguni, uvamizi wa kitima na baadhi ya mapadre waliotekwa na kurudishwa wakiwa hoi, tukaambiwa walikuwa kwa wapenzi wao na wana madeni mazito .
Habari zetu za udaku wanazipata 😃😀
 
Nadhani inatakiwa kukaa chini kwa Viongozi wetu wakuu waangalie walipojikwaa tumeharibu taswira ya Nchi na kuharibu kabisa soko la Utalii Tanzania kwa siku za karibuni maana Nchi imetumia pesa nyingi kutangaza utalii tunakuja kuubomoa wenyewe kwa gharama nafuu..
Tushuke chini tufanye maridhiano ya kweli na Wananchi hakuna kitu tutapungukiwa kuliko wote kuwa juu tunawaharibia maisha ya baadae vijana waliopo na wajao.
Inatakiwa ijengwe misingi imara ya baadae kipindi hiki na si kingine.
Tusipokua makini Wageni watatumia rasilimali zetu kama hazina ya upatinishi na wao wapewe bure.
 
Ukitaka kupata deal sasa hivi, sema wewe ni mwislam, Mimi ni Mwislam halisi lakini nachukizwa sana na kete ya Udini ya CCM. Ukifika kila ofisi ni sisi, na hawa wapemba wamejaa kila mahali Tanganyika nzima.
Mkuu, nakusihi sana, tuendelee kuiweka Tanzania yetu juu ya kitu kingine chochote. Hakuna dini yoyote inayoukataa uTanzania wetu; kwa nini dini ndio iwe sababu ya kutufarakanisha?

Hilo ni kundi la watu wachache wanaotumia kichocheo cha dini kutafuta maslahi yao na siyo ya dini zao.

Leo hii tukiwaondoa waTanzania wote wasiokuwa wa dini yao, bado migogoro toka kwa hao wachache itaendelea kuwepo tu!
 
#BREAKING: UN CONDEMNS TANZANIA SECURITY FOR ALLEGED ‘SHOOT TO KILL’ ORDERS DURING PROTEST
UN human rights experts have condemned widespread abuses in Tanzania following the October 29, 2025 general elections, citing disturbing reports of hundreds of extrajudicial killings, enforced disappearances, and mass detentions targeting protesters, opposition figures, and civil society.
In their statement, the experts said security forces, including police and military, allegedly received “shoot to kill” orders during an enforced curfew as youth‑led demonstrations erupted nationwide against the ruling party.
They urged the Government to disclose the fate and whereabouts of all disappeared persons, return remains to families, and lift restrictions on media coverage, warning that censorship violates Tanzania’s international obligations.
The experts further noted that the elections were marred by disqualified opposition leaders, arbitrary detentions, and legislative changes undermining fairness, with some candidates detained or forcibly disappeared before the polls.
 
Wamechelewa maana muda umeisha..
 
maana Nchi imetumia pesa nyingi kutangaza utalii tunakuja kuubomoa wenyewe kwa gharama nafuu..
Unapotatua tatizo lazima uwe muwazi , mtanganyika yupi aliyebomoa utalii!?

Muharibifu wa utalii ni Samia ,sio mwingine.

Alipoingia madarakani aliingia kwa mbwembwe kuwa anafungua nchi,huenda hadi sasa sisi watanganyika tuendelee kuamini kuwa Samia the butcher anafungua nchi.

Mitano Tena kwa Samuya,hii ni hadi 2025-2035

My foot !! mother fvck mzanzibar
 
Nadhani hapa sana sana ni kumfungia jasusi la mbinguni, uvamizi wa kitima na baadhi ya mapadre waliotekwa na kurudishwa wakiwa hoi, tukaambiwa walikuwa kwa wapenzi wao na wana madeni mazito .
Habari zetu za udaku wanazipata 😃😀
Nina uhakika TEC wana mawasiliano mojakwamoja na VATCAN na papa ana mawasiliano ya mojakwamoja na Trump ngoja tuone
 
Kwa mara ya kwanza nitakupinga kwa hili mkuu...

"Maridhiano" wanayotaka wananchi si unayafahamu?, je yanaweza kutekelezeka ikiwa amejawa na kiburi na ujinga namna ile?
Kwenye maridhiano lolote linaweza kutokea naamini hivyo mimi pia naumia sana kuona hali hii ipo siku niliangalia zile video huwa siangalii vitu vinavyonihusu vitajkavyoweza kuniumiza niliumwa karibu wiki nzima hata JF na sehemu yeyote ambayo naweza kupats taarifa nilisitisha lakini ndio tupo huku tunafanyeje Mkuu..
Ukiwaza zaidi unaweza kuona kama sio Nchi yetu ndio yanatokea haya.
 
GT
Marekani imesikitishwa na mambo mengi nchini Tanganyika. Moja ya jambo muhimu wanalosema ni ukandamizaji wa wazi wa dini ya kikristo.

Siyo siri wana taarifa zote namna samia navyojaribu kutumia uislamu kukandamiza haki na uhuru qa kujieleza nchini Tanzania.

Mauaji. Utekaji na utesaji ukiwalenga wakristo unaofanywa na Samia ni Tanzania tu kwa sasa hakuna sehemu yoyote duniani ujinga kama huu unaendelea na dunia nzima imeshamkataa

Alaaniwe samia.
View attachment 3511408
Amani ndio nguzo ya maendeleo ya Tanzania , bila utulivu hatuwezi kujenga uchumi imara, elimu bora, afya na fursa sawa kwa wote. Uhuru tuliopewa ni wajibu wa kuendeleza misingi ya waasisi wetu kwa kuungana, kushikamana na kulinda maadili ya taifa. Tunapoadhimisha siku ya uhuru, tuitumie kama nafasi ya kuombea Tanzania yetu, kuimarisha umoja na kuendeleza uzalendo unaotujenga kuwa nguvu moja dhidi ya changamoto za kijamii, kiuchumi na kisiasa. Maombi, mshikamano na upendo kwa taifa letu ndizo baraka na kinga ya Tanzania tunayoitamani. #uhuru #tanzania #africa #independence #december
wavimba_20251205_175447_0000.png
 
Back
Top Bottom