Siku ambayo itapatikana tume ambayo haiteuliwi na mwenyekiti wa CCM ndio mwisho wa Mugabe...sorry CCM.Nyimbo hizo tangu enzi na enzi zipo tu,mwisho wa yote kwenye uchaguzi mnabaki kulialia oh tumeibiwa oh nini,tangu enzi za doct slaa nyomi hizo zipo tu hakuna hata cha ajabu hapo.mmesahau kipindi kile cha kikwete uchaguzi mdogo wa marudio kata 23 chadema wakatumia na mahelkopta juu lakini wakaishia kuambulia kata tatu,, kwa wageni tu ndio wataona ajabu lakini kwa wazoefu hayo washayazoea wala hawana hata shida nayo.