Pamoja na mambo makubwa yanayotekelezwa na Serikali ya awamu ya 5, hii ndio CHADEMA

Msiseme mmeibiwa Kura tuu....maana the main issue mnayoiongeleaga kila siku,kila uchaguzi hamjawahi kufikiria kuisolve wala kuitafutia utatuzi lakini mnaishia kujifariji kwa vitu vidogo sana ambavyo toka enzi ya Mrema vilikuwepo,akaja Lipumba vikatokea na hata Lowassa 2015 ilitokea na tukaona matokeo yake.

mpaka sasa hamtaki kusolve the main issue mnajifariji kwa vitu vya ajabu ajabu sana na vidogo kwa macho.
Jitahidi uwe unaandika maneno machache. Utaeleweka tu. Nimekupangia.
 
TATIZO LA VYAMA VYA UPINZANI NI KATIBA INAYOHALAISLHA UHARAMIA WAKATI WA CHAGUZI NA WATU HATA KAMA WANA USHAHIDI WA AINA GANI HAWARUHUSIWI KUHOJI!

ACTUALLY TATIZO LA VYAMA VYA UPINZANI NI UHARAMIA WA CCM UNAOLINDWA NA KATIBA! USIDHANI WATU WATAKUSANYIKA KWENYE KWENYE MIKUTANO KWA HIYARI YAO KAMA HAWANA NIA.

KAMA WATZ, N I WAPENDA MIKUTANO, MBONA CCM HAMKUSANYI WATU KAMA HAWA HADI MNAWASOMBA KWA MALORI TOKA VIJIJINI?

KAMA MIKUTANO HAINA INFLUENCE, KWA NINI MNAZUIA WATU WASIKUSANYIKE KWA VISINGIZIO VYA KIPUMBAVU?

KAMA CHADME HAWANA MADHARA KWA CCM, KWA NINI MNAWAOGOPA KIASI HICHO?

MUGABE = CCM

Mkuu ww ndio umeongea ukweli wa dhahiri. Nje ya mada hata huyo Mugabe kila uchaguzi anashinda sana hata uchaguzi uliopita, je hao wananchi waliokuwa wanampigia kura wako wapi leo? Ni nadra sana kuamini sanduku la kura kwenye chaguzi nyingi za Africa.
 
Sio bure ccm wamepiga marufuku siasa ni kupunguza hii nguvu ya umma waliokumbana nayo kwenye uchaguzi mkuu 2015 .nahisi ataa kwenye hesabu halisi za kura walicho kiona kabla ya uchakachuaji .
 
View attachment 633349 View attachment 633347

Kwa wanaojiuliza na kujifariji kua kuna mambo makubwa yanayifanyika awamu hii, wananchi wao wameikataa kabisa CCM, Yanayofanywa na serikali awamu hii hayajawagusa kabisa.

Wamegoma kuisikua CCM pamoja na kutumia nguvu kubwa kumaanisha wanayoyafanya lakini bado waneona kua hata malaika aibukie CCM hawezi kubadili taifa lao. Bado wanaendelea kuyasaka mabadiliko hawajachoka.

Cha msingi vyombo vyetu vya dola vitumie sheria zilizo kwenye katiba yetu kuwatumikia wananchi badala ya kulalamikiwa kuwabeba CCM ambao bado umma unaonekana kuwakataa, Wananchi wamewakataa CCM ambao walikiri kutumia pesa za umma ilikulazimisha kupendwa.
cocochanel
jingalao
 
Endelea kuamini upuuzi, “bandu bandu humaliza gogo” unaweza usione sasa lakini effect yake itaonekana tu hata kama ni baada ya miaka 50. Ulitegemea Mugabe angekumbwa na msukosuko wa namna hii hasa baada ya kupigiwa vigelegele na wananchi walala hoi baada ya kuwanyang’anya wazungu na matajiri mashamba? Alionekana shujaa na mzalendo lakini leo wanasema wamemchoka aende zake.
za ninii???
 
Msiseme mmeibiwa Kura tuu....maana the main issue mnayoiongeleaga kila siku,kila uchaguzi hamjawahi kufikiria kuisolve wala kuitafutia utatuzi lakini mnaishia kujifariji kwa vitu vidogo sana ambavyo toka enzi ya Mrema vilikuwepo,akaja Lipumba vikatokea na hata Lowassa 2015 ilitokea na tukaona matokeo yake.

mpaka sasa hamtaki kusolve the main issue mnajifariji kwa vitu vya ajabu ajabu sana na vidogo kwa macho.
Meanza kuongelea main issue, sio small issue tena!!, kweli dawa imeanza kuingia kidogo kidogo. Baada ya huu uchaguzi ni kudai katiba mpya kwa njia yoyote ile!!
 
Back
Top Bottom